shida

Hikaru Shida (志田 光, Shida Hikaru, born June 11, 1988) is a Japanese professional wrestler, martial artist, actress, and model, currently signed to All Elite Wrestling (AEW), where she is a former and the longest-reigning AEW Women's World Champion. On February 25, 2021, she became the longest reigning overall champion in AEW history, breaking the previous record of 277 days set by former AEW World Champion Jon Moxley.She also works for the Makai company, and makes appearances for the Oz Academy and Pro Wrestling Wave promotions.
She started her professional wrestling career in 2008, when she joined the Ice Ribbon promotion, after taking part in a film titled Three Count, set in the world of professional wrestling. She remained with the promotion until 2014, becoming a one-time ICE×60 Champion and four-time International Ribbon Tag Team Champion. Outside of Ice Ribbon, Shida has held the Wave Single Championship, the Oz Academy Tag Team Championship and the Sendai Girls World Tag Team Championship.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Ofisi ya msajili wa vizazi na vifo(RITA) ni waongo au shida iko wapi?

    Habari Niliomba vyeti mbali kupitia system yao ijulikanayo kama RITA ONLINE, nimeomba toka mwezi November na leo Januari sijajibiwa, wanasema tu payment received, Payment status, ukiwauliza wanasema wanajibu baada ya siku 10 za kazi Sasa nina zaidi ya mwezi hakuna progress yoyote, na ni zaid...
  2. R

    Mnaokwenda kwenye makanisa ya manabii, mitume, shida zenu huwa haziishi?

    Huwa kweli nacheka sana nikiwasikiliza hawa manabii, mitume siJui maaskofu wanapowaingiza watu mkenge kuwachukulia pesa zao. Utasikia kama kiPindi hiki cha mwisho wa mwaka unaambiwa kutakuwa na ibada maalumu ya kufungua malango ya mwaka mpya. Kumbuka wakati huohuo mwezi uliopita alikuja mhubiri...
  3. Simu za Redmi zina shida ya overheating?

    Wakuu salama? Nilinunua Redmi 10 mapema mwaka huu, baada ya miezi michache ikaanza kupata moto sana na kumaliza battery haraka nikapeleka kwa agent aliyeniuzia wakapeleka service center mwisho tatizo halikuisha, wakanipa device nyingine hiyo hiyo brand ya Redmi, but note 10s. Miezi miwili sasa...
  4. Tuna shida mahali kwa swala a Ajira

    Tunazaliana usiku na mchana ila nashangaa eti walimu hawana kazi, Nchi inachekesha sana Mzungu ana watoto wawili ila walimu hawatoshi pamoja na jitihada za serikali, ila sisi Tangazo la kazi unalikuta barabarani na bado watu hawaendi
  5. JKCI: Wenye shida Moyo 60% hufika Hospitali wakiwa wamechelewa

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imesema asilimia 60 ya watu wanaowapokea wanakuwa wamefikia hatua mbaya ya magonjwa ya moyo, kutokana na kuishi muda mrefu pasipo kutambua hali zao, hivyo kujikuta wakilazimika kutumia gharama kubwa zaidi kwenye matibabu, ambazo zingeweza kupungua...
  6. DOKEZO Matrafiki wa Ifakara na Lupiro ni shida kubwa

    Habari ndugu zangu? Naomba niseme haya ili wenye mamlaka wawachukulie hatua ikiwemo waziri wa mambo ya ndani na IGP nk. Ifakara na Lupiro ipo mkoa wa Morogoro. Iko hivi trafiki wa Ifakara hasa maeneo ya kabla na baada ya daraja la Magufuli (Kivukoni) wamekuwa kero sana kwa waendesha bajaji...
  7. Nadhani sasa naelekea kushindwa haya mapenzi. Sijui shida nini maana mi nimechoka

    Nimeona nami nichepuke kidogo ( nisamehe mpenzi wangu huko uliko nlipitiwa tu na lishetani mbwa hili) Huyu demu nimemnunulia nyama choma ya kuku na ndizi 2. Kisha kanywa na Konyagi nusu Mzinga. Ameenjoy ndo tukaenda kulala lodge. Mi nikaomba angalau nami ninanii...yaani nifanye naye matusi...
  8. Mtaa wa Karume Morogoro maji hayatoki kwa wiki ya pili sasa

    Swali kwenu nyinyi mamlaka ya maji mkoa wa Morogoro sijui MORUWASA cjui MWARUWASA, mana me mgeni, kwenye huu mkoa nna mwez wa 2. Sasa toka nihamie kwenye huu mkoa na mtaa nliopanga nyumba apa Karume tunaenda wik ya 2 sasa maji hayatoki shida ni nini asee mana sasa tunakoelekea mtaaan yatazuka...
  9. Ushauri kabla mwaka haujaisha tuwashike mkono wenye shida, Upendo na Maombi mtambuka

    Katika hali ya kuishi umungu ndani yetu na kumuishi mungu wetu, Kwa rehema zake tukajae mioyo ya huruma na upendo, tukawashike mkono enye shida mfano wagonjwa hospitalini Kwa chochote kile, iwe pesa, iwe chakula etc. Sambamba na hilo pia tusiwasahau wajane, yatima na wasiojiweza kama wenye...
  10. B

