sheria

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaimu IGP Masengeli ahukumiwa kifungo cha miezi 6 jela kwa kudharau Mahakama

    Mahakama ya Juu imemhukumu Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli kifungo cha miezi 6 jela kwa kosa la kudharau mahakama. IGP alipuuza agizo la mahakama takriban mara 7 la kumtaka kufika mbele ya Jaji Lawrence Mugambi kueleza waliko watu watatu wanaodaiwa kutekwa na maafisa wa...
  2. JamiiForums Tanzania Je, tunaweza kukabiliana na hawa polisi nje ya utaratibu wa sheria?

    Habari wakuu. Kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria kwa upande wa Polisi ambapo tumeshuhudia na kuskia matukio mengi yanayofanywa na polisi kama vile kumpiga mtu risasi badala ya kumkamata na kumfikisha kwenye sheria. Kuteka watu na kuwapoteza au kuwaua,kupokea rushwa na kukwepa uwajibiakaji...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Sheria ikoje pale Polisi anapoua pasipo kukusudia?

    Leo nimeona niulize hapa JF inapotokea risasi iliyopigwa na polisi imeua bila kukusudia. Sheria ikoje? Kwa hali inavyokuwa mara nyingi hapa nchini, polisi anakuwa amekusudia kuua ila inatokea siyo mlengwa moja kwa moja. Kozi risasi inayopigwa kwa lengo la kuwatawanya watu inapigwa juu na...
  4. JamiiForums Tanzania Sheria ya bima ya afya kwa wote yaanza kutumika, kipengele cha 'lazima kwa wote' chasitishwa matumizi

    Waziri wa afya, Ummy Mwalimu ametoa tangazo la kuanza kutumika sheria ya bima ya afya kwa wote Tarehe 16 Agosti, 2024. Awali bima hii ilikuwa iwe lazima kwa wote na kuleta mjadala mkubwa lakini tangazo la matumizi halijajumuisha kipengele husika.
  5. JamiiForums Tanzania Sheria nyingi zilizoundwa na CCM zimelenga kutengeneza mazingira ya kufanyika uovu

    Taasisi yoyote inapotaka kufanya uovu wowote, kwanza hutengeneza mazingira ya kuwezesha uhalifu kuweza kufanikiwa. Serikali ya CCM, muda mwingi imekuwa ikiandaa mazingira ya kisheria ya kufanya uovu dhidi ya umma: 1. Serikali ya CCM kwanza iliandaa na kupitisha sheria ya kinga ya viongozi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuja na sheria mpya dhidi ya vitendo vya ukatili kwa watoto

    Kutokana na vitendo vya ukatili vinavyoendelea nchini dhidi ya watoto ,Bunge limeeleza kua serikali inatarajia kuleta muswada wa marekebisho ya sheria ya ulinzi na usalama kwa mtoto. Lengo la muswada huo ni kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya mtoto vinavyoendelea nchini baada ya vitendo...
  7. JamiiForums Tanzania Utii wa sheria bila shuruti UMENAJISIWA na Polisi Tanzania? Wananchi tushtuke sasa kwani hatupo salama

    Nisiwachoshe sana. Matukio ya watu kupotea ndani mikono ya polisi. Matukio ya watuhumiwa kuteswa na kutwezwa wakihojiwa na polisi Matukio ya mauaji ndani ya vituo vya polisi ni mengi Matukio ya watu kutekwa na vyombo vya dola kisha kutoweka ni mengi Matukio ya kutishia wakosoaji na kuwabambika...
  8. JamiiForums Tanzania Taliban yaja na sheria kali zaidi dhidi ya wanawake Afghanistan, jumuiya ya kimataifa yalaani vikali

    Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma...
  9. JamiiForums Tanzania Iwepo sheria kuwalazimisha wafanyabiashara wote wenye turnover ya zaidi ya Tsh 400m kwa mwaka wawe na wahasibu angalau ngazi ya certificate.

