serikali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali imesamehe Shilingi Trilioni 424?

    Ndugu zangu Kwa mujibu wa uchunguzi na utafiti ulioendeshwa na wataalamu wetu profesa Mruma na Profesa Osoro ilibainika wazi kabisa kuwa Watanzania tulikuwa tukiibiwa na kampuni ya ACACIA katika madini yetu hususan kupitia mchanga wa makinikia. Kwa mujibu wa Utafiti huo ilibainishwa kuwa pamoja...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Serikali kupitia Wizara ya Afya na TBS wana taarifa kuhusu tangazo la ‘kitapeli‘ la Dawa ya Kumfanya Mtu aachane na Ulevi?

    Tangazo hilo linachezwa sana Wasafi fm (sijajua kwa Vituo vingine vya habari). Tangazo hilo linalosema kwamba hii dawa ya Hans Maks (naomba radhi kama nimeiandika vibaya) ukimpa tu Mtu Mlevi wa pombe ambaye ameshindakana kwa kila namna hasa ile ya ‘kimaombi‘ basi ukimpa hii Dawa ndani ya dakika...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali iliahidi reli ya SGR Dar-Morogoro itaanza Novemba 2019, hadi sasa hakuna kitu

    Serikali iliahidi kufika Novemba 2019 reli ya kiwango cha kati kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro ingekuwa imekamilika na kuanza safari ila hadi sasa hakuna maendeleo yoyote, ujenzi haujafika hata 70%. Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakya na umeme megawati 5,000 na itaanza...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ondoeni Mabango katikati ya Barabara

    Mabango katikati ya barabara ni hatari Usalama barabarani ni jambo kubwa na la msingi katika maendeleo ya nchi yetu. Moja ya vitu ambavyo vinaweza kuleta ajali barabarani ni vizingiti vinavyo mfanya dereva ashindwe kuona vizuri mbele. Katika kipindi cha miaka ya nyuma, kumekuwa na ongezeko...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa Serikali za mitaa, vijiji, vitongoji muda wenu umekwisha, Je adui yenu ni CCM au Serikali?

    Na Boniface Jacob Senior councillor Jana tarehe 22 October 2019 Wenyeviti wa Serikali za Mitaa,Vijiji na Vitongoji pamoja na Wajumbe wao Wamemaliza Muda wao wa Miaka 5 Tangu wachaguliwe Mwaka 2014 Muda kama huu kwa Mujibu wa Sheria namba 8 na 9 za mwaka 1982 (Sura 288) Kiutendaji jana ndiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu TARURA na Wizara ya Ujenzi

    Habari ndugu wana jukwaa, Napenda kutoa ushauri kwa serikali iangalie uwezekano wa kuihamishia Tarura chini ya wizara ya ujenzi na uchukuzi kutoka Tamisemi na kuondoa mambo ya mawasiliano kutoka wizara ya ujenzi kupeleka wizara ya habari Ili kuleta ufanisi masuala ya barabara yawe chini ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kampuni ya IPTL haijawatambua SCBHK kama wadai wake na inahoji mahakamani uhalali wa madai yao

    KAMPUNI ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imeiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itamke rasmi kwamba Standard Chartered Bank (Hong Kong) Limited (SCBHK), si wadai wake na ibatilishe tuzo mbalimbali, ambazo ilipewa huko Ulaya bila kuwepo mhusika mkuu katika migogoro hiyo. Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania "Kati ya Wasifiaji wa Rais Wakiwemo Machawa na Wakosoaji wa Rais, Watu Critical, Nani Wanamsaidia zaidi Rais, Serikali Yake?

    Wanabodi, Hii ni thread ya Swali, Kati ya wakosoaji wa Rais na serikali yake, yaani wale ma Critics na wasifiaji, wakiwemo praise singers na machawa, nani wanamsaidia zaidi Rais na serikali yake?. Kwa ukosoaji unaofanyika humu JF, Je sisi JF, tunamsaidia Rais na serikali yake au...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kweli baada ya kifo cha baba (mume) kwa asilimia kubwa sana mke, watoto na wazazi wanaingia kwenye mgogoro mkubwa sana

    Suala la mirathi na urithi kwa ujumla linaleta chuki sehemu ambapo upendo ulitawala kwa sababu hakuna utaratibu ambao upo wazi wa kufuata juu ya suala la mirathi. Ni maoni yangu serikali iliwekee sheria na kanuni namna ya kuwawezesha wafiwa kuendelea na maisha mema hata baada ya mpendwa wao...
  10. JamiiForums Tanzania Dunia kuwa na Serikali moja?

