serikali

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iangalie vizuri mfumo wa ajira portal, kuna dalili za wahuni kusimamia mfumo huu

    SERIKALI IANGALIE VIZURI MFUMO WA AJIRA PORTAL, KUNA DALILI ZA WAHUNI KUSIMAMIA MFUMO HUU WA AJIRA. Tarehe 13 Desemba, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa imekaribisha maombi ya kazi kutoka kwa...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Viongozi walioshinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa warudisha fadhila kwa wananchi

    Wakuu, Viongozi wa mtaa wa Masewe na Ilemi kutoka mkoani Mbeya,Patrick Mwashuma na Lupakisyo Mwasasu, wamefanya hafla ya kuwashukuru wananchi wa kata hizo kwa kuwapigia kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, uliofanyika Novovemba 27.2024. Katika hafla hiyo iliyofanyika leo kwenye viwanja...
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Serikali iajiri walimu, watoto wanapoteza muda shuleni

    Kuna upungufu mkubwa wa walimu kwenye shule za umma Nina mdogo wangu anasoma PCB huko Mwanza anasema haijawahi kumwona mwalimu wa Physics na Chemistry shuleni Toka mwezi wa 7 Mfano Nilifika Wilaya ya Mkuranga shule msingi Koma ina mwalimu mmoja ambaye pia ndo mkuu wa shule. Shule ya Msingi...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ndumbaro: Serikali haipendi kabisa matamko ya kukurupuka ya TLS

    Waziri wa Sheria na Katiba, Mh. Ndumbaro, amewapa za uso Chama cha Wanasheria Tanganyika kwamba kinatoa matamko ya kukurupuka tu. =============== Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameonesha kutofurahishwa na mwenendo wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kutoa matamko ya...
  5. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Swali la Siku:Jambo gani wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 unahisi halikuwa la Kweli?

    Novemba 27, 2024, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulifanyika, ukiambatana na matukio ya aina mbalimbali, yaliyokuwa ya Kweli, huku mengine yakitia shaka kuhusu Uhalisia wake. Mdau, je, ni jambo gani hasa, kuanzia hatua ya kutangaza nia kwa wagombea hadi mchakato mzima wa uchaguzi, unahisi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshaji wa fedha za kuendeshea shule za msingi za serikali

    Kila mwezi serikali inaingiza fedha za uendeshaji shule kwa kuzingatia idadi ya wanafunzi, fedha hizo zimekuwa zikichelewa sana na kusababisha kero kwa walimu , lakini upande wa sekondari huwekewa fedha zao mapema. Pamoja na changamoto hizo wanazopitia walimu wako baadhi ya madiwani wanaopanda...
  7. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini serikali iliamua kuiruhusu TRA iajili yenyewe wakati idara nyingine zote za serikali ikiwemo BOT ajira zinapitia Utumishi

    Hili suala la TRA kuruhusiwa kuajili wenyewe ndio mwanzo wa kurudisha enzi zile za kujazana kabila Moja ofisini hakuna ushindani wa kupata ajira, Aliemshauri Rais kuruhusu hili ametoa ushauri kwa maslahi yake binafsi kama BOT inapeleka utumishi kwanini wao wasipeleke.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dharau kubwa kwa viongozi wetu wa juu kwa wananchi ni kutokana na vitu hivi

    Dharau kubwa kwa viongozi wetu wa juu kwa wananchi ni kutokana na vitu hivi 1. Uongo kwa viongozi wa juu kabisa 2. Kuiba kura 3. Rushwa Huwezi kuheshimika kama hayo matatu huyashughulikii
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini, Serikali wasisitiza amani na utulivu

    Watanzania wametakiwa kulinda, kutunza amani na utulivu hasa kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika mwakani. Viongozi wa dini ya Kiislamu wametoa rai hiyo kwenye kongamano na dua maalumu ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan iliyoandaliwa na mbunge wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Serikali na CCM wamejua mambo mengi sana kwa muda mfupi tu kuhusu yanayoendelea ndani ya Chadema

    Kwanza imebainika kuwa Mbowe ndio anatafuta hela, anakozitafuta wapi hatujui, serikali ifuatilie Pili, Chadema inalalamika uchaguzi nchini sio huru na wa haki, tutaona ndani ya chadema kama Tundu Lissu hataibiwa kura zake ama nyani haoni kundule na hapa mkiibiana kura tusisikie tena mkilalamika...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni tahira pekee atakemea udikteta wa serikali juu ya wapinzani huku akiona ni sawa tu Mbowe kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20