    Wasiwadanganye kwa picha wanazotupia mtandaoni, Watanzania waliokuja Qatar kwa ajili Kombe la Dunia wengi wanaishi kwa shida sana

    Toka nimekuja Qatar kwa ajili ya Mapumziko nikitokea Sweden ambako nlipitia kusalimia nikiwa nimetokea Japan kwenye meeting iliyokuwa imeanzia Usa. Nipo hapa Qatar toka tarehe 10 November. Nabadilisha badilisha Hotel maana sipendi sana mazoea na watu so kuna dada mmoja ambaye yeye huwa namtumia...
  11. S

    Napata shida sana kuipenda nchi yangu kwasababu ya "ujinga" wa wanaccm

    Hii miccm imevunja morali ya watanzania kuipenda nchi yao kwasabb ya uongozi mbovu na usio na dira wala mwelekeo. Kila zama na awamu wamekuwa wakija na ahadi za kijanjajanja na ulaghai za kuboresha huduma za watanzania. Tangu kuanzishwa kwa vyama vingi wamekuwa wakifanya hujuma kwa ama kuiba...
  12. Wengi tuna 'depression' lakini tunaogopa kuongelea kwa kuhofia kuonekana dhaifu, kutangazwa, kuchekwa na tunaowashirikisha kufurahia tunayopitia

    Hasa wanaume tunashindwa kusema ukweli kwamba tuna depression kwasababu tunaogopa kuonekana dhaifu kama wanawake, pia namna ambavyo jamii inamchukulia mwanaume inamuona kama kiumbe ambaye anatakiwa awe ngangali muda wote ila kiuhalisia depression haichagui mwanaume wala mwanamke. Wengi sana...
  13. Kwanini bara la Afrika lipo nyuma kwa kila kitu kuliko mabara mengine?

    Habari gani ndugu wananchi? Kuna jambo limeliwaza sana hasa nilipokuwa nikitazama kombe la dunia hii leo kule Qatar. Shida hivi ipo wapi kwa nchi za kiafrica? Kwann kila kitu kibaya ni Africa? Uongozi, tunalalamikiana Africa, Sayansi na teknolojia tupo nyuma zaidi ya sana nahisi ndo wa Mwisho...
  14. Kuna shida gani endapo moyo utakalia kulia?

    Swali la moja kwà moja kuna shida gani endapo moyo wa binadamu utakalia kulia badala ya kushoto? Nimekutana na hii kesi.
  15. Z

    Kwanini nikitangaza dau anakataa eti yeye siyo malaya ajiuzi lakini kutwa analia shida

    Wanawake siwaelewi. Huyu analia shida kuwa maisha magumu, na anamlalamkia mpenzi wake kuwa ni bahiri, lakini nikitangaza dau anipe penzi anakataa kuwa yeye siyo malaya. Nimetangaza dau la laki tatu na afya tunapima.
  16. Hivi kuna mtu anajua kuhusu hii umeme kukatika, nini kinaendelea au shida nini??

    Please naona sasa tunaenda mwendo kimya kimya imekuwaje umeme unakatwa kila siku hatupewi taarifa, nini shida maana tukipata taarifa inakuwa nafuu tunajua namna ya kujipanga na ratiba sasa hii kimya kimya unaamka unakuta wamechukua unajipa moyo sijui utarudi sasa hivi mara inagonga jioni. Hebu...
  17. Hivi wanaume shida huwa inakuwa nini?

    Dear sasa wanaume, mnachosha! Nilifanya mahojiano mahali ila ilikuwa ni ya binafsi, sema wanahusika na serikali kamshahara kalikuwa kanono kweli. Swali la kwanza umeolewa hapana, kwa hiyo unaweza pelekwa popote? Naomba mnukuu hili, nikajibu ndiyo. Una miaka mingapi? Mh yakawaida, wakaandika...
  18. Mmarekani kamfitini Ukraine, Ukraine kaona isiwe shida naye afitinisha. Je, ataweza?

    Salama wandugu, Mwanzo kabisa tuliona aliyeanza kufitinisha ni mmarekani kwa kumjaza kiburi zelesky na kuanza kuzozana na Putin. Mambo yalipoharibika zelesky akabaki pekee yake akiambulia kupewa vijisilaa vidogovidogo. Zelesky ameona isiwe shida njia anaijua ya kuwaingiza kwenye mgogoro ni...
  19. N

    Ninaomba shida ya maji Dar iongezeke mara dufu zaidi

    Dar ni Tanzania, Tanzania ni Dar. Hutaki hili basi utakuwa una matatizo makubwa ya kijinsia!!! Ukitaka kuona watu wa makabila yote Tanzania hapa basi fika Dar, Ukitaka kuona watu wa dini zote (unazozijua na usizozijua) basi nenda Dar, Ukitaka kuona ofisi zote kuu za vyama vya siasa basi nenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…