shule za sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Tume ya Utumishi wa Walimu isaidie Walimu wa somo jipya la Business Studies kwa Shule za Sekondari

    Mimi ni moja ya Walimu wenye professional ya biashara tulioajiriwa kufundisha somo jipya la Business Studies ngazi ya Shule za Sekondari. Kutokana na kwamba hatuna professional ya Ualimu tulishindwa kupata TSC no, hivyo tukashindwa kupata mikataba full ya ajira baadhi tukiambiwa tukasome...
  2. H

    Agnes Marwa atoa tuzo kwa shule za sekondari zilizofanya vizuri manispaa ya Musoma

    AGNES MARWA ATOA TUZO KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOFANYA VIZURI MANISPAA YA MUSOMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, leo tarehe 18 Februari, 2026 ametoa tuzo na zawadi maalum kwa shule za sekondari zilizofanya vizuri katika Manispaa ya Musoma, ikiwa ni hatua ya kutambua na...
  3. H

    Agnes Marwa atoa tuzo kwa shule za sekondari zilizofanya vizuri Manispaa ya Musoma

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, leo tarehe 18 Februari, 2026 ametoa tuzo na zawadi maalum kwa shule za sekondari zilizofanya vizuri katika Manispaa ya Musoma, ikiwa ni hatua ya kutambua na kuhamasisha ubora wa elimu mkoani humo. Katika hafla hiyo iliyofanyika ndani ya Manispaa...
  4. digba sowey

    KERO Huu utaratibu wa Shule za Sekondari za kutwa kugeuzwa kuwa za Bweni (Kambi) ni kero kubwa. Serikali iko kimya hadi pale madhara makubwa yatakopotokea

    Serikali Ipige Marufuku Shule za Serikali za Kutwa Kugeuzwa Mabweni ya Kambi za Mitihani, Katika miaka ya karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la shule za serikali za kutwa kugeuzwa kuwa kama shule za bweni kwa wanafunzi wa madarasa ya mitihani yaani kidato cha pili na cha nne. Mabadiliko haya...
  5. Analogia Malenga

    Shule za sekondari 355, zina waalimu chini ya 10

    Shule za serikali kwa mujibu wa takwimu za TAMISEMI ni kuwa mikoa yote Tanzania ina shule ambazo zinawalimu chini ya 10. Hata hivyo Lindi inaongoza kwa kuwa na shule nyingi zenye waalimu chini ya 10. Aidha shule 21 zina walimu 5 au chini ya hapo na shule 2 zilizoko mkoani Mara zinawalimu...
  6. K

    Tetesi: GE2025 Kwanini shule za sekondari za Halmashauri ya Mji wa Bunda zinawaambia Wanafunzi na Walimu kwenda kesho standi ya zamani kwenye kampeni za CCM?

    Hii ni hatari sana kama CCM wanalazimisha watumishi wa kada ya ualimu na wanafunzi kwenda kwenye kampeni za mgombea wao hapo kesho.
  7. Livanga

    Shule za Sekondari zenye magari kwa wanafunzi wa day kuwachukua asubuhi na kuwarudisha jioni

    Kwa muda nimekuwa nikitamani kupeleka wanangu Shule za Sekondari za Day ila changomoto inakuwa usafiri. Tumezoea kuona mara nyingi shule zenye utaratibu wa kichukua watoto asubuhi na kuwarudisha jioni ni Shule za msingi. Je kuna shule za Sekondari zenye utaratibu huo? Natamani kupata list kwa...
  8. S

    DOKEZO Kero: utitiri wa mitihani Kwa shule za sekondari wilaya ya Busega -Simiyu unarudisha nyumba dhana ya ufundishaji na ujifunzaji,mamlaka zilitazame hili

    Mimi kama mdau wa elimu, najitokeza kupaza sauti yangu juu ya ongezeko la mitihani isiyo na mpangilio mzuri kutoka Ofisi ya Elimu ya Sekondari – Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Simiyu. Hali hii imekuwa kikwazo kikubwa kwa ufundishaji na ujifunzaji wa watoto wetu, hasa katika shule zenye...
  9. Nipe Maji

    GE2025 Serikali kupitia Mradi wa SEQUIP yakamilisha ujenzi wa miundombinu katika shule za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma

    Serikali kupitia Mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP imekamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule mpya za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma. Pamoja na dhamira hiyo ya serikali ya kuboresha sekta ya elimu kwa kuwekeza na kufanya ujenzi na ukarabati wa...
  10. Nipe Maji

    GE2025 Bilioni 12 kukamilisha ujenzi shule za sekondari Rukwa na Katavi

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule mbili za kisasa za Amali Wilayani Kibondo Mkoani Tabora na Wilaya ya Mlele mkoani Katavi zinazogharimu Shilingi Bilioni 3.2 Vilevile serikali imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 8.8 kwa ajili ya...
  11. Fateema

    Jamani hivi walimu wakuu shule za sekondari huwaga wanapata muda wa kusoma barua zilizo tumwa kupitia S. L. P?

