Vita mnayopigana kwa ajili ya Watanganyika ni kubwa ni Mungu pekee ndiye atakayewalipa wala siyo Ford Foundation.
Waliwabeza, waliwanyanyasa, waliwadharau, wametembea dunia nzima hadi kwa Papa, wametumia pesa nyingi lkn nyie mnatumia kalamu, akili na Mungu hongereni sana, tumeanza kuona...