shabiby

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya shabiby yapata tenda kusafirisha staff, wachezaji mashindano ya CHAN, yabandikwa logo ya chan

    Kinachotrendi mitandaoni kwa sasa ni Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line kupewa tenda ya kusafirisha staff wakiwemo wanasoka kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024 ambayo yanafanyika mwaka huu 2025. Kwa mujibu wa taarifa, tenda hiyo amepata Mkenya ambaye alipewa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwa sifa hizi; Mabasi ya Shabiby Line Toleo Jipya ndiyo bora zaidi.

    Hivi karibuni, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line iliingiza nchini mabasi mapya yasiyopungua 50 kwa ajili ya matumizi ya barabara za nchi nzima. Mabasi hayo ni aina ya Yutong D 14 yaliyotengenezwa nchini China yakiwa na Kilomita '0' (zero). Sifa kubwa ya mabasi ya Yutong D14 inaanzia hapa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ili tule pesa ya Shabiby kura ya maoni Gairo ni kumshindanisha na Prof. Joel Mmasa mgombe mwenye nguvu. Tutamchangia pesa ya fomu Profesa.

    Pesa ya mwarabu ni ngumu kutoka hasa amapokuwa na wagombea dhaifu anaowaandaa mwenyewe. Kipindi kilichopita tulinemeka wajumbe kwa sababu Dr. Mmasa wa Udom kuwa tishio kwake hasa kwa usomi wake na umaarufu wa baba yake. Japo hatoi pesa inayoweza kushindana na pesa ya Shabiby. Kijana huyu msomi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ahmed Shabiby ambaye anamaliza muda wake amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Gairo

    Mbunge wa Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby ambaye anamaliza muda wake amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Gairo. Shabiby ambaye ndiye aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo amechukua fomu mapema leo Juni 28. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Dar-Tanga 'kimewaka', Ratco aambiwa 'saizi' yake ni abood siyo shabiby line

    Kwenye mitandao ya kijamii leo, kumekuwa na habari kuhusu Kampuni ya Mabasi ya Ratco kuingiza barabarani mabasi mapya mawili na kuelezwa sasa mabasi hayo yatakuwa yanapishana nusu saa kuanza safari. Mchangiaji mmoja alikwenda mbele zaidi akiandika; RATCO AMETOA GARI MBILI LEO KWA KILA NUSU SAA...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Shabiby; ukoo wenye 'damu ya biashara ya mabasi', satco express na shabiby line ni 'ndugu wa damu moja'

    Poleni na kazi wadau. Napenda kusema kwa maandishi kuwa, zipo familia hapa Tanzania zimetolewa na karama fulani. Kama ilivyokuwa kwa familia ya Rashidi Ally Matumla kuzaliwa kwa kuwa mabondia. Kama ilivyokuwa kwa familia ya Sunday Manara kuzaliwa kwa kuwa wacheza mpira. Kama ilivyo kwa familia...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Shabiby Line yaanza 'utawala' wa Barabara ya Dar-Tanga kila siku!

    Hatimaye, mabasi ya kisasa ya Shabiby Line yameanza safari zake za kutoka Dar kwenda Tanga na kutoka Tanga kwenda Dar kila siku iitwayo leo. Safari hizo zimeanza Wiki iliyopita na tayari abiria wa Tanga-Dar na Dar -Tanga wameanza kuchangamkia usafiri huo kutokana na ubora wa mabasi hayo toleo...
  8. A

    JamiiForums Tanzania UJIO WA MABASI YA SHABIBY LINE DAR-TANGA WAZUA HEKAHEKA, WAMILIKI WENGINE WAKUNA VICHWA!

    Wakati Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line ikiwa kwenye maandalizi ya kuanza safari zake za Dar -Tanga, Tanga-Dar kila siku, tayari baadhi ya wamiliki wa mabasi wenyeji wameanza 'kukuna vichwa' wakipanga mikakati ya kuongeza mabasi ya kisasa ili kumudu ushindani. Habari kutoka mtandao mmoja wa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Sifa 10 mabasi mapya ya shabiby, Dar-Tanga

    Zimebaki wiki mbili kufikia Mei ambapo mabasi mapya ya Shabiby Line yataanza safari mpya toka Dar kwenda Tanga na toka Tanga kwenda Dar. 'Mashine' hizo za kisasa zipo Bandari ya Dar zikikamilishiwa utaratibu tayari kwa kuanza safari huku wananchi wakisubiri kwa hamu kubwa ruti hiyo mpya. Kwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Shabiby line "mguu sawa" safari za Dar-Tanga, haijawahi tokea

    Katika hali ya kutanua ukubwa wa biashara ya usafirishaji Tanzania, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line inaanzisha ruti mpya za Dar-Tanga, Tanga-Dar. Kwa mujibu wa taarifa za uhakika, Mei mwaka huu (mwezi ujao), Shabiby Line rasmi yataanza safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Tanga na kurudi Dar...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Basi la Shabiby lilipata ajali jana Novemba 18, 2024 Tunduma