    Kila siku wapinzani hasa wana CHADEMA huchukizwa pale viongozi wake wanapowekwa selo kwa makosa madogo madogo au kwa makosa ya kusingiziwa. Lakini si mara nyingi tukiona wapinzani wakilaani udikteta wa Mbowe kukaa kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 20. Ina maana hakuna mtu mwingine mwenye maono au...
  12. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali inashindwa kulipa madeni ya ndani (extra duties, hela za overtime, malimbikizo nk) shida ni nini au Ni kujiendekeza?

    Wakuu anaejua ukweli huu anisaidie kujibia!
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ipo na Sisi au imeamua kutuzamisha kabisa?

    Imagine nmehitimu chuo, nikakosa kazi si kwa kupenda, sababu kubwa ni kutokua na uwezo wa kusafiri kwa ajiri ya interview hasa ktk mikoa ya mbali Nmejichanga na kupata kihekali kimoja na kufanya kilimo cha mpunga, nmepata mbegu kwa mbinde Shamba nimekodi kwa pesa nliyoipata kwa mbinde -...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kushirikisha Vijana Kupambana na Uhalifu, Bashungwa Atoa Onyo Kali

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia vyombo vya usalama na taasisi nyingine za Serikali zitashirikiana na Vijana ili kupata suluhu kwa baadhi ya changamoto zilizopo na zinazoendelea kujitokeza katika jamii ikiwa ni pamoja uhalifu, kupambana rushwa, dawa za...
  15. Knock life

    JamiiForums Tanzania Naomba nitoe ushauri huu kwa serikali kuhusu wasanii wa Tanzania.

    Please Moderator msiunganishe huu uzi maana mtakuwa mmefeli big time. First of all naipongeza serikali Kwa kufikiria wazo la kuwasaidia wasanii kuhusu kutibiwa magonjwa ya moyo Hili wazo sio baya Ila napendekeza mjaribu kuliboresha kwa kuhakikisha wasanii wote ambao wanajihusisha na sanaa...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali isianzishe miradi mipya hadi iliyopoikamilike

    Habarini, Nimetafakari sana na kuona ni vyema serikali ya Tanzania iachane na tabia ya kuibua miradi mipya wakati miradi mingine waliyoianzisha haijakamilika. Ninachokiona miradi mipya ndiyo cha ufisadi na kukwama kwa miradi endelevu kwa sababu miradi mipya husababisha viongozi kujipatia fedha...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali imebariki magari ya viongozi wa serikali kuwa namba feki? Mwanzo nilizani ni uhuni wa madereva kumbe wanapewa wabandike feki

    Asilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili? Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa inafichwa na kutumika kwenye gari ile ile ikisomeka kwa namba za kawaida kama magari mengine T...
  18. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Gharama za Maisha Dodoma: Mabadiliko ya Haraka Yanavyowatesa Wakazi Baada ya Serikali Kuhamia, na Ujio wa Sgr

    Gharama za maisha katika Jiji la Dodoma zimekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa jiji hili, hasa baada ya kutangazwa kwa uhamisho wa serikali kuu kwenda hapa. Hali hii imepelekea mabadiliko makubwa katika uchumi wa jiji, ambapo wenyeji wa zamani wa Dodoma walijikuta wakifurahia faida za muda...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi tunaosoma Shahada ya Usingizi na Ganzi Salama tupewe haki za kimasomo, Serikali ifanye maboresho katika hii Shahada

    Sisi ni wanafunzi tunaosoma Shahada ya Utoaji Dawa za Usingizi na Ganzi Salama (NURSE ANAESTHESIA) Shahada hii inachukua miaka minne mpaka kuhitimu. Dawa hizo ni mhimu sana katika Huduma za Kiafya hasa katika sehemu ya vyumba vya upasuaji (theater), kwa wagonjwa mahututi, emergency, clinics na...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Chuki za Joseph Sinde Warioba dhidi ya serikali zilianza baada ya Kippi Warioba kuondolewa kwenye ukuu wa Wilaya

    Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya. Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Back
Top Bottom