sheria

  1. JamiiForums Tanzania Mama Samia badili Sheria ya Makosa ya Jinai ( Penal Code), iendane na Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Utawin mioyo ya 99,% ya watanzania.

    Sheria mama ya Tanzania ( Katiba) inasema, umri wa utu Uzima ni kuanzia miaka 18. Sheria ya Makosa ya jinai ya Tanzania ( Penal Code), inatambua kama kosa la jinai, tendo la ngono Kati ya mwanaume mwenye umri wa mialka 18+ na msichana mwenye umri wa chini ya miaka 18,hata kama msichana huyo...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania ,Bunge linaweza tunga Sheria Kwa ajili tu ya kumbana TUNDU LISSU,au kumlinda MwanaCCM fulani!!

    Fikiria unakua na Bunge ambalo Wabunge wake wanakaa kuwaza namna ya kumdhibiti TUNDU LISSU!! Au Bunge linatunga Sheria Kumlinda Kiongozi fulan wa Chama chake Maajabu yanaenda mpaka Mahakaman, Majaji wanatoa Hukumu za ajabu sababu tu zitaibeba CCM, wanasahau kua Hukumu zao hizohizo...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: Asiyetii Sheria na Katiba huyo ni Gaidi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira, amesema utawala bora ni kutii Katiba na Sheria za nchi, hivyo mtu yeyote asiyetii na anataka kufanikisha mambo yake binafsi kwa kuua watu huo ni gaidi. Wasira ameyasema hayo leo Juni 22,2025 alipokuwa akizungumza katika kikao...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kikwete atetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?" Ameyasema hayo leo Juni 21 katika...
  5. JamiiForums Tanzania Sheria na taratibu za kufuata ili kuandaa pambano la masumbwi ni zipi? Kuna member watatu humu nataka niwadunde

    Bila kupepesa macho watu hao ni huyu jamaa anajiita Mume halali wa Ephen, mwingine ni huyu anajiita Mme Mwenza na watatu ni huyu secretarybird. Tajiri Sina BAYA nataka niwakunyuge kisawasawa hawa, tena ulingoni tukaingia wanne kwa pamoja, mimi nitakuwa mwenyewe tu wao watakuwa wananichangia...
  6. JamiiForums Tanzania House Girl, Sheria na Utaratibu

    Wana Jamii, nahitaji msaada/muongozo/kuelimishwa kuhusu utaratibu,sheria (kama ipo) kuhusu kutafuta na kumuajili msichana wa kazi/house Girl as a Single Man. Mimi ni Mwanaume wa miaka takribani 40, nahitaji kutafuta, na kumuajili msichana wa kazi, ili aweze kusaidia na mambo madogo kama kufua...
  7. JamiiForums Tanzania Prof Ndakidemi badala ushauri itungwe Sheria wazee wahudumiwe na serikali kwani walilipa Kodi serikalini. Watoto waliwatuma muwazae?

    PROF NDAKIDEMI BADALA USHAURI ITUNGWE SHERIA WAZEE WAHUDUMIWE NA SERIKALI KWANI WALILIPA KODI. WATOTO WALIWATUMA MUWAZAE? Anaandika, Robert Heriel. Kila mtu ni Mzee wa baadae kama akipata nafasi hiyo. Lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Mtoto Hana jukumu wala wajibu wa kumtunza mzazi wake. Hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Murtaza Mangungu: Wanasimba wanatakiwa kujuwa kuwa mpira unaongozwa na sheria

    Kuhusu 25 June, wanasimba wote wanapaswa kujua mpira unaongozwa kwa sheria na kanuni,hivyo sisi kama taasisi ya mpira lazima tuheshimu kanuni na sheria. Niwatoe wasiwasi mchezo namba 184 klabu yetu itakwenda uwanjani kuzipigania alama tatu ambazo zitatupa ubingwa msimu huu. Wanachama na...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Lissu ameni inspire nirudi darasani kusoma shahada nyingine ya sheria

    Leo wakati nafuatilia videos zote za matukio ya leo kuhusu kesi ya uhaini ya Lissu, nimejikuta nahamisika sana kurudi darasani kusoma shahada ya Sheria. Ni ukweli ukiijua sheria vizuri mahakamani uwezi kuonewa onewa kizembe. Ni rasmi sasa naenda kuanza kusoma sheria. Nitawekeza kwa nguvu zote...
  10. JamiiForums Tanzania Kupakua Video Youtube ni Kinyume cha Sheria. Askari aliyefanya hivyo ashtakiwe kwa jina lake

    Youtube wanaruhusu kusave video kwa watumiaji wanaotumia simu na unasave na kutazama kwenye kifaa hichohicho ulichotumia kuhifadhi. Wanafanya hivyo ili kulinda haki za waandaa maudhui. Pia Youtube inamtambua mtu yeyote atakayetumia njia nyingine kupakua video za mtandao huo kuwa ni JANGILI na ni...
  11. JamiiForums Tanzania Bunge halitungi Sheria

