shujaa

The Kenya national rugby sevens team competes in the World Rugby Sevens Series, Rugby World Cup Sevens and the Commonwealth Games. They are currently one of the 15 "core teams" of the World Series, with a guaranteed place in all 10 events each season. Kenya recorded its first tournament win in the World Rugby Sevens Series after beating Fiji at the 2016 Singapore Sevens.
Kenya has also been successful in the Rugby World Cup Sevens, reaching the semifinals in 2009 and again in 2013.The Kenya Sevens team is sometimes referred to by the Kenyan and international press as Shujaa, a Swahili word meaning courage, confidence, bravery, or heroism. The Kenya national rugby sevens team is one of the more successful sporting teams representing Kenya. They have won the men's Team of the Year category six times at the Kenyan Sports Personality of the Year Awards: 2004, 2007, 2008, 2009, 2013, and 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. Big up kwa SAMAKIBA foundation, Wape tabasamu, saidia wazazi na Mwamnyeto foundation.

    BILA Kujali timu unayoishabikia wala Mchezaji unayemshabikia.....hili SUALA la Wachezaji wanaocheza ndani na wale wanaocheza nje ya Tanzania Kutoa misaada ya kuwagusa Moja kwa Moja jamii inayowazunguka Ni Jambo jema ambalo linapaswa kuungwa mkono na kuigwa wachezaji wengi pamoja na vilabu...
  2. Je, ni kweli Idd Amini alikuwa shujaa wa Afrika, Nyerere alitumiwa na wazungu kumchafua?

    Weekend Kareem wapenzi wa JamiiForums popote mlipo. Naamini mu wazima wa siha muruwa kabisa huku mkifanya tathmini ya kile mlichokifanya kwa juma zima hili. Leo nimeleta kwenu swali juu ya Idd Amini, sipendi kumwita Nduli ila tumuombe tu Mwenyezi Mungu aendelee kuipumzisha roho yake. Idd Amini...
  3. Kuhusu Mbowe, Bandari na Ubaguzi: Je, huwezi kufanya ukosoaji bila kuleta ubaguzi wa kikanda?

    Je, hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe. Si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila. Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka...
  4. Kutokutunzwa kwa kumbukumbu za nchi ndiko kunakosababisha Magufuli aonekane Shujaa kuliko wenziwe

    Alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, John Pombe Magufuli alitamani kila mradi uitwe kwa jina la Julius Kambarage Nyerere. Ni kama vile aliamini kuwa hakuna aliye bora kati ya Marais watatu wengine waliomtangulia, yaani Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa au Jakaya Mrisho Kikwete...
  5. K

    Ni kipi angekifanya shujaa wa Chato kwenye vita ya Ukraine

    Kama wote tujuavyo mwanachato alikuwa mtu wa kujilipua kuongea chochote bila kuhofia madhara yatakayomkuta kwa kufanya hivyo Mfano mzuri ni pale alipoamua kujilipua na kuyapima virusi vya korona mapapai,mbuzi na oil,pia alipoamua kuzipondea hadharani barakoa za wazungu na badala yake kuwataka...
  6. H

    SoC03 Kisa cha mama shujaa

    Mama Shujaa alikuwa mama wa watoto watatu, aliyekuwa akisimamia biashara ndogo ya kuuza mboga mboga katika soko la mji wa Kibaigwa. Lakini alikuwa na shida nyingi sana katika biashara yake, kutokana na rushwa na udanganyifu uliokuwa ukifanywa na wafanyabiashara wakubwa katika soko hilo. Pia...
  7. Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

    Huyu ni Mmoja wa Mashujaa wa miaka ile aliyeshiriki kuwaondoa Makoloni huko Zanzibar. Kama ambavyo Bara nao walikuwa wameondoa wao. Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka hiyo Che Guavera alikuja Tanzania mwaka 1965. Anasema Che alijaribu kuulizia habari...
  8. B

    Somo la mali kwa wanandoa kwa kilichotokea kwa Achraf Hakimi na mkewe

    SOMO LA MALI KWA WANANDOA KWA KILICHOTOKEA KWA ACHRAF HAKIMI NA MKEWE. Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mke wa ACHRAF HAKIMI ameshindwa kupewa mali yoyote baada ya ndoa yao kuvunjika kwasababu Hakimi aliziandika mali zote jina la mama yake mzazi. Je jambo hili linawezekana kwa Sheria za...
  9. M

    Hayati Magufuli Shujaa alifanya makosa kutomfunga Zitto Kabwe kwa makosa ya uchochezi aliyofanya. Kufuga wanafiki ni dhambi kubwa

    Mtu alipotosha hadharani kinyume na sheria ya takwimu na sheria ya cyber
  10. Rais Kagame katupa taulo, shujaa wa Hotel Rwanda, Paul Rusesabagina kuachiliwa huru

    Welcome today’s release of Paul Rusesabagina. Thankful to know Paul will be rejoining his family soon. Grateful to the Rwandan Government for making reunion possible. Also appreciate assistance by Government of Qatar. Kazi kwenu ----- Paul Rusesabagina aliingizwa kwenye 18 za mtu mrefu, kisiki...
  11. Chato: Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, atembelea kaburi la Hayati Magufuli

