MBUNGE DEODATUS MWANYIKA: SERIKALI IWALINDE WANANCHI DHIDI YA WAWEKEZAJI KWENYE AJIRA
"Watu wa Jimbo la Njombe Mjini ni mashuhuda wa mafanikio makubwa ya kuwasogezea wananchi huduma mbalimbali ya kuboresha miundombinu, Madarasa, Usafiri wa Reli, Usafiri wa Anga. Tunamshukuru sana Mhe Rais Samia...
Kwa nchi ilipofikia bila hatua madhubiti, viongozi baadhi wa serikali wanaweza kuamua jambo lolote hatari la kuhumiza watanzania wenzao kwa kisingizio Cha kulinda amani ya nchi.
Wanasahau pasipo HAKI kutamalaki hiyo AMANI wanayo ubili ni sawa na kusukuma UPEPO.
Baadhi ya viongozi wa CCM...
PICHA YA SERIKALI YA CHADEMA
Rais: Tundu Lissu
Makamu wa Rais: John Mnyika
Waziri Mkuu: Heche
Waziri wa Michezo: Sugu
Naibu Waziri wa Michezo: ( )
Mkurugenzi wa Wizara ya Michezo: (. )
Waziri wa Mambo ya Ndani: Boni Yai
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani: ( )
Mkurugenzi wa...
Bungeni leo Aprili 14, 2025, Mbunge wa Momba (CCM), Condester Sichalwe amehoji kuhusu hatua za Serikali kudhibiti pombe kali zinazoingizwa nchini ambazo kwa kiasi kikubwa zinachangia kuharibu afya na maadili ya vijana.
Sichalwe amesema:
"Kuna pombe nyingi sana zinaingizwa ambazo ni kali na...
SERIKALI KUANZA KUNUNUA MAHINDI YA NGARA
π14/04/2025
NGARA
ββββββββββββββββββββββββββββββββββ
Serikali imeahidi kuanza kununua mahindi ya Wakulima wa Wilaya ya Ngara kuanzia mwezi wa tano mwaka huu wa 2025.
Hatua hii itaimarisha bei ya soko la mahindi ambayo imekuwa ikibadirika...
Naibu Waziri ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeongeza umri wa ukomo katika mikopo ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya ndani ya Halmashauri kwa vijana kutoka miaka 35 hadi 45 ili kuweza kufikia vijana wengi zaidi.
Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo wakati wa akijibu...
Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imefanya utafiti wa kina nchi nzima kuhusu saratani na imebaini kuwa upande wa Kanda ya Ziwa saratani zinazoongoza ni ya Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi Kina mama, Damu, macho na figo.
Ameeleza kuwa visababishi...
Hello!
Yaani gari inanunuliwa Hadi 600 ml kwa Kodi za wananchi maskini, lakini haikatiwi Bima kubwa,
Kuna mtu anayejua sababu ni Nini hasa?
Au ni vile vya umma havina mwenyewe?
RIP mkurunzi Tannesco!
Karibuni π
Wakuu hii ndo Ccm ninayoijua Mimi ambayo haijali wewe ulikuwa nani , umejitoa kiasi gani n.k
Mpaka Sasa Justin kimodoi mwili wake haujaletwa kwao Bukoba kwa ajili ya mazishi .
Changamoto kubwa ni pesa.
Hii ndo Ccm
Nimefuatilia sana kwanini baadhi ya wananchi wakiwemo viongozi wa dini wanapendwa sana na wananchi, kwa mfano Askofu Bagona anayefanana kichwa na msanii Mwijaku amekuwa akiisema sana vibaya serikali kwa kisingizo cha uhuru wa kutoa maoni, kauli zake zinatumiwa sana na wapinzani wa serikali...
Haya magari yanatumiwa na viongozi wa wengi wa Serikali siyo salama.
Tusidhani wao Wajapan watafanya utafiti kuthibitisha hilo.
Ukiangali hizi gari zinapata ajali au kugongwa zinakuwa kama mtu kakunja makaratasi.
Uanzishwe uchunguzi wa kitaifa juu ya haya magari. Au tusubiri hadi limpate...
Kwanza siamini kama Lissu analala mahabusu.
Na Nina uhakika Lissu hawezi kufungwa.
Ndio maana mashitaka yake yamekaa kimagumashi ili ashinde kesi kirahisi.
Kwa kazi kubwa ambayo Lissu ameifanya kwa kuisaidia CCM kushinda uchaguzi wa mwaka huu kirahisi, serikali haiwezi kumfunga wala kumfanyia...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema serikali za mitaa ni kitovu cha utekelezaji wa mikakati ya ulinzi na usalama wa mtoto iwapo jamii itatoa taarifa kwa wakati kuhusu changamoto za kifamilia ambazo ni tishio kwa ustawi wa watoto Ili wataalamu wa ustawi wa jamii kwenye...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya hivi karibuni, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa tamko kali na lisilo na kificho dhidi ya vyombo vya dola kufuatia kukamatwa kwa Wakili na Mwanasiasa maarufu Tundu Antipas Lissu. Katika taarifa ya kushtua iliyotolewa leo, TLS imetaja hatua hiyo...
Sipendezwi abadan na vitendo vinavyoashiria dharau kwa mahakama, serikali na nchi kwa ujumla vinavyoonyeshwa na baadhi ya watuhumiwa wawapo au waendapo mahakamani. Nitatoa mifano michache:
1. Nilishuhudia mmoja ya wale watuhumiwa waliotumwa kumbaka kwa kumrawiti na kumrekodi yule dada wa...
MBUNE SYLVIA SIGULA: MIFUKO YA MIKOPO YA SERIKALI HAIJAFIKA KWA WALENGWA
Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Sylvia Sigula amesema Serikali imefanya kazi kubwa katika kuanzisha mifuko mbalimbali ya kutoa mikopo, lakini asilimia kubwa ya mikopo hiyo haifiki kwa walengwa na asilimia kubwa ya watu hawana...
MBUNGE CHEREHANI AISHUKURU SERIKALI UTEKELEZAJI WA MIRADI USHETU
Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwakutoa kiasi cha Sh bilioni 196 iliziweze kusaidia miradi ya kimkakati iliyokuwa imeshindika kukamilika.
Cherehani amesema hayo Aprili 10,2025...
Vurugu zimezuka katika Tamasha la Kitaifa la maigizo huko Nakuru nchini Kenya, baada ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Butere kukataa kucheza tamthilia yao ya kutatanisha "Echoes of Warββ, mchezo ambao unaangazia mapambano ya Vijana kuhusu uhuru wa kiraia, utawala na haki ya...
Wasalaam,
Hongera kwa jamii yote ya wapenda maendeleo ya mpira nchini kwa mafanikio ya Simba SC kutinga nusu fainali ya CAFCC 2024-25.
Bila kusema mengi, baada ya mechi ya marudiano ya Simba vs Al Masry, serikali ilitoa tamko kuwa uwanja unafungwa kwa matengenezo na kwamba Simba itafute uwanja...
βSisi tutaendelea kueneza mazuri ya viongozi wetu na mazuri ya chama chetu ili tuweze kuungwa mkono kwasababu kazi ya CCM ni kuboresha huduma za wananchi wake sio kudai serikali serikali tunayo sisi....." Abdul Kambaya - Mwanachama wa CCM