    Basi la Kampuni ya Shabiby inayofanya safari Sumbawanga-Dodoma ilipata ajali eneo la mizani ya Nkangamo Tunduma. Kwa inavyoonekana na ni kama lilianguka lenyewe. Nitaupxate kadri taarifa zitakavyopatikana Wakuu.
  12. USSR

    JamiiForums Tanzania Mtoto miaka 4 apasua kioo cha basi la Shabiby kwa manati

    Mtoto wa miaka 4 avunja kioo cha Shabiby kwa manati Basi la Shabiby Line lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dodoma lilichelewa kwa takriban saa moja na nusu Agosti 14, 2024, baada ya mtoto wa miaka minne wa Kijiji cha Ndolela, Iringa, kuvunja dirisha la basi kwa manati kutokea upande wa pili wa...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Itashangaa "LATRA isipoifungia kampuni ya mabasi ya Shabiby.

    Kila siku kampuni hii, inazalisha vifo na walemavu. Nitashangaa kama LATRA. haitawatendea haki Watanganyika. Suala la usalama na usimamizi wa kampuni hii ya mabasi limekuwa ni tatizo kubwa kwa muda mrefu. Ni zuri kwamba serikali imekuwa ikiangalia hali hii, lakini inaonekana kwamba bado hakuna...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Shabiby hata wewe huna lolote, you are taking advantage TU!

    Siku hizi umekewa ukiwasema sana wanasiasa wenzio na wakati mwingine hata Serikali. Hoteli Esperenza ya ndugu yako imekuwa kiini cha kupika majungu na wewe mwenyewe ukishiriki. Siku hizi umekuwa wazi sana kuonesha namna ulivyojaa rohombaya na tamaa za utajiri ambao sio halali kivileeeee! Siku...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shabiby: Mkipewa Uwaziri mnaanza kuweka mipango ya kuwa Rais

    Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema “Ubaya wenu nyie mawaziri mkishapewa Uwaziri mnajiona mnaweza kuwa Rais, naacha kazi za Uwaziri mnaanza mipango ya kuwa mtakuwaje Rais, mnasahau aliyekuteua amefanya hivyo ili ufanye kazi zake akupende, umtumikie yeye.” Amesema hayo katika mkutano na...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Shabiby: Wengi wanaosema mama anaupiga mwingi wanajaza mifuko yao. Sitaki huo unafiki

    Akichangia mjadala wa bajeti kuu ya serikali mbunge wa gairo mheshimiwa shabiby amesema kumeibuka wimbi la wasifiaji wa kila kitu na kusema kweli zile sifa hazitoki moyoni bali wanasifia kwa maslahi yao binafsi. Tumekuwa na wapiga dili karibu kila mahali na mara nyingi utawasikia mama anaupiga...
  17. Etwege

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby: Wapigaji wameongezeka serikalini, sitasifia kila kitu

    Mbunge wa jimbo la Gairo mh Shabiby, wakati akichangia hotuba ya bajeti kuu amemshukia kama mwewe waziri wa fedha Mwigulu Nchemba kuwa tabia yake ya kutaka kuwa mzuri kwa kila mtu na kila taasisi imesababisha awe na mipango mingi isiyo na tija kwa taifa ikiwemo hela kutopelekwa kwa wakati kwenye...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby: Filamu za kichawi zinaharibu watu kisaikolojia

    Mbunge wa Jimbo la Gairo Ahmed Shabiby akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2024/25 Bungeni Jijini Dodoma leo May 23,2024 ameiomba Wizara hiyo kupitia Bodi ya Filamu Tanzania kuziangalia upya Filamu zenye maudhui ya ushirikina...
  19. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbunge Shabiby alifikiria kuhusu waajiriwa wanaokatwa bima ya afya?

    Wakuu mimi sina mambo mengi sana hapa najaribu kufikiria, hivi Mh. Shabiby aliwaza kweli kuwa kuna watu ambao wao wanakatwa bima moja kwa moja kwenye mishahara yao? Hawa wataondolewaje kwenye huo mfumo aliopendekeza sababu na wao ni wamiliki wa simu watakaokatwa bima mara mbili. Labda...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Shabiby analipa kodi yoyote kwenye mshahara na posho zake?

    Shabiby ni moja ya wabunge mabepari ambao wamekwama kabisa kufikiri. Yeye ndiye anayeongoza kushawishi nauli zipande , ndiye aliyesababisha hasara kwenye ujenzi wa reli kwa kulipwa mabilioni kubeba wafanyakazi na hakulipa kiasi chochote cha kodi wala kuwalipa wafanyakazi vibarua malipo ya mifuko...
Back
Top Bottom