shabiby

  1. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbunge Shabiby alifikiria kuhusu waajiriwa wanaokatwa bima ya afya?

    Wakuu mimi sina mambo mengi sana hapa najaribu kufikiria, hivi Mh. Shabiby aliwaza kweli kuwa kuna watu ambao wao wanakatwa bima moja kwa moja kwenye mishahara yao? Hawa wataondolewaje kwenye huo mfumo aliopendekeza sababu na wao ni wamiliki wa simu watakaokatwa bima mara mbili. Labda...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Shabiby analipa kodi yoyote kwenye mshahara na posho zake?

    Shabiby ni moja ya wabunge mabepari ambao wamekwama kabisa kufikiri. Yeye ndiye anayeongoza kushawishi nauli zipande , ndiye aliyesababisha hasara kwenye ujenzi wa reli kwa kulipwa mabilioni kubeba wafanyakazi na hakulipa kiasi chochote cha kodi wala kuwalipa wafanyakazi vibarua malipo ya mifuko...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu

    Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby ameishauri Serikali kukata Sh2,000 kila mwezi kwenye laini za simu huku wabunge, wafanyabiashara na wafanyakazi wakikatwa Sh10,000 ili fedha hizo ziwe chanzo cha mapato kwa Bima ya Afya kwa wote. Amesema kuna wamiliki wa laini za simu milioni 72 nchini ambao...
  4. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Shabiby yapata ajali usiku wa kuamkia leo, mmoja afariki

    Kwa habari zilizotufikia ni kuwa gari ya usafirishaji abiria ya kampuni ya Shabiby Line, imegonga lori la kontena kwa nyuma na kusababisha kifo cha mtu mmoja.
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Shabiby aitaka Serikali isisikilize maneno ya watu kuhusu kukopa kwasababu inao wataalam wa kutosha, adai ingekuwa yeye angekopa dola bilioni

    Ahmed Shabiby ameitaka Serikali kutafuta dola bila kujali watu watasema nini, Shabibi amesema ingekuwa ni yeye angekopa dola bilioni moja kukabiliana na uhaba wa dola nchini na kuziingiza kwenye mzunguko. Shabiby amesema dola bilioni moja ni kitu kidogo sana kwa Serikali kwani inakusanya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby: Hata wewe Spika ukileta siasa zako tunaweza kukuazimia

    Mbunge wa Gairo amesema Viongozi wa Serikal Wana mtindo wa kuajiri walimu na kuwapangia vijijini kisha wanatuma vimemo wahamishiwe Mjini Shabiby amesema Utaratibu Huu siyo mzuri na ikibidi watatoa Azimio Waziri na Watendaji wake waindolewe na kama Spika ataleta Siasa zake naye Atakaa pembeni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Abiria wa Basi la Shabiby tulalamikia huduma mbovu za hoteli Morogoro tunaomba mbadilishe haraka hoteli

    Sisi abiria tunaosafiri na Basi la Kampuni ya Shabiby kati ya Dodoma na Dar es Salaam tunayo malalamiko yetu makubwa kutokana na huduma mbovu mjini Morogoro ambapo basi la Shabiby husimama kwa ajili ya huduma ya chakula na kuchimba dawa. Mazingira ya hoteli hiyo ni machafu sana na hayaendani na...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Shabiby mlinzi wa shamba la bibi anayehangaishwa na ngedere

    Nimekuwa mfuatiliaji wa michango ya huyu mheshimiwa shabiby kule bungeni, nimefurahishwa na namna anavyotetea rasilimali za taifa dhidi ya uhuni uliopachikwa jina la kufungua milango. Mwanzoni nilijua huyu jamaa ni mchuuzi na mpiga deal wa mjini, aisee kumbe sikujua kuwa ni mtu makini na...
  9. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby ahoji utaratibu unaotumika kufungua nchi, atahadharisha Tanzania kugeuka shamba la bibi

    Mbunge aliyejawa na hoja zenye mashiko kwa taifa letu Mh Shabiby amehoji utaratibu unaotumiwa na serikali ya awamu ya 6 kufungua nchi kwani unaelekea kuigeuza Tanzania kuwa shamba la bibi kwa kila mgeni kufanya anavyotaka. Bwana Shabiby amesema sasa hivi wageni hasa wachina wameruhusiwa kuingia...
  10. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Shabiby, baadhi yetu tunazipenda huduma za magari yenu, kwanini hamna route ya Dar/Dom - Mwanza? Hamtutendei haki

    Wakuu bila kupoteza muda. Kama mnavyojua, gharama za ndege, miaka michache hapo nyuma zilipanda kwa speed ya mwendokasi. Basi kama ujuavyo sisi wazee wa uchumi wa kuunga unga tunakuwa hatuna option nyingine zaidi ya kupanda ma-bus. Nipo hapa nafanya plan yangu ya safari zangu za Dar - Mbeya...
  11. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ahmed Mabukhut Shabiby: Tanzania sio pango la Wanyang'anyi

