shida

Hikaru Shida (志田 光, Shida Hikaru, born June 11, 1988) is a Japanese professional wrestler, martial artist, actress, and model, currently signed to All Elite Wrestling (AEW), where she is a former and the longest-reigning AEW Women's World Champion. On February 25, 2021, she became the longest reigning overall champion in AEW history, breaking the previous record of 277 days set by former AEW World Champion Jon Moxley.She also works for the Makai company, and makes appearances for the Oz Academy and Pro Wrestling Wave promotions.
She started her professional wrestling career in 2008, when she joined the Ice Ribbon promotion, after taking part in a film titled Three Count, set in the world of professional wrestling. She remained with the promotion until 2014, becoming a one-time ICE×60 Champion and four-time International Ribbon Tag Team Champion. Outside of Ice Ribbon, Shida has held the Wave Single Championship, the Oz Academy Tag Team Championship and the Sendai Girls World Tag Team Championship.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Ndanda kuna shida ya maji sana

    Habari wakuu, Unapozungumza jimbo la Ndanda, unazungumza Abbasia ya Ndanda, abbasia ya Ndanda imekuwa msaada kwa wakaazi wa jimbo hili la Ndanda, kwenye suala la maji maana wamesupply maji yao wenyewe hadi vijijini. Kutokana na wakazi kuongezeka wanaelemewa sasa, maji yamekuwa shida sana...
  2. Filamu ya James Bond ikionyesha Land Cruiser Toyota inavyozipa shida na kuziharibu Range Rovers

    Mwezi huu wale wazee wa torrent imetoka hii filamu ya James Bond kwa jina la no time to die ,katika kutazama hii filamu nimeona scene ambayo imenifikirisha kwa nini na kuna maana gani? Mapema land rover walitoa video fupi ya no time to die ambayo ipo YouTube, cha kushangaza ni James Bond...
  3. P

    Baada ya wamachinga, malori Kariakoo ni shida mpya

    Mamlaka zisipoliangalia hili kwa sasa basi baadae itakuja kuwa ngumu kama ilivyokuwa kwa wamachinga. Mitaa husika hasa ni mtaa wa agrey, masasi, magila, narun'gombe na tandamti, yote ni kati ya mtaa wa ndanda na muheza, hapo kuna kero ya kufa mtu kwa wakazi wa maeneo hayo na hata wapita njia...
  4. M

    Wakazi wa Dar es Salaam wahaha shida ya maji na umeme

    Kufeli kwa serikali ya CCM sasa kumegonga pentagoni. Jiji la Dar es laam sasa limegeuka jiji la uhaba wa maji na umeme. Kwenye ishu ya maji, kuna mgao wa siku tatutatu na maji yanatoka masaa machache kisha yanakatika. Hali hiyo imefanya watu waanze kuhangaika na ndoo na madumu kutafuta maji...
  5. Wakuu na shida na aina hii ya gadget

    Wakuu nina sonny hometheater sasa haina option ya bluetooth sasa nikaenda mahali nikakuta bluetooth device aina flani nimeitafuta sana kama kuna mtu anajua precisely ni wapi pa kuipata pls
  6. R

    Wanawake! Wanawake! Mna shida gani jamani?

    HABAR WADAU Dah hii dunia imejaa vituko hii yaan ni shida tupu yaan duh ngoja tu niwahadithie ili tu mnipe ushaur kuna dada mmoja nimekutana nae mda kidogo yeye ndio alinianza na akawatuma watu waniombe namba yangu nikawapa tukaanza kuwasiliana in short nilipoona kajileta ilibid nimsaidie...
  7. Watoto wenye mikia ...

    Watoto wanazaliwa na mikia. Watoto wanazaliwa na manyoya. Watoto wanazaliwa na jicho moja. Watoto wanazaliwa na miguu minne na mikono mitatu. 😭😭 HAPA. Naamini itakuwa ni huko tu, sio huku kwetu. Sisi tumeshachunguza ni salama🤔
  8. Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

    Ifikapo mwaka 2030 Shida ya maji safi na salama Tanzania huenda ikasalia kuwa historia tu | Bajeti mpya ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21. Rais Samia Suluhu Hassan kwenye bajeti yake ya maji ya kwanza tu alitenga jumla ya TZS 589.4BL Fedha hii ni kwaajili ya...
  9. Takwimu zinazungumzia watazamaji (Spectators) "akina sisi" tunazungumzia washabiki (fans), kuna shida mahala

    Takwimu zilizotolewa na bodi ya ligi hapo jana zilihusu idadi ya watazamaji (Spectators) waliohudhuria katika mechi za nyumbani za vilabu vya ligi kuu kwa msimu ulioisha. Takwimu hizo zimetokana na idadi ya tiketi zilizouzwa katika mechi hizo na timu ya Yanga imeongoza kupata pato kubwa...
  10. Plot4Sale Nina shida: Nauza shamba langu heka 15 Bagamoyo bei ya kutupa

    Shamba lipo fukayosi Bagamoyo.. lilikuwa la mananasi msimu uliopita na linatoa mananasi mazuri sana. Lipo Fukayosi Bagamoyo - km 10 kutoka Bagamoyo road, shamba lina heka 15. Document zote za serikali ya kijiji zipo na halina migogoro yoyote. Bei ni milioni 15 (15,000,000/=) tu Nauza lote...
  11. NMB Mkononi ina shida gani..?

