📍NIRC: Igunga
Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imeingia mkataba na mkandarasi mzawa kampuni ya Samota limited kujenga mradi wa skimu ya umwagiliaji Mwamapuli, katika kijiji cha Mwanzugi wilayani Igunga mkoani Tabora, mradi ambao utagharimu zaidi ya shilingi bilioni 26.9...
Naomba kuuliza, mbona wakaguzi wa miradi ni wengi sana na bado miradi mingi ufanisi wake ni wa hovyo.
Hizo pesa zinazotumika kwa ajili ya ziara za kukagua miradi si bora zikafanya kazi nyingine tu na miradi ikawa inakaguliwa na taasisi moja maalumu baada ya hapo inapeleka ripoti kwa wengine.
Habarini,
Waafrika ifikie wakati tuanze kuwaza kwa akili na bongo zetu,hivi kweli kama makanisa na misikiti yangekuwa na UMUHIMU serikali za Afrika zingeyafunga?
Je serikali zinazofunga makanisa na miskiti viongozi wao hawajui kuwa dini ni za Mungu na ndizo zitawapeleka Waafrika mbinguni?
Vyombo vya Usalama vinalinda Usalama wa mali na raia.
Usalama ukitoweka walinzi wa Usalama ndio wanalaumiwa.
Kama viongozi watatumia vyombo vya Usalama kuwakandamiza wananchi au kuwadhulumu wananchi haina maana kwamba Polisi wanaruhisiwe kuwaachia vibaka waibe .
Polisi hawana mamlaka juu ya...
"....Tanzania imetekwa na kakikundi kanakojiita serikali ndani serikali maarufu kama "Futungo State" kama ilivyokuwa kule Congo au "Parallel State" kama ilivyokuwa kule Angola
Hivi ni vikundi vya watu wachache (serikali ya wasiojulikana) waliounda kiserikali chao ndani ya serikali tunayoijua...
Wakati wa utawala wa JPM aliwahi kuwashukia baadhi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu kwa kusababisha serikali kukosa mapato yake halali yatokanayo na kodi.
Aliwaambia ana kwa ana kuwa wanahusika katika kutoa mahesabu yaliyokaguliwa ya aina mbili. Seti ya kwanza ya mahesabu yaliyokaguliwa ni...
Chama cha ACT Wazalendo leo Juni 03, 2025 kimeitaka Serikali ya Tanzania kusitisha hatua ya kulifuta Kanisa la Ufufuo na Uzima ambalo linaongozwa na Askofu Josephat Gwajima.
Katika taarifa yao, ACT Wazalendo imesema kuwa kulifungia kanisa hilo kunakiuka haki ya uhuru wa maoni na kukusanyika...
Serikali ya Uingereza imeingia katika mzozo na aliyekuwa mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich kuhusiana na matumizi ya fedha Pauni Bilioni 2.5 ambazo zimezuiwa katika akaunti ya benki nchini Uingereza.
Kiwango hicho cha fedha ni malipo ya kuuzwa kwa Chelsea Mwaka 2022, ambapo...
Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesema Serikali inatakiwa kuelekeza nguvu katika kudhibiti matumizi ya Dawa za P2 kwa maelezo kuwa zimekuwa na athari kubwa katika kizazi cha Wanaotumia ikiwemo kupata saratani ya uzazi, ujauzito kutoka, kutokwa na damu nyingi au kidogo.
Amesema hayo...
1. Edgar Mwakabela au SATIVA
2. Msabaha
3. Hilda Newton (Alikimbilia uhamishoni baada ya kunusurika siku ya kesi ya Lissu)
4. Titto Magoti
5. Maria Sarungi
Ongeza wengine
Warumi 13
Neno: Bibilia Takatifu
Kutii Mamlaka
13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu.
2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi...
Sina haja ya kuleta ushahidi kwa viongozi wakuu wa haya makanisa kutoa kauli za "kiuchochezi" na "taharuki" kwa taifa kuhusu haya haya masuala ya utekaji na uuaji
Katibu wa TEC "amechochea" mara nyingi
Kalikawe Benson Bagonza naye ni "mchochezi" mkubwa
Alex Malasusa naye tumemshuhudia...
Unaenda mwezi wa pili huu wanafunzi ambao wanawaita wanufaika wa HESLB hawajaingiziwa accommodion and meals fund,na isitoshe 90% ya hao walipewa 10 to 40% kwa ajili ya tuition fees hivyo wanategemea meals na accommodation ili wajazie ada.
Mpaka sasa wanafunzi wengi wamekwama kulipa ada kwa...
Ninapofanya kazi sio shwari kuna mambo mengi hayapo sawa. Huyu muwekezaji ana nguvu na anajeuri ya kupindisha mambo ya kisheria kuanzia kwa wafanyakazi mpaka mambo ya kimamlaka na ukosefu wa uadilifu.
Nataka nifikishe ili jambo kwenye vyombo vya serikalini na watetezi wa haki za wafanyakazi...
Moja kwa moja..
Sababu ya kuandika huu uzi ni kutokana na baadhi ya fikra za Wabongo wanona kutokana na mapungufu ya serikali bora tukiwashe na kukinikisha wengine wakienda mbali wanasema damu zikimwagika ndio tutaheshimiana. Nawaambia ndugu zangu Amani ni jambo muhimu sana bila kujali mambo...
Friends and Our Enemies,
Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.
Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali...
CCM KUFADHILI KITABU CHA MZEE SONGAMBELE KUENZI HISTORIA YA NCHI, CHAMA NA SERIKALI
- Balozi Nchimbi atoa neno, akimwakilisha Dkt. Samia msibani
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kitabu alichoandika Alhaj Mzee Mohamed Mustafa Songambele...
Wanabodi
Nimesoma bandiko hili humu jf News Alert: - Serikali yalifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima kwa kuingilia masuala ya siasa kwa nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi
Bandiko hili ni faraja kwa Baba Askofu Dr. Josephat
Gwajima, na wapenzi, wafuasi wa kanisa lake la Ufufuo wa...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi, imeishauri Serikali kukamilisha mchakato wa kuandaa sheria itakayosimamia huduma ya uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa chembechembe na viungo vya binadamu ili kuweka msingi madhubuti wa utoaji wa huduma hiyo kwa wananchi.
Akizungumza...
Serikali imesema itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo ilikuwa ikipata ufadhili wa kifedha kupitia taasisi za Marekani baada ya tamko la usitishaji wa misaada lililotolewa na Rais Donald Trump.