serikali

  1. JamiiForums Tanzania DC Magoti asema hakuna wa kuhoji, aagiza waliouziwa eneo la serikali wajisalimishe

    Wananchi wa Kijiji cha Homboza wilayani Kisarawe mkoani Pwani, wameiomba Serikali iingilie kati mgogoro wa ardhi uliopo na watu kupata vitisho na kujeruhiwa mara kwa mara sababu kubwa ikiwa ni kuuziwa ardhi eneo la Serikali. Wameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Bw. Petro Magoti...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yatunga Kanuni kuzuia Wageni kuingia kwenye leseni ndogo za uchimbaji madini bila utaratibu

    Serikali kupitia Wizara ya Madini imetunga kanuni za msaada wa kiufundi katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini ambapo zitaratibu ushiriki wa wageni katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini(PML) ambazo kwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Sheria ya Madini sura ya 123,kimezitamka Leseni hizi kama...
  3. JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwaongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 mpaka asilimia 50

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 wanayopokea sasa hadi kufikia asilimia 50 waliyokua wakiipokea awali ili iweze kuwapunguzia makali ya maisha na kuongeza ari na tija zaidi kwa walimu kufundisha wanafunzi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea baadaye endapo serikali itaendeleza tamaduni hii tukilejea mataifa Yale yalipitia hali hii inayopitia Tanzania ??

    Swali lako ni zito sana, na linaonesha unafikiria mbali — kuangalia historia ili kufahamu hatima ya taifa kama hali ya sasa itaendelea. Tukitazama mataifa mengine yaliyopitia hali kama Tanzania ya sasa (yaani, serikali kudharau raia, kukandamiza uhuru wa watu, kukithiri kwa rushwa, na ukiukaji...
  5. JamiiForums Tanzania Maafisa wakuu wa IDF wanazidi kuishauli Serikali iwaachie waiangamize Gaza!!

    Maafisa wakuu wa IDF wanazidi kuishauri Serikali iwaachie waiangamize Gaza, na walitoa taarifa ifuatayo mwishoni mwa wiki: “Toka vita vianze Gaza tulikuwa tumeichukua lakini Serikali wakaingia makubaliano na magaidi wa Hamas tukaondoka kwenye maeneo tuliyokuwa tukiyadhibiti baada ya makubaliano...
  6. H

    JamiiForums Tanzania "Kila sheria ni haramu, kila serikali juu ya uso wa dunia ni haramu"By Bob Marley

    Huu ndiyo uhalisia kwani sheria zimewekwa na serikali ambazo zina tanguliza masilahi ya familia za viongozi wake.
  7. JamiiForums Tanzania Dogo wa kazi kaambiwa aripoti ofisi ya serikali ya mtaa juma tatu asubuhi

    Jumamosi ya mwisho wa mwezi ni ya usafi huku adi sa 4 asubui , Leo asubui dogo kafungua goli (salon) sa 3 na nusu , gafla kaja mtendaji kamuuliza jina na kuchukua namba yake ya simu, kisha kamwambia Leo hajafanya usafi aripoti ofisini juma 3. Dogo kabaki ameshangaa maana hata ofisi ya serikali...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Awaahidi Wananchi Uchaguzi Mkuu Utakuwa Wa Amani, Huru, na Wa Haki, Kama Ulivyokuwa wa Serikali za Mitaa 2024

    Hotuba ya Rais Samia, jana usiku, pamoja na mambo mengine, aliongelea kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, akisema kuwa Serikali yake itahakikisha uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa wa amani, huru na wa haki. Maneno haya pia Rais Samia aliyatamka mwaka 2024 wakati akiwahamasisha wananchi kujitokeza kwenye...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Habari za jioni. Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo. Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda. Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: 'Pattern' ya matukio ya jana, inaonesha kuna ushiriki wa idara ya usalama wa taifa, na serikali moja kwa moja

    "Matukio haya kwa Pattern yake pamoja na kuwa mzigo wote unaliendea jeshi la polisi kwa sababu jeshi la polisi na vyombo vyake ndilo ambalo lilikuwa mstari wa mbele siku ya jana kwenye kamatakamata kwenye vipigo, kwenye matukio yote. Lakini ukiyatazama kiundani matukio ya jana kivyovyote vile...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali imeshinda kesi 352 mwaka 2024/25

