shida

Hikaru Shida (志田 光, Shida Hikaru, born June 11, 1988) is a Japanese professional wrestler, martial artist, actress, and model, currently signed to All Elite Wrestling (AEW), where she is a former and the longest-reigning AEW Women's World Champion. On February 25, 2021, she became the longest reigning overall champion in AEW history, breaking the previous record of 277 days set by former AEW World Champion Jon Moxley.She also works for the Makai company, and makes appearances for the Oz Academy and Pro Wrestling Wave promotions.
She started her professional wrestling career in 2008, when she joined the Ice Ribbon promotion, after taking part in a film titled Three Count, set in the world of professional wrestling. She remained with the promotion until 2014, becoming a one-time ICE×60 Champion and four-time International Ribbon Tag Team Champion. Outside of Ice Ribbon, Shida has held the Wave Single Championship, the Oz Academy Tag Team Championship and the Sendai Girls World Tag Team Championship.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuwatetea watanzania lazima uwe na shida ya akili kwanza yaani uwe chizi.

    Watanzania washajifia kiakili kwahiyo MTU aendelee kujisumbua kuwatetea hawa watu ujue ajutambui. @Tundulissu achana na huo mchezo mjinga huwa haoambaniwi.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Wakristo wenzangu kwa shida walizonazo waumini wa Gwajima na misaada waliopewa kuanzia leo nimeacha kuwasemea vibaya wakatoliki nitawaheshimu

    Wakristo wenzangu Kukiwa na shida kubwakubwa mkombozi wetu ni Kanisa Katoliki hivyo tuache midomo midomo tuanze kuwaheshimu
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Utajwe wewe tu kila wakati?? ipo shida mahali

    Iko namna Watu kama hawa sio wa kuwaweka karibu.
  4. JamiiForums Tanzania Makatibu uenezi 5 ndani ya miaka 5 Tatizo ni nini?Samia kuna shida mahali

    Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi. Kazi ipo.
  5. JamiiForums Tanzania Ipo shida kubwa kwa Watanzania na sio siasa za ccm wala watawala.

    Ujue tatizi kubwa sana ni wananchi wa Tanzania. Wamekubali na kuridhia kuliwa kwa namna yeyote ile mlaji anvyotaka na sio kwasababu hawajui ila ni wavivu wa kujishughulisha na mambo yao wenyewe. Ndio maana hivi karibuni kabla ya uchaguzi unaenda kutokea mwezi wa 10 mwaka huu 2025 kumeibuka kundi...
  6. JamiiForums Tanzania Azam TV ipo shida ?

    Niko naangalia la liga hapa ñaona kama inascratch inaleta mawimbi, na hata mchana niliona kwenye MECHI ya al nassr Hilo tatizo, lakini za CHAN hazina shida. Ni king'amuzi changu au kuna mwingne kaliona Hilo?
  7. O

    JamiiForums Tanzania Shida ya network kati ya line ya halotel na vodacom

    wadau nisaidie mimi natumia line ya halotel mara nyingi,sasa shida ni moja mtu yoyote wa line ya vodacom akinipigia hatusikilizani mpaka either anipigie mara mbili au tatu ama mimi nimpigie mbali na hilo upande pia wa sms mtu anaweza nitumia sms asubuhi ikaingia katika simu jioni ama mchana...
  8. JamiiForums Tanzania HIvi zaidi ya Jina la Yesu, ni jina Gani lingine likitajwa watu wenye negative energy wanaanguka na kupata shida?

    Kwa nini watu wakisikia jina la Yesu hudondoka? kwanini wanadondoka, nini kina wadondosha, kudondoka ni hali ya kuzirai? Je ni jina la mtu yupi mwingine lenye nguvu hiyo? CC Rakims, Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume , DR. MWAKABANJE
  9. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumtokea demu halafu ukaogopa kumwambia shida yako

    Dah kuna mda mathematics inaweza ikawa rahisi kuliko kutongoza Nakumbuka miaka ya nyuma kipindi nikiwa olevel kuna binti alikuwa anauza duka la vyakula vya mifugo jirani na nyumbani kwetu, lilikuwa duka la uncle wake. Kalikuwa kabinti kazuri ka machame na kipindi hicho yeye alikuwa amemaliza...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi Consistency prayers inavyofanya Mungu atatue shida yako

