serikali

  1. Waliokuwa wafanyakazi, wateja benki FBME waiomba serikali kusaidia wapate fedha zao

    Serikali imeombwa kuingilia kati ili waliokuwa wafanyakazi pamoja na wateja wa Benki ya FBME wapate haki zao ikiwemo fedha ambazo wanaidai benki hiyo ambayo imesitisha kutoa huduma tangu mwaka 2017. Ombi hilo limetolewa leo jijini Dar es Salaam na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo ambapo...
  2. Serikali yatoa mwongozo unyonyeshaji wanafunzi waliojifungua hawaruhusiwi kwenda shuleni na watoto wao badala yake wazazi kuwajibika kuwalea

    Serikali imesema mwongozo wa wanafunzi wanaorejea shuleni baada ya kujifungua hawaruhusiwi kwenda shuleni na watoto wao na badala yake, unawataka wazazi kusaini makubaliano na uongozi wa shule ya kuwajibika kuwalea wanafunzi na watoto wanaorudi shuleni. Novemba 24, 2021 aliyekuwa Waziri wa...
  3. Zainab Katimba: Serikali Kutoa Waraka Kwaajili ya Watumishi wa Umma Wenye Ulemavu

    Serikali inatarajia kutoa waraka utakao waelekeza wakurugenzi wa Halmashauri nchini kutekeleza miongozo inayowahusu watumishi wa Umma wenye ulemavu ili wapate mazingira rafiki na wezeshi wanapotekeleza majukumu yao. Kauli hiyo imetolewa Februari 06,2025 Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya...
  4. Hizi Cruisers Mpya J300 na Prado J50 hakuna Manual Transmission. Sahivi na sisi Madereva wa Serikali tunaenjoy utamu wa Auto!

    Hatimae tumefikiwa. J250 Prado na J300 Cruisers zimekuja kazini na hakuna Auto, kuuliza wanasema hakuna model yenye manual transmission. J300 zimekuja za diesel zenye gear 10 zile za cc 3300 twin turbo V6. Prado zimekuja za 2.8L gear 8 diesel. Sasa mkono na mguu wa kushoto wacha vipumzike.
  5. Goma: upande wa serikali wapoteza takribani watu 2500

    Katika zoezi linaloendelea huko mjini Goma, la kusafisha mji, shirika la msaraba mwekundu, limesema mpaka sasa zoezi la kuzika maiti zilizozagaa mjini linaendelea, na kwamba idadi ya waliokwisha zikwa imefika watu 2500(elfu mbili mia tano). Watu hawa, inasemekana ni wanajeshi wa FARDC na kundi...
  6. JANETH MAHAWANGA; Anauliza; Ni Upi Mpango wa Serikali wa Kuhakikisha Jamii Inapata Uelewa Kuhusu Umuhimu wa Kulipa Kodi na Kudai Risiti?

    JANETH MAHAWANGA, Mbunge wa Viti Maalum; Anauliza; Ni Upi Mpango wa Serikali wa Kuhakikisha Jamii Inapata Uelewa Kuhusu Umuhimu wa Kulipa Kodi na Kudai Risiti? Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad chande amesema kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kujenga uelewa kuhusu umuhimu...
  7. Ninasikitika na nitaendelea kusikitika juu ya kitendo cha serikali ya Samia na ile ya Magufuli kununua ndege za biashara huku ikiacha mambo muhimu

    Kitendo cha serikali ya Magufuli kununua ndege za biashara halafu kwa kipindi kifupi biashara ikatoa majibu kuwa ni biashara kichaa lakini serikali yake ikaendelea kuagiza ndege zingine. Alipoingia Samia nilitarajia aidha angeuza ndege zote za biashara au angesitisha mpango wa kuongeza ndege...
  8. JANETH MASSABURI: Serikali ina mpango gani wa kutenga bajeti ya elimu kwa umma kwa masuala mbalimbali yanayotarajiwa kutekelezwa nchini?

    JANETH MASSABURI, Mbunge wa Viti Maalum Anauliza; Serikali ina mpango gani wa kutenga bajeti ya elimu kwa umma kwa masuala mbalimbali yanayotarajiwa kutekelezwa nchini? Serikali imezisisitiza Wizara zote na taasisi zake kuendelea kutenga fedha kwenye mafungu yao kwa ajili ya kutoa elimu kwa...
  9. PreGE2025 Rukwa: Serikali yatoa bilioni 1.2 kwa ajili ya ujenzi wa mahakama za mwanzo

    Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Nyakia Chirukile, amesema Serikali imetoa fedha kiasi cha shilingi billioni 1.2 kwa ajli ya ujenzi wa Mahakama Mpya za Mwanzo, katika Wilaya ya Sumbawanga, Nkasi na Kalambo ambazo kukamilika kwake kutawawezesha wananchi kupata huduma za kimahakama kwa urahisi...
  10. Serikali kuanza ujenzi wa kituo kipya cha Afya Vunta Same Kilimanjaro, hii miradi inaanzishwa kimkakati kuelekea uchaguzi mkuu