    Kama nitakua nimekosea mtanielewesha, maana ninachofahamu mimi ni kwamba; Bunge linapelekewa Mswada wa sheria, kisha wabunge wanajadili na baadae kupitisha Mswada ili ukasainiwe na Rais, na sio kwamba Bunge ndio linauandaa huo Mswada wa sheria. Kwa sababu huwa naona Mswada hupelekwa Bungeni...
  12. JamiiForums Tanzania Allah alitoa kibali cha kufaidi wake zenu vyovyote tutakavyo. Tusipangiane matumizi ya mashamba yetu

    ALLAH AMEWARUHUSU WAISLAM KUNYONYA MATITI YA WAKE ZAO NA KUNYWA MAZIWA YAO NA KUWAINGILIA KATIKA TUPU ZAO WATAKAVYO. Allaah Kamhalalishia mume kufurahi kwa mkewe atakavyo. Anaweza hata kufanya naye mapenzi kwa njia mbalimbali. Allaah (Ta´ala) Kasema: نسآؤكم حرث لكم فأتوا حرثكم أنى شئتم "Wake...
  13. JamiiForums Tanzania Wenda ndo yeye ameandaliwa kutuongoza Ana ufanano na aliyetangulia mbele ya haki Ila huyu anafuata sheria

    Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7, 1. Hapendi Rushwa 2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe 3. Anafuata sheria 4. Hana Kona kona 5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake kuachia uenyekiti kuna madudu mengi anaogopa yasijulikane, Mfano ya kule shambani hai, kimya kimya...
  14. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa AFYA & SHERIA.

    Habari wataalamu. Kama title inavyojieleza above, nina swali kuhusu campaign ya mambo ya afya kama yanaruhusiwa kisheria kufanywa kwenye app au social media. Mfano clinic ya meno, inatoa discount ya 50% ya wagonjwa 10 wa kwanza wanaosumbuliwa na meno, watakao wahi kulipia watapata discount ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Yanga ni kama kitinda mimba mkiwaendekeza watawapanda kichwani; TFF na bodi Msiogope; wasipocheza kateni point sheria itajitetea yenyewe mbeleni

    Yanga ni miongoni mwa timu nzuri Tanzania bara! Lakini uongozi wa Yanga una utoto mwingi sana! Ukipitia historia ya maamuzi ya Yanga hutaacha kuona utoto ndani yake! Hawahawa Yanga WALIKIMBIA CHAMAZI COMPLEX kama uwanja wao wa nyumbani NBC league kwa sababu za kitoto, uwanja ulikuwa mzuri...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali - Kifungu cha 31(10) cha sheria ya kazi na mahusiano kazini kinanichanganya

    Kifungu cha Sheria ya Kazi na Mahusiano Kazini Sura 366, Toleo Rekebu 2019 kinasema hivi: - 31(10) The pro rata amount of annual leave referred to in subsection (8) shall be calculated at the rate of one day’s basic wage for every 13 days the employee worked or was entitled to work. Na kifungu...
  17. JamiiForums Tanzania Kifungu cha Sheria dhidi ya Cyber bullying!

    Wakuu! Ni muhimu sana kuendelea kujifahamisha katika maswala ya sheria na kuepuka kuingia matatani. leo nilikuwa napitia hizi sheria zetu na nimekutana na kifungu kimoja muhimu ili kila mmoja akitambue kwa usalama wetu mitandaoni na pengine kwa moderators wetu . 23.-(1) Mtu hataanzisha au...
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Benki ya dunia yarejesha mikopo Uganda, baada ya miaka miwili iliyopita nchi hiyo ilipopitisha sheria dhidi ya watu wa LGBTQ

    Benki ya Dunia imesema inaondoa marufuku ya mikopo kwa Uganda ambayo ilikuwa imeweka miaka miwili iliyopita wakati nchi hiyo ilipopitisha sheria mpya dhidi ya watu wa LGBTQ. Mnamo 2023, Uganda ilipiga kura na kuidhinisha moja ya sheria kali zaidi za kupinga mapenzi ya jinsi moja duniani...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari awasilisha muswada wa marekebisho ya Sheria Tisa (9) Bungeni, agusa Bandari na Uhujumu Uchumi

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari akiwasilisha maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2025) Juni 5, 2025 Bungeni Jijini Dodoma. Aidha mara baada ya kuwasilisha maelezo hayo, Mjumbe wa Kamati ya...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming

    Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming. Kupitia mfumo huu mpya, mtumiaji wa simu ataweza kuunganishwa na mtandao wowote uliopo karibu; bila kujali kampuni ya simu ambayo amesajili laini yake. 📶...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…