sheikh

Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ‎ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh akiomba dua Mei mosi asema 'Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia'

    “Eeh Mola wetu umpe faraja Rais samia, na faraja anayohitaji ni mitano Mingine, Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia” Sheikh - Mkoa wa Singida
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mohammed Jaber Awad, gavana mteule wa Houthi wa jimbo la Saada, ameangamizwa!!

    Sheikh Mohammed Jaber Awad, gavana mteule wa Houthi wa jimbo la Saada, ameangamizwa katika shambulio la Wanamaji wa Marekani.
  3. Messier 31

    JamiiForums Tanzania Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

    Akihojiwa na Maks Media, Sheikh huyu amekuja juu na kudai bima ya afya ni haramu na ni dhulma katika uislamu hivyo kuwaasa waislamu kutojiunga na mfuko wa bima. Msikilize mwenyewe hapa Sheikh akikinzana na elimu dunia kwa kutumia elimu akhera
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sheikh adai dini iko kinyume dhidi ya biashara ya kuuza maji.

  5. Richard

    JamiiForums Tanzania Ijue hati nyekundu au Red Notice inotolewa na Shirika la polisi la Kimataifa la Interpol, Bangladeshi waomba hati hiyo kumkamata Sheikh Hasina

    Picha na AP Nchi ya Bangladeshi wameliomba shirika la polisi wa kimataifa la Interpol kutoa hati nyekundu au Red Notice ili kumkamata aliekuwa Waziri mkuu wa nchi hiyo Sheikh Hasina ambae kwa sasa yuko akiishi nchini India tangia mwezi August mwaka 2024. Ikiwa Interpol watatoa hati hiyo Sheikh...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali

    Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali. Pia, Soma: Baraza la Maaskofu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo ni mnafiki wa kupindukia. Kama sio mnafiki, mbona hakutaja jinsi Kataliki walivyokemea utawala wa Magufuli?

    Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili. Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo anatakiwa kukamatwa na kuhojiwa kuhusu maneno yake ya uchochoze wa kidini

    Mpaka sasa tangia huyu sheikh Mwaipopo atamke hadharani kwenye mitandao ya kijamii maneno yenye kuleta chuki za kidini na uchochoze bado jeshi la polisi halijatoa taaarifa yeyote kwa umma ya kumuita kituoni na kumhoji juu ya kauli zake ambazo amekuwa akizotoa mara kwa mara. Huyu Sheikh amekuwa...
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Hezbollah Sheikh Naim Qassem agoma wanajeshi wa Hezbollah kupokonywa silaha

    Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sheikh Naim Qassem: "Hatutaruhusu mtu yeyote kuwapokonya silaha Hezbollah, na wazo la kupokonya silaha lazima liondolewe kabisa kwenye kamusi. Silaha zetu ndizo nguzo ya upinzani, ndizo zilizoikomboa nchi yetu na kulinda mamlaka ya taifa letu tupendwa.' Kwa lugha...
  10. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Watanzania siyo wakenya

    Msikilize hadi mwisho, utajifunza na kuacha mihemko ya kutaka kuingilia kesi iliyoko mahakamani. https://youtu.be/ZU3LGBjghAw?si=YC8lt5lASFFSCzIB
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa kikosicka cha magaidi wa Hamas huko Shejaiya gaidi Haitham Sheikh Khalil, ameangamizwa bila huruma yoyote na IDF

    IDF imemwangamiza Gaidi Haitham Sheikh Khalil, kamanda wa Kikosi cha Hamas Shejaiya aliyehusika na shambulio la Nahal Oz Oct 07,2023 Khalil alipanga oparesheni za kigaidi dhidi ya wanajeshi wa IDF, alitega vilipuzi, na akaongoza shughuli za handaki ya Hamas. Kifo chake kinafuatia kuangamizwa...
  12. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Sheikh adai Los Angels maana yake Malaika waliopotea

    Nilikuwa nasikiliza maelezo ya huyu Sheikh anaeleza maana ya Los Angels mji ulioko Pwani ya Magharibi ya Marekani katika jimbo la California. Sheikh anadai kuwa Los Angels maana yake ni Malaika waliopotea (#Lost Angels). Anasema Los Angels kuna jiwe kutoka mbinguni lina ukubwa wa kilometa 12...
  13. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata CV ya Dr. Sheikh Abubakar Zubeir Sheikh Mkuu wa Tanzania?

    MSAADA wenu Tafadhali. Nahitaji kujua historia yake, malezi na makuzi, elimu, ujuzi na KAZI NA mambo mengi mengineyo. Asante sana
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sheikh Kipozeo umaarufu wake huja ikifika siku ya wapendanao na karibia na mfungo ramadhani?

    Sheikh Kipozea utamsikia kwenye media kipindi cha miambatano siku ya wapendanao na kukaribia mfungo. Au ndio taaluma anayoweza kufiti na zile comedy zake.
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kaluta Amri Abeid

    https://youtu.be/L0Vax2uGgJU?si=ew8vonaaY7SbmoMg
  16. hamis77

    JamiiForums Tanzania Sheikh adai anafuturisha Majini

    Sheikh Sharif Firdaus ,muuza maji na mafuta ,mtoto aliyekuzwa na Mazinge anasema amekuwa akifturisha Hadi majini https://www.facebook.com/share/v/1H2A3tCEky/
  17. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Sheikh Dr. Sulle atumia maji kuponya waumini wa kiislamu

  18. Saint Ivuga

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Simba SC is a Tanzanian football club based in Dar es Salaam. Their home games are played at two stadiums Uhuru Stadium and National Stadium. Simba SC is one of two biggest football clubs in Tanzania, their archrivals being the Young Africans. The club had several names during its history, when...
  19. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina mufti!Tanzania haina sheikh mkuu

    TANZANIA HAINA MUFTI ! TANZANIA HANA SHEKH MKUU! Kwa muda mrefu tumekuwa tukisikia kiongozi mkuu wa taasisi ya kidini iitwayo Baraza kuu la waislamu wa Tanzania bara akitajwa kama mufti na sheikh mkuu wa Tanzania na mtazamo huu ni makosa makubwa sana na uamebeba maudhui ya upotoshaji kwa...
  20. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina Mufti, Tanzania haina sheikh mkuu!

    TANZANIA HAINA MUFTI ! TANZANIA HANA SHEKH MKUU! Kwa muda mrefu tumekuwa tukisikia kiongozi mkuu wa taasisi ya kidini iitwayo Baraza kuu la waislamu wa Tanzania bara akitajwa kama mufti na sheikh mkuu wa Tanzania na mtazamo huu ni makosa makubwa sana na uamebeba maudhui ya upotoshaji kwa...
Back
Top Bottom