    Mhe. Ahmed Mabukhut Shabiby, Mbunge wa Gairo, juzi bungeni uliongea kwa uchungu saana wakati unachangia, lengo la mchango wako ilikuwa ni kuvunjwa kwa utaratibu wa kuagizwa kwa mafuta kwa pamoja (bulk procurement) na kisha kila mfanyabiashara mwenye uwezo wa kupata mafuta kwa bei anayoweza aende...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kuweka Records Sawa: Utaratibu alioupendekeza Shabiby ndio uliokuwepo kabla, Haufai

    Wakuu Kwema? Mimi kwa kiasi fulani ni mdau wa mafuta, kwani hapo kabla miaka ya nyuma nilishawahi kufanya kazi katika kampuni ya mafuta Kwa kama miaka kadhaa Hivi Hivi karibuni Mbunge wa Gairo Bw. Ahmed Abdallah Shabiby amependekeza kua ili Bei ya mafuta iweze kushuka basi Serikali iruhusu...
  13. kababu

    JamiiForums Tanzania Mohammed Shabiby: Namna ya kupunguza bei za mafuta kwa 50% ya bei za sasa

    Shabiby atoa mwarobaini kupanda bei mafuta MBUNGE wa Gairo Mohammed Shabib ameitaka Serikali kuruhusu kampuni binafsi kuagiza mafuta wenyewe bila kutumia uagizaji wa pamoja. Shabiby ametoa ushauri huo leo Jumatano tarehe 6 2022 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Ofisi...
  14. EMMANUEL JASIRI

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya basi la Shabiby, hii ni hatari sana kwa abiria wenu

    Nimekuwa mpenzi wa kutumia usafiri wa basi la Shabiby mimi na familia yangu kwa miaka zaidi ya mitano Dar, Dodoma, Dodoma Arusha. Ila leo kwa yaliyo nikuta kupitia dereva huyu, imeniuma sana Tulikata tiketi siti namba 4 kwa ajili ya mke wangu kusafiri toka Arusha kuelekea Dodoma ni katika...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Pongezi Wabunge wa kamati ya maendeleo ya jamii kwa kutumia basi la Shabiby kuja Mbeya, mmebana matumizi!

    Ni jambo jema kuwashuhudia wabunge wa kamati ya maendeleo ya jamii wakiwasili jijini Mbeya kikazi kwa kutumia basi la Shabiby. Mmeonesha mfano mzuri wa kubana matumizi tofauti na mabunge yaliyopita ambayo yalitumia zaidi ndege na magari madogo ya gharama. Pongezi zimwendee Spika Ndugai na...
  16. sinafungu

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Kazi ichunghuzeni kampuni ya mabasi ya Shabiby

    NI Kampuni yenye jina kubwa na ni konge ktk huduma za usafirishaji hapa Nchini, mmiliki wake ni mbunge wa GAIRO na ni kiongozi anayeheshimika. Nasukumwa kuandika hili kwa matukio ya uonevu anayowafanyia WAFANYAKAZI WAKE. Wako wengi wanafanya kazi katika kampuni hii...
  17. T

    JamiiForums Tanzania OCD Gairo amempatia Shabiby walinzi katika zoezi la kugawa rushwa

    Wakati wajumbe wakianza kuingia mjini Gairo kwa ajili ya kupiga kura ya maoni kwa waliojaza na kurudisha fomu, mbunge aliyemaliza muda wake Mhe. Shabiby anakabiliwa na wagombea wengine zaidi ya 20. Juzi baada ya kikao cha wagombea wake, amesambaza pesa kupitia kwa wagombea udiwani waliomaliza...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Vibanda vilivyowekwa pembezoni mwa barabara ya Morogoro jirani na kituo cha Polisi Urafiki, mbele ya ofisi za Shabiby Line, vitakuja kusababisha ajali

    Ukiwa hapa urafiki karibu na kituo cha Polisi, mbele ya ofisi za mabasi ya SHABIBY line, Kuna vibanda vimepangwa barabarani na wafanyabiashara, Hali inayopelekea sisi madereva kukosa njia ya kupita kwa usalama na kunusurika Mara kadhaa kuvigonga vikiwa na wafanyabiashara ndani. Mwanzo sisi...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kama mtumishi wa umma simpigii kura Magufuli kwa kutoboresha maslahi yangu, wewe kwanini hutamchagua?

    Inawahusu wasiomchagua JPM tu. Mimi Kama mtumishi wa umma hajaongeza mshahara wangu kwa miaka yote 5, ananikata 15% badala ya 8% kama mkataba wangu na Loan Board unavyosema. Kwa sababu hizo kura yangu hapati. Wewe serikali yake katika sekta yako kwa nini hapati kura yako?
  20. D

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Bunge ni matokeo ya Bunge kujaa wafanyabiashara tuwapunguze akina Shabiby, Nchambi, Abood, Musukuma n.k

    Bunge la Tanzania la awamu iliyopita lilikuwa dhaifu, CAG alisema, Makonda alisema, wapinzani wamesema sana. Makundi mbalimbali ya wananchi wanasema pia. Udhaifu wa Bunge ilikuwa ni matokeo ya kupeleka bungeni wabunge wanaoangalia masilahi yao na siyo kwamba ni wabunge dhaifu. Wabunge...
Back
Top Bottom