sheria

  1. JamiiForums Tanzania Sheria ya kimataifa ya vita kiuhalisia haitekelezeki

    kuna sheria inasema kwamba mwanajeshi aliyeishiwa risasi akijisalimisha kwa jeshi la upinzani anapaswa aheshimiwe na alindwe apewe huduma za afya chini ya uangalizi. Tukija kwenye uhalisia assume hata wewe upo kwemye uwanja wa mapambano halafu adui yako aliyekuwa anataka kukuaa amekukosa kosa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda anahalalisha uvunjifu wa sheria? Hizo kesi anazosema auziwe yeye atazimaliza vipi au anatuma ujumbe gani?

    Makonda anaalika watu wenye Range, Doscovery nk kwenda Arusha kwenye tamasha la land rover festival 2024, huku akieleza kuwa watakaokwenda wakiwa njiani wakipata changamoto yoyote wamwambie Huyo Askari wa Barabarani ampigie Makonda, yaani kesi zote auziwe yeye Makonda, waseme Makond ndio...
  3. JamiiForums Tanzania Isemavyo Sheria ya Mali za Ndoa na Kesi ya Kifo cha Juma Mfaume dhidi ya Wafanyakazi wa OYA Microcredit

    Kufuatia kifo cha kusikitisha cha Juma Said Mfaume, mkazi wa Mbagala Mlandizi, familia yake/mke anaweza kufungua kesi ya fidia dhidi ya wafanyakazi wa Kampuni ya OYA Microcredit. Juma, ambaye alikuwa mume wa Khadija, alifariki baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa kampuni hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya Ndoa kuvunjika, sheria inasemaje hivi kuhusu matunzo ya mtoto?

    S/N MASWALI MAJIBU 1 Mtoto wa umri gani analazimika kisheria kubaki na mama pale wazazi wanapotengana au kuachana? Kwa mujibu wa sheria ya mtoto ya mwaka 2009 iliyofanyiwa marekebisho Mwaka 2019 kifungu cha 26 (1) (a), (b) (c) na (2) inaeleza kwamba endapo wazazi watatengana mtoto atakuwa na...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kutokamata mali za serikali ya Tanzania inaposhindwa kesi za madai imepitwa na wakati TLS liangalieni hili

    Habarini, Sheria za Tanzania haziruhusu kukamata mali za serikali na Taasisi za Umma za serikali za Tanzania katika utekelezaji wa hukumu pale inapodaiwa na kushindwa kesi za madai kitu ambacho kinawanyima haki wananchi wengi wanaoidai. Kwa maana hiyo sheria hizo zimepitwa na wakati kwani...
  6. JamiiForums Tanzania Texas kupitisha sheria kali dhidi ya Islamic shariah law

    🚨BREAKING: Texas has passed a bill banning islamic shariah law and anything that contradicts American values. My take; Smart move, they don't want to end up like Canada and France.
  7. JamiiForums Tanzania Je Kuna Sheria kuhusu jinsi ya kupaki gari kwenye parking lot ya Bank?

    Nimefika bank nikageuza gari na kupaki. Nikashuka na kwenda ATM Mlinzi akaniambia ni kosa kugeuza gari kabla ya kuingia Bank. Kwamba gari ikae mwelekeo wa bank, baada ya kupata huduma ndipo nigeuze gari. Sikuwa na muda wa kuhoji nilikuwa na haraka. Naomba ufafanuzi mwenye kujua.
  8. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mbunge Uganda ataka Sheria itakayohakimisha wanandoa wanakutana ndani ya miezi 6 baada ya kuoana

    Hii sasa ni ajabu ya Karne; Ina maana kuna waganda wanatumia zaidi ya miezi 6 kabla ya kukutana kimwili baada ya kuoana? Sasa kwa muda huo huwa wanafanya nini? Mzee wetu gentamycin huko Uganda kazi anayo. Wanaojua lugha fuatilia wenyewe --- A Ugandan Member of Parliament has tabled a Bill that...
  9. JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini, Tume ya Madini na BoT wakutana na Wadau kuhusu utekelezaji wa Kifungu cha 59 cha Sheria ya Madini Sura 123

    Ikiwa ni mkakati wa kujenga uelewa kwa wadau wa madini kuhusu utekelezaji wa kifungu cha 59 cha Sheria ya Madini Sura 123, leo Oktoba 04, 2024 Wizara ya Madini imeratibu mkutano wa wachimbaji na wafanyabiashara wa madini uliofanyika jijini Dodoma ambapo elimu kuhusu utekelezaji wa sheria hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje ikiwa mwanamke amefunga ndoa wakati bado ndoa yake ya mwanzo haijavunjwa?