    Wakuu sasahivi kumekuwa na miradi mingi inayoanzishwa na serikali, ni kama mkakati wa kuwavuta wananchi kuelekea uchaguzi mkuu, zipo kero na miradi mingi huko nyuma hakuna aliyekuwa akiitazama ila kwa kuwa ni mwaka wa uchaguzi ndio wanaamka kutoka kwenye usingizi mzito sana. Je, CCM wanatufaa...
  11. Kupunguza kero ya Watumishi kuhama, Serikali ingefanya yafuatayo kwa faida ya wote

    Tuliona ajira za afya mwishoni mwa 2024, Pia Tumeona ajira za walimu zimetoka kwa baadhi ya mikoa mfano Dar, Moro, Pwani n.k na utaratibu ni ule ule, wanakupanga popote, sio ulipoombea wala ulipo, Kwa nini Kabla ya kutoa post za allocation za vituo kwa ajira mpya, mfano wanajua Dar, Shinyanga...
  12. Serikali nyingi za Afrika ni Vibaraka wa Mataifa ya nje

    Serikali nyingi za Afrika, ikiwemo Tanzania, zimekuwa vibaraka wa mataifa ya nje, hali ambayo inachangia kung’ang’ania madaraka, chaguzi zisizo huru, na ulinzi wa kimataifa kwa tawala za kidikteta. Hii ni sehemu ya mfumo mkubwa wa kisiasa na kiuchumi unaodumaza bara la Afrika, unaoendeshwa na...
  13. Serikali Kutoa Muongozo wa Kuajiri Wanaojitolea

    SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA KUAJIRI WANAOJITOLEA Serikali imeeleza kuwa iko hatua za mwisho kukamilisha mwongozo utakaoangazia jinsi ya kuwaingiza katika mfumo watumishi wanaojitolea nchini. Hayo yameelezwa, Jumatano, Januari 29, 2025, na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa...
  14. A

    Je Serikali imabariki Dar es Salaam Secondary kufukuza au kuhamisha wanafunzi wanaopata daraja la IV katika mitihani ya ndani?

    Naomba mamlaka zinazoshughulika na elimu kuanzia Afisa elimu jiji LA Dar es salaam, Afisa elimu mkoa wa Dar es salaam na Waziri wa elimu, mtupatie majibu sahihi ya hiki kinachofanyika Dar es salaam secondary na baadhi ya shule za serikali kama Pugu secondary na kwa shule za msingi kinatokea kwa...
  15. A

    KERO Changamoto ya laptops zinazotolewa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)

    Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu laptop ambazo zilitolewa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne na cha sita. Ingawa mpango huu unalenga kusaidia wanafunzi katika kujifunza, ukweli ni kwamba laptop hizi zimekuwa na changamoto kubwa. Hadi sasa, laptop yangu imeharibika licha ya...
  16. Serikali kwakuwa hamna ajira za kutupatia , basi tunaomba mtuwekee mazingira rahisi ya sisi kwenda nje

    Sio sababu maalumu ya kutuwekea ugumu hasa passport n.k Tuwekeeni urahisi wa sisi kutokana na kwenda kujaribu bahati zetu zetu Nje .
  17. Serbia Yatikiswa na Maandamano ya Kudai Uwajibikaji wa Serikali

    Maandamano makubwa yamezuka mjini Novi Sad, mji wa pili kwa ukubwa nchini Serbia, ambapo maelfu ya waandamanaji, wengi wao wakiwa wanafunzi, wamejitokeza kupinga ufisadi wa serikali na kudai uwajibikaji kufuatia kuanguka kwa paa la kituo cha reli mwezi Novemba mwaka jana, tukio lililosababisha...
  18. Kufeli kwa biashara zinazoendeshwa na serikali ya TANZATOZO

    TANZANIA ndio nchi pekee duniani inayoendesha miradi yake kimkakati huku waendeshaji waliopewa dhamana hizo ni 1. Viziwi yaan hawasikii 2. Vipofu yaani hawaoni 3. Bubu yaan hawaongei na 4. Njaa yaani wanawekeza tumboni na familia zao... Mfano wa mradi uliofeli ni huu wa MWENDOKASI. 🤣 Kwa mara...
  19. S

    Unajisikiaje serikali yako inaponunua vifaa vya kukuumiza si kwa sababu wewe ni mwizi, jambazi, muuaji, mbakaji, nk, bali kwa sababu unadai haki?

    Angalia hili lidubwana hapa chini; Sasa madudu ya kutisha kama haya, serikali yako ya Tanzania imeyanunua kwa ajili ya kuumiza wananchi wake, ambao sio kwamba wana makosa makubwa kama uasi dhidi ya serikali, ujambazi, uharamia, ujangili, ubakaji, uuaji wa watu wasio na hatia, utapeli, ufisadi...
  20. Hali halisi ilivyo Ajira portal: Hii ndiyo serikali ya CCM inayojinasibu kumwaga ajira kwa maelfu ya wahitimu

    Katika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting? Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia vioo vijana Gen Z! ina maana Serikali nzima, pamoja na thinktank zake imefeli kabisa kuokoa taifa la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…