serikali

  1. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yaivalia njuga suala la watu wasiojulika, na kubaini yafuata baada ya uchunguzi

    “THESE CRIMES ARE AIMED AT WEAKENING THE STATE”, SAYS CRIMINALIST PAULO DE SOUSA https://m.youtube.com/watch?v=SwfLhnHwpOA “THESE CRIMES ARE AIMED AT WEAKENING THE STATE”, SAYS CRIMINALIST PAULO DE SOUSA During the program this Thursday, criminalist Paulo de Sousa commented on the murder that...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye kuna mtu amekiri wazi kwamba kuna watu wakitoweka na kufariki katika mazingira tata ni serikali imehusika!

    Conclusion: Kuna watu wakitoweka na kufariki ni serikali imehusika, ila sio kila mtu akitoweka na kufariki katika mazingira tata ni serikali imehusika! Haya, tumewasikia. Tulisema siku nyingi, mtajikuta mmeongea hata bila kujitambua! Chanzo: Nipashe
  3. JamiiForums Tanzania Padre Kitima aufananisha Uovu unaoendelea Nchini na Uovu Aloufanya Dikteta Hitler !Asema Mwisho wa Uovu Huwa ni mbaya

    Asema, Mwisho wa Mtawala muovu Huwa mbaya sana Kwa sababu hubeba maumivu yaliyopo na yaliyopita!!. Aione Rais Samia. Aione Mwamposa .
  4. JamiiForums Tanzania Profesa Mkumbo: Serikali na CCM tunahitaji vyombo vya habari madhubuti

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa Serikali ya awamu ya sita na Chama Cha Mapinduzi Kinathamini uwepo wa Vyombo vya habari imara, katika kukuza uwajibikaji na kuimarisha utawala bora nchini. Akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari na...
  5. JamiiForums Tanzania Msongamano wa Mabasi ya Mwendokasi Wazua Maswali, Je, Serikali Inachukua Hatua?

    ni aibu sana kwa serikali kushindwa kuleta mabasi hata ya dharura tu kwa ajili ya kuokoa hii hali iliyopo sasa! hivi kweli mtu anasubiria kituoni lisaa na nusu na bado anapanda kwa kugombania hadi milango inafunga kwa Taabu! kweli nimeamini hapa kuna jambo kubwa linaweza kutokea tena la KAFARA...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ebu tangazeni ajira za maana

    Kila siku mtu ukiingia ajira portal ajira zilizopo ni za madereva, waendesha office,watendaji wa vijiji,walimu na wasaidizi wa kumbukumbu pekee,halafu waajiri ni halmashauri. Ebu tangazeni ajira za maana kutoka taasisi za maana pia.
  7. JamiiForums Tanzania Sekondari ya Jokate Mwegelo ni shule ya serikali au binafsi?

    Habari Rejea SoMo hapo juu kuhusu hii shule. Wanafunzi wanapopangwa shule za serikali baada ya matokeo darasa la Saba kuna makundi haya. 1. Vipaji maalumu 2. Mbweni 3. Teule 4. Kitaifa Ufafanuzi je JOKATE MWEGELO SECONDARY SCHOOL inaangukia kundi lip? Naomba ufafanuzi
  8. JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha 6 mwaka 2025

    Wakuu Haya sasa matokeo ya kidato cha 6 yametoka rasmi. Kama kawaida ufaulu umeongezeka Matokeo yote yanapatikana kupitia tovuti ya NECTA au unaweza kwenda moja kwa moja kupitia link Matokeo Ya Kidato Cha 6 Mwaka 2025
  9. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro; Wanakijiji waiomba serikali mtuhumiwa wa ubakaji watafute pa kumpeleka

    Wananchi wa kijiji Cha Kwa Tito mkoani Kilimanjaro wameomba mtuhumiwa wa ubakaji mwenye umri wa miaka 50 aliyekuwa akimbaka na kumlawiti mtoto wa dada yake mwenye umri wa miaka 7 na kumsabibishia ulemavu kuhamishwa hapo nyumbani na kupelekwa sehemu anapostahili kutokana na kuwa ana tatizo la...
  10. JamiiForums Tanzania Bado tunalaumu serikali kuhusu AJIRA?