    Ni pale nchi zenye majeshi na vifaa hatari mfano; Marekani na Russia wakianza kushirikiana kijeshi na kila mmoja kutooona tishio kwa mwenzake ujue wakati wa serikali moja umefika. Ni pale UN itakapokuwa na jeshi lake, lenye kupokea order kutoka baraza moja la kijeshi ujue dakika za kutawaliwa...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo asubuhi redioni

    Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo redioni asubuhi. Haiwezekani asubuhi muda wa kazi ndio watu waaanza kuchambua michezo toka saa 2 asubuhi hadi saa 5, watu watafanya kazi saa ngapi? Muda wa kufanya shughuli za uzalishaji ndio watu wanasikilizisha watu vipindi visivyo na kichwa wala...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini ofisi ya DPP wanatuona Watanzania ni wajinga na Vilaza? Huyo mwizi kaibaje computer kwenye ulinzi wa CCTV na jeshi lenye SMG & AK47

    WATANZANIA SIO WAJINGA KIASI HIKI Leo vyombo vya habari vimeripoti kwamba Computer za ofisi ya DPP tena zenye nyaraka za kumbukumbu za waliolipa fedha za uhujumu uchumi na nyaraka nyingine zikiwemo za mienendo ya mashtaka ya kesi za uhujumu zimeibwa. Huu ni zaidi ya ukoo wa panya. Huwezi...
  13. JamiiForums Tanzania Wagombea Serikali za mitaa CHADEMA na ACT Wazalendo wanapatikanaje? Mbona sioni kura za maoni zikifanyika?

    CHADEMA na ACt Wazalendo wagombea Serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni kama CCM walivyofanya jana jumapili nchi nzima?
  14. J

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama kikubwa sana hakitikiswi na uzushi wowote. Tumemaliza uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa kwa amani

    Kwa kweli Mungu ni mwema leo tumepiga kura za maoni kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa na zoezi tumelikamilisha vema kabisa. Kiukweli hawa viongozi tuliowachagua ni kama wameshapita bila kupingwa kwani 87% ya wakazi wote hapa mtaani tumeshiriki uchaguzi na kufanya maamuzi na sidhani kama...
  15. JamiiForums Tanzania Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Waziri wa Mambo ya Nje, Prof Palamagamba Kabudi ametangaza leo kuwa Serikali kwa kushirikiana na Barrick Gold Corporation wameunda kampuni ya ubia inayoitwa Twiga Minerals Corporation. Katika kampuni hiyo Serikali ina hisa asilimia 16 na Barrick asilimia 84. ====== Baada ya mgogoro uliodumu...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko kuwa mwanafunzi akikutwa na simu anafukuzwa shule

    Shule nyingi za serikali zimekuwa zikifanya vibaya matokeo ya mitihani ya secondary.Moja ya sababu ni kiwango cha chini mno cha kupitiliza cha nidhamu ya wanafunzi shuleni na nje ya shule na tatizo la umiliki wa simu,radio na TV mabwenini. Mashule mengi serious ya private yanayofaulisha sana...
  17. JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai: Kutokana na masharti ya Mradi wa Bandari Bagamoyo, ni sahihi Serikali kuusitisha

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amebadilisha msimamo wake kuhusu ujenzi wa mradi mkubwa wa ukanda maalumu wa kiuchumi wa Bagamoyo (Bagamoyo SEZ) mkoani Pwani akisema awali yeye na wabunge wenzake hawakuyajua masharti ya mradi huo bali waliangalia tu faida zake. Kauli ya Ndugai imekuja ikiwa ni siku...
  18. JamiiForums Tanzania Bendera ya Taifa: Kwanini wananchi hawako huru kuibeba au kuitumia?

    Nianze na swali: Hivi unaweza kupeperusha bendera ya taifa mahali uishipo hata ikiwa wewe si kiongozi mtaani? Nakumbuka wimbo ufuatao tuliimba chekechea, ile iliyoko pale karibu na 'Holofea' kama tulivyozoea kupatamka: Bendera ya Tanzania, Ndio ya kujivunia, Ilianza kupepea, Mwaka sitini na...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali: Watumishi 4,160 walioondolewa kwa vyeti feki warudishwa

    Naibu Waziri – Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe Dkt. Mary Mwanjelwa amesema watumishi wa umma 4,160 kati 15,189 walioondolewa kazini kwa kuwa na vyeti vya kughushi wamerudishwa. Dkt. Mwanjelwa amesema Serikali imechukua hatua hiyo baada ya kubainika kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi watumishi watafanya nini siku Serikali ikisema mwezi huu hakuna mshahara?

    Najaribu kufikilia hivi sasa wapinzani, makanisa na misikiti na vyombo vya habari vipo kimya kama vile havipo Tanzania, siku serikali ikisema mwezi huu mushahara hautakuwepo mpaka mwezi ujao watumishi watalibeba vipi hili? Wakuu naleta kwenu!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…