    Habari yako wewe unayesoma uzi huu muda huu. Leo ni siku nyingine Bwana Mungu ametupa nguvu ili tuendelee kupambana kuutafuta Uzima wake na kupata amani ya kweli ndani ya mioyo yetu. Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa neema hiyo. Leo ningependa kuzungumza kuhusiana na fundisho hili la kiroho...
  11. JamiiForums Tanzania Napata shida kwenye vita ya Israel na Palestine

    Kwan kati ya Hamasi na Israel nani hana huruma kwa Raia, Hamas wanashikiria mateka kumi wa Israel. Israel kasema vita kuisha inabidi mateka wake waachiwe vita iishe kwnini Hamas wanapiga kelele kuwa Israel anaua raia na wao wasiwaachoe hao mateka raia wakaishi kwa aman
  12. JamiiForums Tanzania Nina shida ya softcopy ya kitabu Cha kiswahili na hisabati darasa la kwanza

    Mwenye uwezo wa kunisaidia nakala tajwa hapo juu anisaidie
  13. JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo kuverify NIDA unachangamoto shida nini?

    Kama wiki sasa tunajaribu kuingia huduma ya bodi ya mikopo kwenye kipengele cha kuverify nida kuna goma kabisa shida sijui nini , tafadhali pitieni ili tuendelee bila usumbufu. Asante
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini baadhi ya Maeneo Dar Maji hayajafika na kuna maeneo huko ndanindani wametandaziwa Mabomba km yote? Nini Shida?

    Wakuu, kwa wasioijua Dar wakafikiria Dar labda kila sehemu kuna umeme kila sehemu kuna Maji, aisee kuna maeneo mjini Dar-es-Salaam hakuna maji mpaka leo watu wanafukua maji Chini wanachota maji ya tope wanaoga fungus maji ya chumvi maji yasiyo na virutubisho wengine ndio maji yao ya kunywa hayo...
  15. JamiiForums Tanzania Soka letu lina uhaba sana wa wachezaji wa kiarabu je shida ni nini?

    Nimekua nikitamani sana kuona wachezaji wenye asiri ya kiarabu katika nchi yetu bila mafanikio sijui kuna tatizo gani, kuna wakati simba walijaribu kidogo kwa golikipa ayoub na sijaona muendelezo wake, Je hii ni kutokana na mazingira ya hali ya hewa, uchumi kuwa mdogo kwa vilabu vyetu hivi vya...
  16. JamiiForums Tanzania Shida mtu akiwa muhongo hata siku akongea ukweli anashindwa kuaminika , polepole ni kama zitto kabwe na Mbowe au Lipumbana na Mrema!.

    Katika siasa kitu kinachoitwa Msimamo ni muhimu. Najaribu kuangalia walichokuwa wanapambania akina Mrema TLP Lipumba na Mbowe bado sikioni. Hivyo naona na Polepole anapita njia zilezile. Anabomoa nyumba aliyoijenga mwenyewe na kusema haifai na wala tusiwaamini mafundi walioijenga.
  17. JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mbona kama wamekanyaga moto, hawatulii muda wote ni mwendo tu shida nini wakuu?

    Mbona watu wa Dar muda wote wako mbiombio? Shida nini hasa? Ni kama wamekanyaga kaa la moto! Kifupi imenishangaza sana. Yaani muda wote watu wa Dar wapo resi. Kila mtu ni fulu mwendo. Utaona watu hawa wanaingia kwenye madaladala wengine wanaingia shop almradi muda wote watu wapo kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Namna ya kumsaidia manzi wangu anapata sana shida akiingia period

    Mwenye anajua jinsi ya kumsaidia kupunguza maumivu au kuondoa kabisa maumivu ya tumbo kwa mwanamke kipindi Cha period Pisi yangu ikiwa period inateseka almost siku nzima anaumwa tumbo atari Msaaada🙏🙏🙏
  19. M

    JamiiForums Tanzania ESS... E-loan shida ni nini!!?

    Nikiapply loan verification code sipati akati number ya simu ni sahihi na iliyopo kwenye profile tatizo ni mtandao au ni nini!?
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Kikwete alaumiwe?

    Kelele zenye muelekeo wa lawama zimekuwa nyingi kwa Rais mstaafu kuwa anamshauri vibaya "mama" Rais aliyepo madarakani. Nabaki na butwaa nikiwa na maswali yafuatayo; 1. Je ni nani mwenye ushahidi kuwa Kikwete ndiye anamshauri SSH? 2. Je SSH (Dkt) hana washauri kwa utaratibu unaofahamika na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…