    Katika picha na Video ni Askofu Flavian Matindi Kassala wa Jimbo Katoliki Geita akiambatana na Mapadre, Watawa na baadhi ya waamini wa Jimbo Katoliki Geita, katika mapokezi ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo kuu la Dar es salaam Katika uwanja wa Ndege wa Chato...
  12. Mfahamu Mwanariadha Mtanzania John Stephen Akhwar alivyotoa somo la uzalendo Mexico 1968

    Ukifungua ukurasa wa Google au YouTube kisha ukaandika John Stephen Akhwari hakika kile ambacho utakiona kitakufanya utamani kutazama mpaka mwisho. Jina la mtu huyo litajitokeza mara nyingi kwenye kurasa hizo na k a m a u n amfahamu b a s i itakufanya utamani kumtazama na kuona historia yake...
  13. T

    Kwanini aitwe shujaa katikati ya wenye wivu na wazembe wala rushwa na kulewa asali?

    Ni kwa sababu moja tu! JPM, hakuwa mvivu, ni mtu aliyekerwa sana vinchi vidogovidogo kuwa juu yetu kiuchumi, Uchapakazi wake na kasi yake; maono makubwa na ya mbali kuliko ilivyotarajiwa na wengi! Ilimfanya atrend haraka na kueleweka kwa kila mtanzania mwenye akili timamu bila kujua kwamba hilo...
  14. Mwigulu mzee wa proffesional ya uchumi. Kama pesa za Uviko zilijenga madarasa Mbona ulitumia bil 124 nje ya bajeti? Acha kumshambulia shujaa Mpina

    Kelele kibao na kejeli. Eti wewe ni mjuvi wa uchumi? Mbona umeshindwa kusimamia fiscal policy na kudhibiti bei ya maharagwe? Eti tujadili uganga? Wewe ndio una amini uchawi? Pesa za uviko zilijenga madarasa na mkatuambia yanatosheleza. Sasa kwa nini udokoe bil 124 nje ya bajeti?
  15. T

    CHADEMA, mna haki ya kumuona Lissu kama shujaa wenu, ila si kulazimisha kila mtu amuone ni shujaa

    Mh Tundu Lissu ni mwanasiasa machachali na aliyejaliwa kuwa na maneno mengi na kupenda kubishana mpaka aonekane lake ndilo la maana! Ni mwanasiasa na mwanasheria mzuri ambaye hajawahi kufanikiwa katika tageti zake zote za kiasa! Kati ya mambo ambayo hayampi kuwa na historia nzuri ni pamoja na...
  16. Paul Makonda shujaa wa taifa aliyesahaulika. Alipambana dhidi ya mateja, majambazi na matapeli wa kila namna

    Dar es Salam ilikaa kwa shwari Maana matapeli wa viwanja na pesa walikamatika Majambazi walikimbia na kuaicha Dar. Mafisadi wa ardhi walikimbia kama mbwa.
  17. S

    Rais Samia ni mwanamke shujaa

    Watanzania tuwe wakweli. Rais Samia ndiye mwanamke ambaye ni shujaa ukilinganisha na wanawake wote walio wahi kuwa Marais hapa Africa. Rais Samia anajiamini, ana maamuzi yenye tija kwa Taifa. Apongezwe kwa busara zake.
  18. Askofu Mwamakula amtaja Gerald Hando shujaa wa maoni 2022

    GERALD HANDO ATAJWA NA ASKOFU KUWA SHUJAA WA UHURU WA MAONI WA 2022. Wamiliki wa vyombo vya habari vya Tanzania na wahariri wamewekwa mfukoni na serikali, wanajikomba na wanajipendekeza kwa serikali. Mtangazaji wa EFM na TVE, Gerald Hando ameadhibiwa na mmiliki wake kwa kauli yake ya kukosoa...
  19. Muda wa 'Shujaa Feki' wa Uokoaji Majaliwa Jackson na aliyemsifia 'Samjo Samjo' WM Kassim Majaliwa 'Kuumbuka' Unakaribia

    Baadhi ya Wajumbe wanaoiandaa hiyo Ripoti huku wakiendelea na Uchunguzi wa mwisho mwisho wanasema Ushahidi wa Vifaa Maalum vilivyomo katika Ndege vinaonyesha Milango ilifunguliwa na Wahudumu wa Ndege kwa kusaidiana na baadhi ya Abiria waliokuwepo Ndani na hata pale ulipofunguka waliokuja...
  20. Huyu muuaji ni shujaa kama mashujaa wengine

    MKAZI wa Majohe, Dar es Salaam, Ramadhani Juma, amekiri kumuua kaka yake Fikiri Juma bila kukusudia baada ya kutokea ugomvi baina yao, mshtakiwa huyo akidai chanzo cha ugomvi ni kaka yake huyo kutaka kumlawiti. Inadaiwa wakati ugomvi huo unaendelea, mshatakiwa alichukua chepe na kumpiga nalo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…