shida

Hikaru Shida (志田 光, Shida Hikaru, born June 11, 1988) is a Japanese professional wrestler, martial artist, actress, and model, currently signed to All Elite Wrestling (AEW), where she is a former and the longest-reigning AEW Women's World Champion. On February 25, 2021, she became the longest reigning overall champion in AEW history, breaking the previous record of 277 days set by former AEW World Champion Jon Moxley.She also works for the Makai company, and makes appearances for the Oz Academy and Pro Wrestling Wave promotions.
She started her professional wrestling career in 2008, when she joined the Ice Ribbon promotion, after taking part in a film titled Three Count, set in the world of professional wrestling. She remained with the promotion until 2014, becoming a one-time ICE×60 Champion and four-time International Ribbon Tag Team Champion. Outside of Ice Ribbon, Shida has held the Wave Single Championship, the Oz Academy Tag Team Championship and the Sendai Girls World Tag Team Championship.

View More On Wikipedia.org
  1. Qs Cathbert

    JamiiForums Tanzania Uandaaji wa Ramani za Nyumba bado umekua ni shida kwa baadhi ya wataalamu wetu

    Nimekua nikiangalia ramani nyingi sana za nyumba zinazoandaliwa na professionals wetu wengi kwa industry lakini bado nagundua kuna shida,, 1. Ramani zinaandaliwa pasipo kuzingatia proper coordination of Rooms. Mfano: Kuna ramani nmekutana nayo,,Public toilet iko katikati ya Kitchen na Dining🤣🚮...
  2. bay_zooh

    JamiiForums Tanzania Nina shida na ndugu Mshana Jr

    Habari za wakati huu, Nina shida na Mshana Jr. Ewe ndugu Mshana Jr nimekutafuta PM lakini meseji haziendi. Uonapo uzi huu please naomba unitext. Shukran.
  3. K

    JamiiForums Tanzania KERO Kero: Kuna shida kubwa sana ya maji jiji la Mwanza (Nyamagana)mitaa ya Igoma, Machinjioni, kwa Kibeshi, Mhandu

    Sijui ni viongozi wa MWAUWASA wanataka kumgombanisha mama na wananchi kwa makusudi au ni vipi.Yaani maji yanaweza kukosa mwezi mzima na viongozi wapo tu ofsini. Wizara ya Maji chini ya AWESO em fatilia hili limekuwa kero inayojirudia mara kwa mara.Mama anamwaga fedha nyingi sana kwenye MAJI ila...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ahsante Mungu, Arab Contractors walikuja kipindi Cha JPM; Wangekuja kipindi Cha Samia hakika ingekuwa shida kubwa.

    Ni wajomba zake kutoka Oman ndo maana wamepata.........,.... Hapo amewaleta makusudi wajomba zake hao Ili wavune na wanyama wetu pia............. Nchi inauzwa hii.................... 2025 arudi kwao kizimkazi atuachie Tanganyika yetu.............. R.I.P JPM......n.k Ahsante sana Mungu, hakika...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwanzoni mnasema mpo single baadae mnasema kuna mtu nyie wanaume mna shida gani??

    Nimekumbuka hili tukio huwaga linaniumiza sana… Unakuta mwanaume anakuangaikia kukupata mnaenda vizuri mara anabadilika mwisho wa siku ana kwambia yeye kuna mtu yuko nae kabla yangu so ina maana mimi ni mchepuko wake Oya kuna Kijana mmoja baada ya kuwa na kutokuelewana sana kati yetu...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Shomari Kapombe kimepanda tena, Shida ilkuwa nini?

    Ni wachezaji wachache sana wanaoweza kurudisha kiwango chao hasa waliotumika mda mrefu Huyu jamaa msimu uliopita alikuwa na wakati mbaya sana. Na kwa kweli mashabiki walikuwa wameshapoteza matumaini kwake. Chini ya kocha mpya kapombe yule wa.kipindi kileee tunamwoma tena V pass.kama kawa...
  7. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania KERO YAS (zamani TIGO Tanzania) kila ikifika saa moja usiku hadi saa 4 huduma yao ya kifedha inasumbua nini shida?

    Hawa Nyash sorry YAS Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida... Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu! Na ukipiga huduma kwa wateja wanajibu simple tu wanashughulikia.. Lakini tatizo ndio liwe kila siku??
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kama waziri kuonana na Rais ni changamoto hivi, kuna shida mahali

    Msikilize, Prof Mkenda akilalamika mbele ya Rais kwa kunyimwa nafasi ya kuonana na Rais. Au labda ni kuhimarisha ulinzi wa Rais? Wanajukwaa mna maoni gani kuhusu hili.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha shida na matatizo mengi ya sasa yamesababishwa na huruma zetu wanaume kutaka sifa kwa wanawake walioshindikana

    Zamani mwanamke aliyeachika au kutalikiana na mmewe alikuwa hatakiwi kabisa kupewa nafasi yoyote ya uongozi katika jamii. Jamii ilifanya hivyo ili kupeleka meseji kwa wengine kuepuka kuishi maisha ya kisingle maza pasipo sababu ya msingi. Wanaume ambao hawakutimiza majukumu yao ya kulisha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mkojo kuchangnyikana na manii shida itakuwa nini

