Hey guys nimemiss huku! π
Mambo ya malovee π
Mimi nachojua, issue ya sex inahusisha watu wawili, yaani mwanaume na mwanamke
Mnapoanza mahusiano mna-date mpaka mnafikia hatua ya kukulana
Nadhani huwa sio bahati mbaya, ni mmepanga na mmekubaliana, si ndio?
Inafika siku yenyewe, mnagusanisha...