Ili uweze kufanikiwa, hizi hapa ni mbinu za kitaalamu /Kimkakati na za kisaikolojia poti.
1. Vunja Ukuta wa "Shikamoo"
Hili ni tatizo la kwanza kwa vijana wengi wa hapo Dar!. ...
Ukimpa "Shikamoo" Mumama kila saa,.... anakuona kama mwanaye au mpwa wake, na hapo hisia za kimapenzi kwako...
Niliwahi kusoma na vijana ya mataifa jirani, waliokuwa wanashangaa yaani kukaa wiki mzima hamjasikia milio ya bunduki ni ajabu, waliokuwa wanashangaa sana hapa kwetu, hii ni sifa kubwa kwa jeshi letu la ulinzi na usalama.
Hoja yangu kwenu sasa hivi kuna wimbi la kelele ambazo hazikuzoeleka "...
Wakuu kumekuchaje?
Kwangu sio poa sana. Najutia hata kuacha kwenda kazini ili niende kuzini.
Kiufupi, kama wiki mbili nyuma kuna mwanamke mmoja kwenye mtandao fulani amekuwa ni kama ametembelea page yangu. Alichokifanya ni kupitisha likes kwenye kila content ambayo nimewahi kushare, hadi zile...
Samaleko...
Ilibaki kidogo tu nidondoshe chozi lakini lilipotaka kudondoka nikakumbuka ule wimbo "wanaume tumeumbwa mateso!" halafu kabla haujaisha huo wimbo vizuri nikakumbuka pia wimbo wa Diamond kizaizai!, Hichi sio kizaizai tasa bali ni kizaizai kilichozaa!.
Japo nimeshakuwa sugu wa visa...
Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna mwenye shida na hilo?
Nakumbuka nikiwa Chuoni kuna mtu wa Library kipindi hicho alikuwa kwenye 40's...
Katika jamii nyingi zinazozungumza Kiswahili, maneno "shikamoo" na "marahaba" yamekuwa sehemu ya mawasiliano ya kila siku, hasa kati ya vijana na wazee. Lakini ni muhimu tutafakari upya historia na maana halisi ya maneno haya. Je, ni heshima au ni mabaki ya utamaduni wa utumwa? Je, matumizi yake...
Mabibi na Mabwana hamjambo!
Pasaka iliisha vizuri Kabisa. Siku hiyo tulikutana ndugu wote maeneo ya Msasani beach Club.
Kama mnavyojua Taikon Hana gari, sasa ndugu zangu wale kidogo wengi wao walikuja na Magari Yao. Nami kujilizajiliza nipande Magari ya watu kidogo naonaga shida kidogo. Ni...
Kitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa MWARABU mmpoja mwenye Jambia moja wakati wao wapo zaidi ya mia tano katika Msafara wa watumwa. Leo hii...
Hili Suala la Hii Salam ya Shikamoo limekuwa na Ukakasi Kidogo, watu wengi katika makundi ya watu wazima, wazee, na vijana wa makamo wamekuwa hawapendi salamu hii zaidi na zaidi , makundi haya ya watu huwa hawapendi kusalimiwa na makundi ya watu wakubwa wenzao mfanyo mzee kusalimiwa na mtu wa...
Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa...
Ninyi watu mnatakiwa muishi dunia yenu peke yenu kijana wa watu kalizwa uko unabeba vitu unaenda navyo wapi kwanini usitafute vyako tusinyonyane
Huyu mwingine kagundua style mpya ya kusaka mende au panya uvunguni 🤣🤣🙌
Wakuu
Yaani salamu za shikamoo zimekuwa nyingi sana, wakati nikijiangalia kwenye kioo bado najiona Handsome.
Ni mnyamwezi fulani hv najipenda muda wote nanukia, kipato si haba. Nina O moja matata. Nywele zangu ni kama za kiarabu kwahiyo kinyozi anakula angle hatari. Ila Dah shikamoo zimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.