Tuliambiwa kuna striker moja refu kuliko holi, akigusa tu, imo! Kisha Bilioni 7 zikamwagwa hapo, wakatua Mutale SGR, Debora Fernandes,Jenshalee ahwaa, Kiungo wa airport, Awesu awesu nk. Tukaambiwa sasa ukame wa vikombe baaasi! Mambo yameenda ndivyo sivyo! Je, Tutarajie usajigani msimu huu?