    Kama inavyojieleza Mfano upo kwenye ndoa na mke wako lakini kutokana na masuala mbalimbali ya kimaisha hasa ajira mnaishi mbalimbali kwa muda mrefu na mwisho kuwa na migogoro ya hapa na pale Baadae mwanamke anaamua kuolewa tena kimya kimya kule alipo bila wewe mume wake kumpa talaka au kuvunja...
  11. JamiiForums Tanzania Sheria 6 za dhahabu kwa nyie wanaume

    1. Unapokutana na msichana, usifikirie ngono kwanza; usiombe ngono. Hata kama una una mihemko kiasi gani, jifanye kuwa wewe ni mtawa kwa muda. acha kuonja kila msichana anayekuja kwa sababu kila ngono lazima ina nasaba ya hatma yako ya baadae. 2. Usiende kutafuta bikira, ikiwa wewe mwenyewe...
  12. JamiiForums Tanzania Sheria imzuie professa Juma kujenga ufisadi wa kitaasisi anaotaka kuujenga katika Mahakama

    Nimeshtushwa na kauli aliyotoa Prof Juma kwamba amepiga marufuku taasisi na viongozi wa nchi kuwapa ajira mahakimu na watumishi wa mahakama nje ya mahakama. Hii ni kauli ya hovyo kabisa aliitoa wakati akiapisha mahakimu 22 jana. Huyu Profesa ni zao la jalalani, asili yake sio Mahakama...
  13. JamiiForums Tanzania Angetii wito wa polisi bila shuruti kijana huyu wa CHADEMA asingelala korokoroni

    Mambo mengine bana, yanahitaji ungwana, hekima na busara tu kufikia muafaka na maisha mengine yanaendelea.. Angeitikia wito wa polisi kiungwana tu bila ubishi, na angetoa maelezo mahususi kama yangalikuepo bila kiburi wala ujuaji, haya mambo si huenda yangelikua yamekwesha mapema sana ndrugu...
  14. JamiiForums Tanzania Ahsanten sana manguli wa sheria humu mmetusaidia sana kwenye ushindi kesi za mirathi ya vijana fulani mtaani

    JAN24 Nilikujia na post moja ya kuomba ushauri kwenye kesi za mirathi ya vijana fulani mtaani. Kuna vijana fulani walifiwa na wazazi, sasa baba yao mdogo akawa msimamizi. Katika hilo, akagoma kuweka kiwanja cha marehemu kwenye documents za mirathi. Akatofoa cheti cha kifo cha marehemu kaka...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwahiyo Serikali na Polisi Maandamano yanafaa yakifanywa na CCM na Chawa, wakifanya wanaopinga serikali ni Uvunjifu wa Sheria?

    Wakuu, Tukio linaondelea wakati huu ni ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania. Kwenye maadhimisho haya wameonesha pia na kikosi cha FFU ambacho kinatumika kutuliza ghasia kukiwa na vurugu. Cha...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Msimamo wetu upo pale pale, tutaandamana Septemba 23, 2024

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini. Pamoja na hayo Lissu amesisitiza kuwa msimamo wa chama chake juu ya kuandamana tarehe 23 Septemba bado uko pale pale kwani...
  17. JamiiForums Tanzania Kibongo Bongo wafanyakazi hawazijui Sheria za kazi. Wananyanyasika sana bila kujua haki na wajibu wao

    Habari, Ni ukweli usiopingika kwa ajira hizi tunazofanya bila kujua haki na wajibu wako ni kazi sana kutoboa. Wafanyakazi walio wengi hawajui haki na wajibu wao katika kazi wanazo zifanya. Mfano Sheria ya Kazi inasema mfanyakazi anatakiwa kufanya kazi masaa nane, yanayozidi baada ya hapo...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Rais Samia, vijana tunataka tuwe viongozi, tunaomba sheria ya mgombea binafsi ili tupate nafasi kwenye vyama vya siasa, ni ngumu vijana kupenya

    Tunapoelekea uchaguzi wa 2025 nakuomba mama Samia na Serikali yako itunge sheria na kubadili katiba ya kuruhusu mgombea binafsi ili vijana tusio na maokoto tupate nafasi ya kugombea udiwani, ubunge na Urais. Kwa hali ilivyo kwenye vyama vya siasa ni ngumu sana kupenya kwa sababu ya wajumbe...
  19. JamiiForums Tanzania THBUB: Tanzania nchi inayopaswa kuzingatia Utawala wa Sheria

    Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB ), Mathew Mwaimu amesema kuwa Tanzania Nchi inayopaswa kuzingatia Utawala wa Sheria na kwamba Mtu anapoona hatari anatakiwa kutoa taarifa kwenye mamlaka stahiki. "Tunazungumzia Tanzania Nchi inayopaswa kufuata Utawala wa Sheria...
  20. JamiiForums Tanzania Wajua Kuna Sheria Halali, Batili na Batilifu, Ndoa Halali, Batili na Batilifu, Je Wajua Katiba ya JMT ni Batilifu?. Why Ubatili Huu wa Katiba Yetu?!

    Wanabodi, Japo mimi ni mwandishi tuu wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nimegundua kumbe wito wangu ni ualimu, kufundisha watu, hivyo from time to time nitakuwa napiga humu darasa la bure la katiba, sheria na haki. Somo la leo ni kuhusu halali, batili na batilifu, ambapo kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…