sheria

  1. Z

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEWA imejiondoa yenyewe kushiri uchaguzi Mkuu, haikuondolewa na tume wala Rais. Ilisusia kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi kwa kiburi tu

    Huwa nawashangaa sana kina Polepole na genge lake wakitoa matamko eti...inakuwaje Uchaguzi Mkuu ufanyike bila chadema...wakitaka kuwaaminisha watu kama vile Rais au Tume ndio imewazuia Chadema kushiriki, wanajisahaulisha kuwa Chadema wao wenyewe kwa maksudi na jeuri waliamua kutokushiriki...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Muliro: Kama sheria haijakataza NRNE, basi imeruhusu NRNE

    Kuelekea uchaguzi mkuu October 29, Jana August 20, kamanda Jumanne Murilo alifanya tathmini ya UHALALI wa kauli mbiu ya "October tunatiki" ya CCM, dhidi ya "No reforms No ection" ya CHADEMA. Kwa maoni yake, alihitimisha kwa kusema "October tunatiki ni HALALI na "No reforms, No election" ni...
  3. JamiiForums Tanzania Ni nani anayeweza kusamehewa makosa yake ya zamani kwa kuanza kufuata sheria leo??

    Matendo ya zamani yanabaki ni makosa mbele za Mkono wa sheria hata kama ukiamua kuanza kufuata sheria leo. Kwa kusema hivyo kumbe mtu yeyote akiamua kuanza kuishi kwa kufuata sheria leo, makosa aliyoyafanya jana bado yanamhukumu. Ndio maana watu huomba msamaha kwanza ili wapate kusamehewa...
  4. JamiiForums Tanzania Tunaokolewa kwa Imani sio kwa kufuata Sheria

    Tunaokolewa kwa imani katika Yesu Kristo na sio kwa kufuata SHERIA. Tunahesabiwa haki kwa imani ndani ya Yesu Kristo na si kwa matendo ya sheria. Wokovu ni kwa neema kupitia imani ya Yesu Kristo, si kwa jitihada za kufuata sheria. YESU ANASEMA MKINIPENDA MTAZISHIKA AMRI ZANGU. KUSHIKA AMRI...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nyerere: Chama kinacholindwa/kukubalika kwake kunategemea sheria/dola, si kukubalika na Wananchi. Kijitazame sana

    Kutoka X: Wenye njaa Sasa pale Lumumba wanavyo kasirika sasa.wanajisahaulisha kuwa hii NCHi ni ya vyama vingi Sasa hawataki. Mwl. Nyerere alionaga mbali Sana alijua hawa MaCCM HOFU NDANI YAO watasumbua waTanganyika Naiona CCM ikipasuka kama KANU. Na mpasuko huo utaleta tumaini jipya kwa...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Vyama vyaaswa kuzingatia sheria ya gharama za uchaguzi mkuu

    Akizungumza Jumatatu Agosti 18, 2025 Mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa Juma Khatibu katika Mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), mkoani Dar es Salaam, Khatibu amempongeza Msajili wa Vyama vya...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe kafunga Kwa kuvunja Sheria

    Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Dkt. Godwin Mollel ambaye ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya anayemaliza muda wake ameandika ujumbe huu kuhusu Askofu Josephat Gwajima: Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe Gwajima kafunga Kwa kuvunja Sheria alizo ridhia yeye mwenyewe na...
  8. V

    JamiiForums Tanzania WACHINA waliruhusiwaje kuchangia CCM. Sheria zinasemaje ?

    Nchi nyingine wana sheria kali dhidi ya kuchangiwa pesa kutoka nje ya nch au na wasio raia. Hawataki nguvu au mawazo ya watu Urusi iamue nani anatawala Wafaransa, kwa mfano. Kwa saab ni lazima ana lake jambo, la maslahi yake yeye, vinginevyo anajali nini, mambo ya Wafaransa yanamhusi nini...
  9. JamiiForums Tanzania Lissu anategemea 'public sympathy' na dhana ya kuwa 'anaonewa' badala ya kutumia sheria kujinasua aliponaswa

    Tayari ameshaanza kuona dhahiri shahiri, athari za mizaha, kutafuta tension kizimbani, kuja mahakamani kwa matumaini na matarajio hewa na ujuaji mwingi usio na faida kwake na kwa wafuasi wake na ambao unampotezea muda mwingi zaidi kusota mahakamani na korokoroni daily, huku giza totoro likitanda...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni kwa watu wanaojua sheria mnisaidie kwa hili kuna familia inazurumika

