Kwa sasa Dunia nzima ina Simanzi kufuatia Tetemeko la Ardhi lililotokea Uturuki na kupoteza watu zaidi ya 35,000 hadi sasa.
Baada ya janga hili ajenda kubwa imekuwa ni Ubora wa kazi za kihandisi zinazofanywa na Waturuki.
Hapo ndipo nikakumbuka kwamba mradi wetu wa SGR Unajengwa na kampuni ya...