    Au nisipoteze muda wangu? Ushauri wenu tafadhali
  12. H

    Ufaulu wa somo la Hesabu Shule za Sekondari ni kwenye 25% nini Suluhisho?

    Nimesikia kupitia Radio One leo Asubuhi mtakwimu Mkuu wa Serikali bibi Mjema akishtushwa na ufaulu wa somo la Hesabu kuwa chini sana kwenye 25% Naomba nimjulishe tu kuwa, asipoteze pesa kwa ajili ya kufanya utafiti kwani jibu lipo waziwazi; "MASHULENI HAKUNA WAALIMU WAKUTOSHA NA WENYE SIFA YA...
  13. Just Pray

    Kagera: TFS yachangia madawati 90 na viti kwa shule za sekondari

    Jumla ya madawati 90 na viti vimetolewa kwa shule za sekondari na Wakala wa Uhifadhi Misitu Tanzania TFS wilayani Misenyi mkoani Kagera ili kuweza kuboresha upatikanaji wa Elimu kwa wanafunzi. Akikabidhi madawati hayo Kamishina Kamanda wa TFS Kanda ya Ziwa Ebrantino Mgiye amesema kufanya hivyo...
  14. Arafati Kilongola

    “Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho”

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya Taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  15. Arafati Kilongola

    Tuwalee vijana kwa uzalendo: Wazo la kuanzisha klabu za uzalendo katika shule za Sekondari

    Ndugu wanajamii, Kama kijana mwenye mapenzi makubwa kwa taifa langu, nimebuni wazo la kuanzisha Klabu ya Uzalendo Mashuleni. Lengo kuu ni kuwajengea wanafunzi maadili, uzalendo, na dhamira ya kuchangia maendeleo ya taifa letu. Klabu hiii zinalenga: 1. Kukuza uzalendo kupitia elimu ya...
  16. B

    Walimu wa kiswahili wa shule za sekondari kuna mahali mnafeli pakubwa

    Hivi mtoto wa fomfour miaka 17 hadi 20 inakuwaje hawezi kutofautisha Kati ya "r" na "l" "Karibu" mtoto anaandika " kalibu" 👉Kwenye matamshi ya lugha binafsi siwezi tupa lawama hii ni kutokana na athari za kimakabila/kilugha Lakini swala zima la maandishi imekuwa ni changamoto sana 👉Matumizi...
  17. Stephano Mgendanyi

    NW Katimba: Bilioni 6.7 Zimetumika Kuboresha Ujenzi wa Shule za Sekondari 10 Muheza (W), Tanga

    NW KATIMBA: BILIONI 6.7 ZIMETUMIKA KUBORESHA UJENZI WA SHULE ZA SEKONDARI 10 MUHEZA (W), TANGA Takribani shilingi Bilioni 6.7 zimetumika katika ujenzi wa shule za sekondari 10 katika Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais...
  18. Mrndumbarojl

    Mfano wa mtihani wa ustadi (Aptitude Test) wa Walimu wa hesabu wa shule za Sekondari maswala ya usaili

    Ni kawaida kwa walimu wanaotarajia kufanya aptitude test kuwa na maswali mengi juu ya nini cha kutarajia na wapi pa kuanzia maandalizi. Japokuwa hakuna majibu maalum au sahihi ya nini hasa kitakachoulizwa kwenye mtihani, ni muhimu kuelewa lengo la aptitude test na kujifunza jinsi ya kujiandaa...
  19. Deinstein 01

    Wizara ya Elimu iweke vitabu vipya vya fasihi andishi katika shule za Sekondari

    Tangu zamani vitabu vya fasihi andishi vinavyotumika ni vilevile si kwenye somo la kiswahili wala English. Vitabu kama 'The black hermit' na vyakina Ngoswe na kilio chetu ni vya zamani sana. Serikali ibadilishe vitabu na ilete vitabu vipya. Haiwezekani mimi nisome vitabu hivyo na wajukuu...
  20. HansMaja

    Je, unakumbuka nini kuhusu migomo shule za sekondari?

    Hivi huduma shule za sekondari Tanzania zimeboreshwa? Nakumbuka miaka ya 90's tulikua tukisikia migomo ya wanafunzi kila kukicha. Miaka ile ndio palitokea mgomo Sekondari ya Tambaza na wanafunzi wote tulisambaratishwa kwa kuhamishwa na shule kubadilishwa kua High School. Je, unakumbuka nini...
Back
Top Bottom