    Kuna rafiki yangu alikuwa na mwanamke akafanikiwa kuzaa naye watoto wawili,badaye akaachana na huyu mwanamke akao mwanamke mwingine akafanikiwa kuzaa naye mtoto mmoja. Bahati mbaya huyu rafiki yangu akafariki huku akiacha watoto watatu,wawili kwa mke wake wa kwanza wa miaka 13 na 11,na mmoja...
  11. JamiiForums Tanzania TFF yapigwa Rungu na CAF kulipa faini ya USD 10,000 kwa Kuvunja Taratibu za Usalama mechi dhidi ya Burkina Faso

    Bodi ya Nidhamu ya CAF imefungulia mashitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuvunja masharti ya Usalama na Ulinzi kama yalivyoainishwa katika Kanuni za Nidhamu za CAF, Ibara ya 82 na 83, pamoja na Ibara ya 24 na 28 za Kanuni za Usalama na Ulinzi za CAF. Mashitaka hayo...
  12. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuikabili Sheria ya kulinda mashahidi

    Baada ya Mahakama Kuu ya Masijala ya Dar es Salaam kukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuficha majina na taarifa nyingine za mashahidi raia wa upande wa Mashitaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, chama hicho kimesema kinaipinga Sheria hiyo ya iliyopitishwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kuwe na somo la Sheria sekondari

    Ni muhimu sana kwa watu kujua sheria,kuzisoma,kuzitafsiri,namna ya kuzitunga nk. Watu wengi wanakutana na kadhia lakini wanashindwa hata kujua ni namna gani afungue kesi mahakani mpaka amtafute mwanasheria ama wakili ndio amsaidie. Kuna ulazima wa kuwa na somo liitwe FUNDAMENTALS OF...
  14. JamiiForums Tanzania Shahidi wa Siri Bila Msingi: Uvunjifu wa Katiba, Sheria na Akili ya Haki

    Ni lazima tuseme kwa uwazi na kwa msisitizo: hakuna ushahidi wa ‘siri’ uliowahi kuwepo katika muktadha halali wa kisheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni uhalisia wa legal fact, na kinyume chake ni manufactured narrative inayokiuka misingi ya Katiba ya JMT, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tunaomba sheria na taratibu za nchi ziheshimiwe

    Katika hotuba ya Bajeti 2025/26 iliyosomwa na Mhe. Waziri wa Fedha Ndugu Mwigulu Nchemba ilitamka wazi kuwa kuanzia Bajeti mpya HOTEL LEVY imepunguzwa kutoka asilimia 10 mpaka asilimia 2. Wengi wa Wafanyabiashara hawana taarifa hii lakini wanapoenda Halmashauri bado wanalipishwa Hotel Levy kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania acheni chuki kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) sheria za kodi hutungwa na bunge. TRA ni wasimamiaji tu

    Ukipita mitandaoni, sehemu mbalimbali mitaani, iwe mijini na vijijini, lawama za watanzania wengi zimekuwa zikielekezwa kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwamba ina uonevu mkubwa kwa wafanyabiashara na imekuwa ikianzisha tozo au kodi mbalimbali ambazo zinalenga kumkandamiza mfanyabiashara au...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane

    Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane
  18. JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Tanzania wengi ni VIHIYO WA SHERIA WAKIONGOZWA NA MWABUKUSI RAIS WAO, mnakubalije mwanasheria mwezenu asukumwe kama kondom na askari mag

    Mwabukusi na WENZAKO wote nyie ni vihiyo haiwezekani mnajua Lissu sio muhaini nyie mmekaa TU mmeshindwa hata kuandaa maandamano ya kushikiza aachiwe Hivi Jana mliona alivyosukumwa kama kondom iliyotolewa kwenye sehemu za Siri za kiume zilizomaliza kujamiana Shame on you all rubish lowyer...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu nielekezeni kwanini chief draftsman wa Sheria anatoka ofisi ya tume ya fedha ya pamoja

    Eti maboss niambie kitu kimoja nijue kinahusiana vipi kuna huyu mtalaam wa kuandika hizi acts kwa sasa anaitwa Bw. Onorius John Njole sasa kwanini anakuwa ofisi yake ni tume ya pamoja ya fedha chini ya wizara ya fedha me nilifikiria labda angekuwa chini ya taasisi kama Bunge, mahakama,n.k
  20. W

    JamiiForums Tanzania How CCM Government excludes opposition agents in elcteral processes

    In every functioning democracy, polling agents play a critical role in ensuring transparency, accountability, and integrity at polling stations. However, in Tanzania, the legal provisions permitting the deployment of polling agents by opposition parties are routinely undermined. While electoral...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…