    SERIKALI IMESHINDA KESI 352 MWAKA 2024/25 Katika kipindi cha kuanzia mwezi Julai, 2024 hadi Machi, 2025, Kesi 867 ziliendeshwa mahakamani zikiwemo kesi mpya 461. Kati ya kesi mpya zilizofunguliwa mahakamani, 10 ni kesi kubwa ambazo zilifunguliwa katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yaidhinisha bilioni 30 kukarabati barabara Ifakara – Mlimba kwenda mkoa wa Njombe

    Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa taarifa hiyo akiwa mkoani Morogoro alikoenda kwa dharura baada ya...
  13. JamiiForums Tanzania Mwambieni BASHE, Hasara ni kubwa Kwa Wafanyabiashara wa Bidhaa zinazoharibika mapema, Serikali iwalipe Fidia Hawa wafanyabiashara!!

    Huwezi kulala usiku, Asubuhi utoe zuio kama hilo, Bila kujua ni Bidhaa gan ' perishable goods ' ziko njiani kuelekea Nchi Jirani , na Zuio kama lake litagharimu Hasara kiasi gani. Pia soma: Bashe apiga marufuku mazao ya kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini kuingizwa nchini BASHE alikua na...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kanisa la KKKT na malasusa wenu, wapentekoste ,kina Mwamposa na wafananao nae,mnaunga mkono huu unyama wa serikali dhidi ya raia?

    Maana wenye makanisa hayo juu hawajaonekana kukerwa na kinacho fanywa, nadhani inabidi mjitafakari dini yenu inaamini katika nini?au mnathamini fedha na mali na sadaka zao tuu kuliko utu wao?
  15. JamiiForums Tanzania Serikali inaweza kulinda madaraka yake?

    "Serikali ni watu waliochaguliwa na watu kwa manufaa ya watu" Kwa mantiki hii serikali ni mali ya wote na haipaswi kumilikishwa kwa watu wachache. Kikundi cha watu "Chama Cha siasa" kinachoshinda kuongoza serikali hakipewi hatimiliki ya taifa kuwa kitaongoza milele. Iwapo serikali itawajibika...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa nini serikali ya Tanzania bado inapenda kufuatilia kila kitu hatua ya raia miaka 40 hata baada ya kuachana na Ukomunisti?

  17. JamiiForums Tanzania Thamani ya Kura Yako: Je Wajua Wewe Ndiye Mwajiri wa Rais wa JMT kwa Kura Yako na Kumlipa Mshahara Wake Yeye na Serikali Yake Yote kwa Kodi Yako?.

    Wanabodi Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October, from time to time nitakuwa nafanya makala fupi za uelimishaji umma elimu kwa kujitolea kusaidia kuelimisha umma umuhimu wa kujiandikisha kupiga kura na kujitokeza kupiga kura siku ya kupiga kura. Somo la kwanza ni kuijua thamani ya kura yako. Kitu...
  18. JamiiForums Tanzania Kikwete ana ubia gani kwenye serikali ya sasa?

    Si mara moja wala mbili kumuona Jakaya Kikwete akipewa majukumu ambayo yangeweza kufanywa na waziri wa. mambo ya nchi za nje kama kumpigia kampeni daktari Janaba na mwanae kuteuliwa uwaziri japo ni kilaza. Je anao ubia kwenye sirikali hii? Sielewi. Naomba wanangu mnieleweshe kama mshaliona hili.
  19. JamiiForums Tanzania Tukio la Mwijaku, serikali Imenajisiwa

    Hivi karibuni Mwijaku kalizua baada ya video kusambaa ikionyesha watoto wa chuo wakimgombania. Kwenye malumbano Yao inaonekana mara mwisho Mwijaku alizini na mmoja kati Yao mwanzoni mwa mwezi huu ikiwa ni ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani na mfungo kwaresma pia. Ikumbukwe ana mke na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUULIZA FAVORS ANAZOPATA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    Napenda kujua Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…