    Miaka kama mitatu sasa nimekuwa nakojoa mara kwa mara , nikichukua mkojo wa asubuhi nikiuweka kwenye chombo kisafi kinachoonekana humo ni mkojo na uteute , nimekwenda hospital kupima magonjwa haya 1. Hiv/Aids 2. UTI na 3. Nimecheki tezi kuwa either limetanuka au Kuna cancer majibu yote...
  11. Multi-skilled

    JamiiForums Tanzania Azam tv mmeweza, lakini kuna shida kundi la vijana

    Azam TV Niwapongeze kwa kusaidia kuleta mapinduzi makubwa kwenye soka la Tanzania kwa sasa kila nyumba ina shabiki wa mpira kama si familia nzima, Mnastahili pongezi. Lakini hofu yangu ni juu ya kuongezeka kwa vijana wavivu wanaopenda kuangalia mpira muda wote wakimaliza NBC PL wanaenda Laliga...
  12. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na ganzi kwenye vidole vya mkono na hivi karibuni imesambaa kwenye miguu, shida inaweza kuwa nini hapa?

    Hii shida ilianza taratibu mwezi wa 12 mwanzoni ilianzia kwenye ncha za videle vya mkono. Nilijua itapona yenyewe ila sioni dalili. Wiki moja iliyopita naona ni kama inahamia kwenye nyayo na vidole vya mguu. Nilienda hospital, wakafanya full blood picture, cholesterol, sugar, urinalysis n.k...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Shida ilianza pale Pacome na Chama wote kuanzia Sub

    Ni siku ya 18/1/2025 ambapo Yanga ilipoteza points dhidi ya MC Alger na kutofuzu robo fainali . Wana Uto walilia sana
  14. luckWill

    JamiiForums Tanzania Hp laptop iko mnadani. Kweli nmeamini shida haina Adabu

    Baada ya kuchapisha nyuzi kadhaa za kuomba ushauri na changamoto ninazo pitia kipindi hiki cha njaanuary, nmepokea maoni na sasa sina budi kuweka mnadani kifaa changu cha kazi niweze kutatua changamoto hizi naomba msaada wenu matajiri wa JF -Hp Elitebook -Ssd 256 -Ram 8 Graphics Processor: UHD...
  15. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa hisa wayumba hamna kuingia kwenye Ac zetu! Nini shida?

    Wadau wa hisa leo mmeliona hili tatizo? DSE mnakwama wapi? Nawasilisha ila mpaka sasa bilabila na hamna taarifa rasmi.
  16. oringa kazenga

    JamiiForums Tanzania Shida ya uoni hafifu

    Habari ndugu zangu wanajamii, Mimi nina shida ya kuona vizuri tangu mwaka 2018, Nimeenda hospitali kama muhimili na Dr Agarwal nilipewa dawa ya vitamini wakidai ni shida ya neva za kuona. Leo hii nilkua darasani nikawa imeingia chumba chenye AC na feni macho yameanza kuniwasha sana baadae...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Vyuo vingi vinafanana elimu, shida inakuja wapi kuna baadhi ya vyuo ni nadra kuwakuta wahitimu maofisini?

    System ya elimu ya hapa Tz inafanana karibu vyote Tanzania Lecturers wengi wa vyuo vya Tanzania ni wahitimu UDSM Walimu wengi hawaandai notes zao, wanatumia notes za mitandaoni kufundishia darasani. Wanafunzi wengi wanasoma kwa kukariri sana kwasababu lugha ni changamoto Jambo la kushangaza...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Shida tunazozitoa mabroo tunaopenda Hip Hop

    Mstari unaotenganisha Rap na uhuni ni mwembamba sana. Mimi ni mmoja wa watu wanaopenda zaidi rap kuliko aina yeyote ya mziki. Ili roho yangu isuuzike kusikiliza mziki basi inabidi iwe rap. Zamani nikiwa dogo nilikuwa sipati shida kuupa moyo wangu kile unataka. Sasa unakuwa bro, kinachosemwa...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania HItimisho: Hayati Magufuli alikuwa tatizo ila shida kuu ni CCM

    Baada ya kuendelea kwa vitendo vya utekaji na mauaji ya watu walio na mawazo mbadala kuhusu uongozi wa nchi na demokrasia kwa ujumla hata baada ya kifo cha Magufuli swali kuu ambalo wanajiuliza watu wenye akili ni kwa nini matukio haya yanaendelea? Sote tunakubaliana kuwa Magufuli alikuwa...
  20. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Niko na shida nahitaji kumbadilisha jina mwanangu kutoka Samia kuwa Amina, Utaratibu ukoje?

    Kiufupi baada ya kupata mtoto wangu 2021 nilimpa Jina la Samia kutokana na mafanikia ya bi mkubwa mmoja mtaani ambaye alikuwa mwanamke wa kwanza pale mtaani kuwa na Master of Science in Computer Science, lakini namna alivyokuwa ghafla hizi siku za karibuni, siamini kama anaweza kuwa mfano mzuri...
Back
Top Bottom