serikali

  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali ya Tanzania inavyokiuka mkataba wa Geneva

    Nimekuwa naenda mahakamani kufuatilia kesi ya Jamhuri (Samia) v/s Tundu Lisu. Pamoja na mambo memgine, tumeona wingi wa askari polisi na wanausalama eneo lote la katikati ya jiji kuzunguka Mahakama Kuu, lakini jambo lililonistua ni uwepo wa Ambulance ambazo madereva na wahudumu ni askari polisi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali: Vita na demokrasia tayari Demokrasia imeshinda kwa Watanzania

    Serikali: Vita na demokrasia tayari Demokrasia imeshinda kwa Watanzania. Kuteka watu , kutisha, kufungia vyombo na kutumia mahakama na Bunge vyote vimeshindikana. Kutumia pesa nako sasa kunashindikana. Kutumia Polisi na vyombo vya usalama sasa inashindikana. Ikulu imezungukwa na watu waongo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Haya ndiyo madudu yanayofanywa na Vigogo wa Afya Halmashauri ya Mji Korogwe, Tanga, Serikali ichukue hatua

    1. Kuna mazingira ya Rushwa ya ngono kwa Watumishi wao, wakati ambao watumishi wakidai stahiki zao. 2. Kuchepusha dawa za Serikali kupeleka kwenye maduka yao ya dawa, na hivyo kusababisha uhaba wa dawa katika Hospitali ya Mji Korogwe. 3. Kudai 10% pindi Mtumishi anapohamishwa kutoka kituo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Fountain Gate tuna hali mbaya kiuchumi, Serikali itusaidie tupate stahiki zetu

    Mimi ni mdau wa elimu, naomba ujumbe huu ufike kwenye mamlaka za Juu Serikalini, lengo sio kuchafua taasisi yetu bali ni kutusaidia sisi Watanzania ambao tuna hali ngumu na hatuna mtu wa kutusaidia. Siwezi kuharibu taasisi yangu wakati najua ndio sehemu ambayo Napata ugali wangu na familia...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuanze mtindo wa Colombia. Tupambane na wanaolinda serikali ya wezi

    Nchi ya Kolombia inajulikana kwa makundi mengi ya mauaji. Ukweli ni kwamba moja ya sababu ni kama haya yanayofanywa na CCM. Ni hii hali ya serikali kuendesha mauaji kwa wanaotetea haki za raia. Hali iliyopo Tanzania Mahakama zinatumika vibaya, Polisi wanatumika vibaya, Tume ya uchaguzi...
  6. JamiiForums Tanzania Blessing in Disguise : Kuifungia Jamiiforums Serikali tumeharibu zaidi. Tumempiga Chura Teke

    Nimesikitika sana watu ndo kwaaanza wanataka jiunga JF. Kuna group letu tupo watu 970 watu wameomba kujua hiyo JF ni nini. Na haraka wamejiunga baada ya kupewa VPN bure kwenye group mtu anajichagulia tu a install ipi. Nipo Ughaibuni naona nako kuna watu wanataka kuijua hiyo JF. Kifupi hesabu...
  7. JamiiForums Tanzania Pamoja na kufungiwa, Watu elfu 12 tupo online usiku huu Jamiiforums

    Teknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachoma picha ya Rais. Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa. Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
  8. JamiiForums Tanzania Serikali inayofanya kila kitu ni kweli inaogopa wakosoaji wa kwenye mitandao

    Hii serikali awamu 6 ambayo inafanya kila kitu. Mpaka Prof Kabudi anasema Mama anafanya yale ambayo Nyerere alitamani kuyafanya Mama anajaza mikutano yake. Leo hii wanaogopa wakosoaji wa JF tena wanatumia I'd fake na kupelekea kuifungia uoga wote wa nini na tunafanya vizuri kila sehemu?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sexless: Nashauri kila mzalendo ajitenge na serikali hii kwa kujiuzulu nafasi yake kama alivyofanya Polepole

    Wapenda haki na mabadiliko wote walioko ndani ya serikali wnapaswa kuhiriki ktk vita dhidi ukandamizaji wa demokrasia na uonevu unaofanywa na serikali hii kwa njia hii.
  10. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Wanapropaganda Waliozunguka nchi nzima kuipaka matope serikali kuhusu ubia wa Bandari hawakujua tofauti kati Ubinafshaji na Ubia

    https://youtu.be/aelk3E55QHA?si=n_yvK4_P-DV6jWtd Na Mwandishi Wetu Mjadala kuhusu mustakabali wa bandari nchini Tanzania umekuwa ukivutia hisia kali katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Katika mahojiano maalum, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPPC), Bw. David Kafulila, ametoa...
  11. JamiiForums Tanzania Litakuwa jambo jema tukijulishwa ni ushirikiano gani wanaoutaka Serikali kutoka ofisi za Jamii Forum na kweli uvamizi haramu haukufanyika.