    Wakuu, Jana nimekwenda kwa wakala kutoa hela ya mboga kidogo kama 400k ila nashangaa hadi leo hii sijapata SMS kwenye simu yangu kutoka NMB mkononi na nimejiunga toka kitambo na kila transaction niliyokuwa nafanya awali nilikuwa na pata SMS. Hii inakuwaje wataalam maana napenda sana hii issue...
  12. Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote, liko vizuri sana

    Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote,liko poa sana. Shida ya jeshi la polisi ni latina. Shida ni CCM, Shida ni serikali iliyopo madarakani. Hilo afrika kusini wakate wa makaburu mapolisi walifanya hivihivi,lakini serikali ilipobadilika na matendo ya askari yakabadilika. Latina yao...
  13. F

    Vodacom hawajatoa gawio la hisa mwaka huu, shida nini?

    Kampuni ya mawasiliano kwa njia ya simu za mikononi Vodacom, hawakutoa gawio kwa wana hisa wake, shida nini? Ni kawaida kutoa gawio mwezi June au July, lakini mwaka huu hakuna kitu. Kunanini Vodacom?
  14. Nina tatzo la uume wangu katikati ya kutolea mkojo kuna kinyama kimejitokeza kidogo, sijui nini shida

    Dr habari za kazi aisee Nina tatzo la kujitokeza kinyama katikati ya uume wangu n kadogo Sana kapo sehemu unapotokea mkojo sijui nn shida msaada wako na tiba yake nini? Samahani kwa hiyo picha.
  15. R

    Mabaraza ya ardhi na nyumba ya Wilaya ni shida tupu

    Shida zenyewe ni hizi: 1. Yana Mwenyekiti mmoja ambaye anaweza kuwa anahandle kesi za wilaya kama 3 mfano Tanga DLHT kama sikosei (stand to be corrected) ana cater for, Korogwe, Pangani, Kilindi kuna Mwenyekiti mmoja. Backlog ni kubwa kiasi mtu case inapigwa kalenda/tarehe miezi sita!/mitatu...
  16. Yanayoendelea maduka ya Vunja Bei ni shida

    Twendeni taratibu wana Simba muda bado upo. Fred ashauriwe kufungua matawi mengi Dar ili kuepusha msongamano. Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba SC,🦁 Babra Gonzalez 👸 amesema kuwa baada ya kuingiza jezi mpya za Simba 🦁 sokoni ndani ya masaa 8 jumla ya jezi 42,000 zilikuwa zimeshauzwa na mawakala...
  17. Shida ya maji ndani ya tozo Morogoro Mjini

    Mamlaka husika i.e. Morowasa na mamlaka zenye mamlaka ya kuwawajibisha Morowasa tunaomba mtufikirie sisi wananchi Morogoro manisapaa, kata ya Kihonda-maghorafani. Ni wiki ya tatu sasa, maji hayajatoka katika mabomba yetu, kibaya zaidi hatujapewa taarifa yoyote kama kuna tatizo au ni uvivu tu...
  18. RC Homera: Kuleni Maharagwe aina ya Jesca muongeze nguvu za kiume

    RC wa Mbeya, Juma Homera amewashauri wanaume wenye matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume kuacha kutumia dawa za kienyeji kuongeza nguvu hizo akidai dawa hizo zina madhara na badala yake watumie maharagwe aina ya Jesca
  19. Rais Samia atuondolee Waziri Gwajima na Msaidizi wake Dkt. Mollel, wana utoto mwingi na wanatusumbua hivi sasa

    Kwani hi Chanjo ni jambo kubwa sana kama nchi iko vitani vile? Kwanini wanakomalia sana as if hakuna shughuli nyingine za kufanya? Wananuka shombo na kama vile wananchi wamewachoka. Hawa viongozi wana utoto mwingi na wanasababisha ukakasi kwenye hili suala la chanjo. Kuna wakati wangekaa kimya...
  20. Rais Samia, ni Watanzania gani hao waliokubali hizo tozo?

    Nimeshangaa na kufadhaishwa sana naa kauli ya raisi kuwa eti watanzania hawajakataa tozo na wapo tayari kuchangia hizo tozo ila tu zipunguzwe. Hii kauli imenifanya nijiulize sana kuwa either amechoka kuongoza au hajui afanye nini. Watanzania gani hao wanaokubali tozo hizi? Mmekaa wenyewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…