    Hii ninashauri ili kupunguza tatizo la ajira na pia kusaidia kupunguza migogoro kati ya serikali na wafanyabiashara. Kuna kutokuelewana pakubwa kati ya serikali na wafanyabiashara kwenye hesabu zao. Mamlaka zinaona wafanyabiashara wanakwepa kodi huku nao wakiona mamlaka wanawaonea. Kupunguza...
  10. JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Ulinzi wa Mtoto

    BUNGE LAPITISHA MUSWADA, MAREKEBISHO YA SHERIA ZA ULINZI WA MTOTO. Na WMJJWM, Dodoma Bunge la Tanzania limepitisha muswada wa marekebisho ya sheria zinazohusu ulinzi wa mtoto wa mwaka 2024 leo Agosti 30, 2024 jijini Dodoma. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe...
  11. JamiiForums Tanzania Sheria zinapotungwa na watu wanaojua kusoma na kuandika bali siyo critical thinkers madhara yake huwa makubwa mbeleni

    Bunge ni chombo muhimu kwa maslahi ya pana ya Taifa hususani katika kuweka sheria na utaratibu wa kanuni/sheria za nchi,maadili ya viongozi na usimamizi wa chama/serikali tunapofanya mzaha katika kutathmini/kuweka vigezo vya mtu kugombea nafasi za ubunge tutambue kuwa tunawasaliti na kuwaumiza...
  12. JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha muswada wa marekebisho ya sheria za hifadhi ya jamii

    Na; Mwandishi Wetu - DODOMA BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2024 wenye mambo kadhaa yanayolenga kuondoa changamoto zinazowakabili wanachama na utaratibu wa upatikanaji wa mafao. Marekebisho hayo yanagusa Sheria tatu ambazo ni Sheria ya Mfuko wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kusoma shule kuu ya sheria yaondolewa

    Rasmi sasa ili kua wakili sio lazima kusoma shule kuu ya sheria
  14. JamiiForums Tanzania Ripoti Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC): Wanawake Viwandani wananyanyasika kingono

    https://www.youtube.com/live/380UNEwvBCo?si=ES97yMPqBEkG_Qon Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) wakati kikizindua Ripoti ya 10 ya Biashara na Haki za Binadamu leo August 27, 2024, Afisa Program Mwandamizi wa Tafiti kutoka kituo hicho, Fundikila Wazambi amesema kuwa wamebaini...
  15. JamiiForums Tanzania KERO Sheria inayompa mamlaka makubwa DPP, kuwa apeleke au asipeleke kesi mahakamani, ni mbaya na inafaa ifutwe

    Miongoni mwa sheria mbovu sana zilizopo nchini ni inayompa mamlaka DPP ya kuweza kupeleka au kutopeleka kesi yoyote ya jinai, inayomkabili mwananchi yeyote na asitoe sababu za kutoipeleka kesi yoyote Ile mahakamani! Hii ni sheria mbovu sana, ambayo ilitungwa Kwa nia ya kuwafanya baadhi ya...
  16. E

    JamiiForums Tanzania MSAADA SHERIA ZA BARAZA LA MICHEZO

    Ndugu zangu naomba mwenye sheria za baraza la michezo anisaidie. Namaanisha zinazotumika kusajili na kuendesha vyama vya michezo
  17. JamiiForums Tanzania Kuna sheria inayomtaka mhudumu wa banda la chips kuwa na cheti cha afya kutoka serikalini?

    Hello! Leo katika pita zangu mtaani kwetu makuburi nikamkuta bwana afya wa kata ya makuburi kibangu wanakoromeana na mmiliki wa banda la chips huku mmiliki wa banda hilo akimnyooshea kidole bwana afya kuwa anafanya utapeli kwa kuwa yeye(mwenye banda la chips) ana miaka zaidi ya mitano katika...
  18. JamiiForums Tanzania Ewe Raia mwema wa Tanzania usidanganyike, tii Sheria bila shuruti, zingatia wito na uamuzi wa Mahakama na Wananchi kwa hekima na busara

    Ni uzalendo wa maana sana kuitikia wito wa dola, kutii maelekezo, ilani au amri za vyombo vya ulinzi na usalama bila ukaidi, ubishi wala kiburi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.. Jitahidi sana uwe Raia mwema siku zote, muungwana, mzalendo, mtiifu kwa sheria na katiba ya nchi, na kutoa...
  19. JamiiForums Tanzania Zifahamu nguvu ya sheria za siri za ulimwengu

    THE HIDDEN POWER OF THE UNIVERSAL LAW NGUVU YA SHERIA ZA SIRI ZA ULIMWENGU 👉Hili ndilo Neno la Mungu, sheria 12 za ulimwengu ni sheria zilizowekwa au kusetiwa na Ile Nguvu kuu tuliyokubaliana kuwa ndio Chanzo Cha kilakitu tukaiita MUNGU Katika dini/ENEGY kisayansi,ROHO katika Asili ama...
  20. JamiiForums Tanzania Jamii za wafugaji hampo juunya sheria

    Mara kadhaa mnajichukulia sheria mkononi. Ikibidi paundwe mkoa maalum wa Kipolisi ikijumuisha Karatu, Longido, Kiteto, Monduli, Ngorongoro na Chemba.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…