    Habari mazee! Huyu jamaa kajiongeza sana na elimu imemsaidia kwa kiasi kikubwa, hakutaka kuilaumu serikal bali alichukua hatua na kujiajiri mwenyewe kuliko kuendelea kulalamika https://www.youtube.com/watch?v=ESl_RqbPpb0
  11. W

    JamiiForums Tanzania Alionywa akakaidi: Hizi hapa post zilizomuingiza SirJeff kwenye 18 za System, kesi ya uhaini au uhujumu inanukia, Cruiser Nyeupe ilikuwa inamfuata

    POST YAKE YA MWISHO NI JUZI, KUNA TETESI AMEKAMATWA ANAKOISHI NA KUFANYA SHUGHUI ZAKE MAFINGA MKOANI IRINGA, AMESAFIRISHWA KWA SASA YUPO DSM
  12. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yajipanga kutoa Chanjo kwa Mifugo nchi nzima

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Edwin Mhede, ameongoza zoezi la utambuzi na uchanjaji wa mifugo mkoani Njombe, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo kwa Mifugo iliyoanzishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  13. JamiiForums Tanzania Lini mifumo ya Serikali inaanza kufanya kazi hasa kutoa hela

    Nata nifahamu ni lini mifumo ya Serikali huanza kutoa hela baada ya mwaka wa fedha kutamatika kikao ifikapo June 30..?
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ya DRC yajiandaa kwa vita tena

    Kwa kinachoonekana, ni kuwa serikali ya DRC imejiandaa kuanzisha mashambulizi mapya kwa AFC/M23. Hapo jana, kundi la wanajeshi na mamluki, walitua uwanja wa ndege wa Kalemie, na Badae kuelekea Uvira. Uvira bado ilikuwa mikononi mwa FARDC,Wazalendo na jeshi la Burundi. Hapo, Doha, nchini Qatar...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali Yaweka Bima ya Lazima kwa Wageni Wanaoingia Tanzania Bara

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Sheria ya Bima, Sura ya 394, imeanzisha bima ya usafiri wa lazima kwa wageni wanaoingia Tanzania Bara kwa ada ya bima inayolingana na Shilingi za Kitanzania sawa na Dola za Marekani 44. Lengo la bima hii ni kugharamia dharura za kitabibu, kupotea kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Urusi imekuwa nchi ya kwanza kutambua serikali ya Taliban ya Afghanistan

    Urusi imekuwa nchi ya kwanza kuutambua rasmi utawala wa Taliban, huku Waziri wa Mambo ya Nje wa Afghanistan Amir Khan Muttaqi akiuita uamuzi wa "ujasiri". Alikutana na balozi wa Urusi nchini Afghanistan, Dmitry Zhirnov, mjini Kabul siku ya Alhamisi, ambapo Bw Zhirnov aliwasilisha rasmi uamuzi...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye ushahidi wa njama za kumuwekea sumu Lissu auweke hadharani na siyo kuichafua Serikali yetu kipindi hiki cha Kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazima tufahamu kama Taifa tuna maadui ambao kila siku wanawaza na kufikiria namna ya kuichafua Nchi na Taifa letu kimataifa,namna ya kuharibu taswira nzuri ya Taifa letu,namna ya kuvuruga amani na utulivu wa Taifa letu,namna ya kuharibu umoja wa kitaifa,namna ya...
  18. JamiiForums Tanzania Samia amebaki na wakina nani serikali mbona kituko?

    Kipindi Cha Nyerere wasomi walisoma kuja kulitumikia Taifa kweli kweli na Nyerere aliwatumia baada ya kuwasomesha nje Mwinyi,Mkapa, Kikwete the same Magufuli ndio usiseme alifuata ma professor mpaka vyuoni Udsm na Mzumbe. Ndalichako Kabudi Kijazi Mfugale Mawaziri CV zilishiba kweli kweli watu...
  19. JamiiForums Tanzania Haya yote yamesababishwa na CCM kugeuza ubunge kama biashara na sio sehemu ya kuisimamia serikali kama Katiba ya JMT inavyoelekeza.

    Kila mwana CCM anawaza kwenda kuvuna pesa tu wala sio kutumikia wananchi. Hii ndio sababu ya watu elfu nne kwenda kuwania 300 hii ni dhahiri kuwa sasa ubunge ni biashara inayolipa iliyozalishwa na CCM 👇
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna nyufa zimeanza katika idara hii nyeti ya serikali?

    Tetesi za ndani zinaonyesha misemo ya chini chini kuhusu idara hii nyeti ya serikali, hasa baada ya jaribio la kumuua kwa kumchinja engineer mmoja aliekuwa amelazwa Hospitali ya Muhimbili kutofanikiwa. Mtazamo uliopo ni kwamba matukio mengi ya ukatili wa kupita kiasi yanayofanywa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…