    Mimi kama mtanzania ambae napenda taifa letu liongozwe kwa misingi ya haki na amani nimeshutushwa sana na hizi taarifa kuwa ofisi za Jamii Forum zilivamiwa. Serikali imekanusha juu ya uvamizi. Na imesema ilikuwa kwenye shughuli zake za kawaida na wanahitaji mmiliki wa Jamii Forum awape...
  12. JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa ofisi za JF ni ushahidi kuwa serikali imeshikwa pabaya na inatuogopa kwa mishale yetu?

    Serikali yoyote halali na yenye kujiamini, haiwezi kupoteza muda na heshima yake kuvamia ofisi ya mitandao kama ilivyotokea kwa ofisi za JF. Kwanza, nalaani kitendo hiki cha kichovu na kizwazwa, na pia, naitaka serikali ilaani kama kweli aihusiki. Pili, naitahadharisha serikali kuwa isipokuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM inaogopa kufunga mtandao wa instagram sababu wasanii wao wapo huko

    Wahuni walijua kufungia twitter(X) ndio kukomesha wanaharakati na walijua hakuna watumiaji wengi. Sijui hizi habari wanashauriwa na vilaza toka JF. Sasa siasa imeamia instagram na facebook na huko ndio kuna wasanii wao 😂. Karma karma sasa fungeni wawa geuke
  14. JamiiForums Tanzania Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)

    Habari wadau wa JamiiForums, Leo nimekuja na kichwa moto kuhusu hili swala la VPN ambalo limekuwa likiwaka kama moto wa gari la maji mitandaoni! Tangu 2023, serikali kupitia TCRA ikawavunja moyo wengi kwa kusema kila mtu anayetumia VPN, iwe mtu binafsi au kampuni, lazima ajaze form rasmi ya...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya DR Congo imetangaza rasmi kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yote yanayodhibitiwa na waasi AFC/M23

    Serikali ya DRC imetangaza kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yanayodhibitiwa na AFC/M23. Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, alithibitisha hilo na kusema: "Kwa bahati mbaya, watoto wetu katika maeneo yanayokaliwa hawafaidiki na elimu ya bila malipo." Hatua hii inaathiri moja...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO TOZO ZA SERIKALI kwenye MIAMALA ya Simu zimerejeshwa tena?

    Kama sikosei ni takribani miaka miwili au mitatu imepita tangu serikali ilipotangaza na kupitisha makato maalumu (Tozo za serikali) kwenye miamala ya simu. Serikali ilisema kwamba tozo hizo zingetumika kujenga vituo vya afya, madarasa, kutengeneza madawati nk (kama sikosei, naomba nikumbushwe)...
  17. S

    JamiiForums Tanzania KERO Tafadhali Serikali fungieni mchezo wa AVIATOR, Mchezo sio fair na unaua ndoto za Vijana

    Habari zenu Ndugu zangu. Moja kwa moja kwenye main point, Mchezo wa aviator haupo fair jinsi inavyotangazwa, inachukua 90% inakupa 10% haina usawa wa 50% kwa 50%. Aviator imeharibu ndoto za Vijana wengi, na wanaishia kuwa omba omba , sababu pesa hazikai, vijana wanashindwa kuwa na nuru sababu...
  18. JamiiForums Tanzania BBC yarusha habari kuhusu wakosoaji wa Serikali wanaotekwa, kupotea au kuuawa

    Katika amka na BBC leo asubuhi tarehe 03/09/2025, shirika la utangazi la BBC limejaribu kuwataja watu wanaowaua wakosoaji wa serikali, akiwemo Shadrack Chaula (Car of God) kutoka mkoa wa Mbeya aliyetekwa mwezi mmoja baada ya kunusurika kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kuchoma picha ya Samia...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali: Tunachoweza kukipuuza, kipuuzeni, tutaepuka mengi

    Nimeona ujumbe wa katibu mkuu wizara ya habari, ndugu Msigwa kumhusu Mange. Naungana naye kulaani vitendo vya uvunjifu wa sheria vinavyofanywa na watanzania wenzetu waliopo nje ya nchi. Rai yangu ni kuwa sisi watanzania tuliopo ndani na nje ya nchi yetu, tusisahau kuwa hatuna nchi nyingine...
  20. JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali afafanua sakata la Muuguzi na Askari kuvutana Wodini Hospitali ya Kibondo

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amewatoa hofu wananchi juu ya picha mjongeo (video) iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Muuguzi na Askari wakivutana katika Hospitali ya Halmashauri ya Kibondo huku ikidaiwa askari kuvamia chumba cha kujifungulia, jambo ambalo amesema sio kweli na likiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…