serikali

  1. M

    Imagine wakili wa serikali ndio Lissu

    Chukulia tu, kesi inayomkabili Lissu ingalimkabili wakili wa Serekali, angalikumbuka angalau kifungu kimoja cha sheria kichwani? Nakusudia kwamba juu ya ubobezi wa sheria alionao, angalijiamini ajitetee mwenyewe na ateme vifungu vya sheria mahakamani?
  2. R

    Serikali yatoa zaidi ya Bilioni 15 Mradi wa Mwenga Hydro Ltd

    erikali ya Tanzania imetoa kiasi cha shilingi bilioni 15 kwenye mradi wa kuzalisha umeme wa Mwenga Hydro Ltd uliopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. Hayo yamebainishwa leo Julai 31, 2025 wakati wa ziara ya Bodi ya Nishati Vijijini (REB) ilipotembelea na kukagua mradi wa kuzalisha umeme wa...
  3. Genius Man

    Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya Samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu

    Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu. Suala la kufungia mitandao kwasababu watu wasiongee, linaminya uhuru wa kujielezea na haki za binadamu ungekuwa wewe ungejisikiaje ?
  4. fimboyaukwaju

    Hongera sana kwa Serikali yetu kwa haya mambo makuu 3

    Benki kuu imezindua mfumo intergrated core banking system,huu ni mfumo wa kibenki ambao kwa miaka 24 iliyopita tulikuwa tunatumia mfumo kutoka nje ambao tulikuwa tunalipa kwa kuutumia,kwa sasa hatulipi kitu na mfumo umejengwa na watanzania na tumesevu bilioni 90 kwa mwaka. Leo tunazindua...
  5. M

    Makundi ya haki za Binadamu ya Israel yatoa ripoti kuilaani serikali yao kwa Mauaji ya Kimbari(Genocide) huko Gaza

    Baada ya taatifa ya taasisi ya haki za binadamu ya Amnesty ya miezi michache iliyopita, taasisi ya haki za binadamu ya nchini Israel ya B'Tselem nayo imetoa taarifa kuwa wamejiridhisha vya kutosha kuwa serikali ya nchi yao inafanya mauaji ya Kimbari huko Gaza. Wakihojiwa na mwandishi wa habari...
  6. N

    Serikali inazingua lakini na sisi tunajisahau mno

    Watu wengi wakipata nafasi, wanaangalia zaidi namna ya kuinua familia / ndugu zao, si kwa maslahi ya taifa au jamii kwa ujumla. Mradi mtu na familia / ndugu wake wako vizuri, basi huhisi nchi haina shida hata kama jirani anaumia, hata kama mfumo mzima unaporomoka, wao hayawahusu. Hiki ndio...
  7. Outsiders

    Kukurupuka kwa Serikali Kuanzishwa kwa Mitihani ya watumishi waliokazini

    Kiukweli suala la kukosa mitaala ya elimu iliyothabiti ni janga la Taifa,,, leo hii serikali na watendaji wake wakuu wanakurupuka kuanzisha mifumo isiyokua na Tija katika mustakabali wa taifa; 1. Mfumo wa ESS ulianzishwa kwa dhumuni la kupima utendaji kazi wa mtumishi baada ya kuondolewa mfumo...
  8. sanalii

    Kwa michezo ya hawa mawakili wa serikali, sio ajabu Tanzania inashindwa kesi za kimataifa mara kwa mara.

    Wako kisiasa zaidi huku wakicheza na mfumo bila ya kua professional. Kwa mtindo huu, wakienda kwenye chemba za kimataifa ambako watu wako serious na hawapendi kupoteza muda basi hawawezi kutoboa kamwe. Kama lengo lilikua ni kumpotezea lisu muda, ni bora wangetumia njia nyingine ila si hii...
  9. Komeo Lachuma

    Hizi Nukuu zina lengo gani kwa Serikali yetu?

    NUKUU ZA LEO A). "Chama kinachohitaji polisi na magereza ili kushinda uchaguzi tayari kimeshashindwa kabla ya uchaguzi" Nelson Mandela. 😎. "Uhalali wa kiongozi haupimwi kwa nguvu ya silaha bali kwa nguvu ya hoja na uwezo wa kuwaunganisha anaowaongoza" Mahatma Ghandhi. C). "Uhaini si kuzuia...
  10. Parabolic

    GE2025 Uteuzi wa wagombea umekuza au umekanyaga demokrasia ndani ya CCM?

    Kufuatia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutoa orodha ya watia nia waliopita kuwa nia Ubunge hatua ya awali katika Majimbo mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar, kumekuwa na sura tofauti za maoni kuhusu demokrasia ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, huku pia...
  11. R

    Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited utanufaisha kwa Ajira 3,500-4000 na Kukuza Mapato ya Serikali

    Rais Samia akiwa katika uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited amesema Mradi huo uatwezesha ajira 3500 hadi 4000 huku serikali ikikadiriwa kupata kiasi cha mapato ya dola millioni miatatu sabini na tatu " Tathmini iliyofanywa inaonyesha kuwa...
  12. Benson Mramba

    Kwa Tangazo hili ya Serikali, Je CCM imevunja Katiba kumteua Samia Suluhu?

    Nimeona Tangazo la kuvunjwa kwa Bunge la tarehe 20 July 2025. Mh Rais Samia anakiri mwenyewe kwamba haiwezekani kuteua Wagombea kabla ya Bunge kuvunjwa. Je Jan 2025 CCM walivunja katiba ya nchi? Na je Mgombea Urais wanaye tayari au lah!? Kutakuwa na uteuzi mwingine mbeleni?
  13. Nipe Maji

    GE2025 Serikali kupitia TANROADS imeanza rasmi ujenzi wa daraja eneo la Jangwani, Dar es Salaam

    Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeanza rasmi ujenzi wa daraja jipya la kisasa katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kudumu wa kuondoa changamoto ya mafuriko ya mara kwa mara yanayoathiri jiji hilo. Daraja hilo litakuwa na urefu wa...
  14. Prof_Adventure_guide

    Tundu Lissu na Mapambano ya Kikatiba: Tunapojifunza Sheria, si Kusikiliza Kejeli za Mawakili wa Serikali

    Leo hii, Tundu Antiphas Lissu, mwanasheria wa kiwango cha juu, anarejea katika chombo cha haki — mahakama — si kwa ajili ya maigizo ya kisiasa, bali kwa ajili ya kuitafuta na kuisimamia constitutional justice kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
  15. K

    Kwenye Siasa na muundo wa serikali Tanzania hatuna cha kujivunia zaidi ya wazalendo wachache

    Kwenye Siasa na muundo wa serikali Tanzania hatuna cha kujivunia zaidi wa wazalendo wachache. Kwenye ukanda wetu Tanzania ndiyo nchi ambayo siasa zake hazileti maendeleo yeyote ya maana. Mpangilio wa serikali yenyewe ni wa kibaguzi na unapendelea Wanzanzibari wachache. Mahakama ni za kisiasa...
  16. Prof_Adventure_guide

    Ubinadamu Umefiwa Mlima Kilimanjaro – Ukimya wa Serikali, Manyanyaso ya Makampuni na Kilio cha Wapagazi

    Jamii nzima ya Tanzania na ulimwengu kwa ujumla mnapaswa kufunguka masikio, kufumbua macho na kusikiliza kwa makini kilio hiki kinachotoka kwenye mioyo ya wale ambao wamesahaulika – Wapagazi (porters), wapishi na magwiji wa milimani (guides) wa Mlima Kilimanjaro. Hawa ndio watu ambao kwa mikono...
  17. D

    DOKEZO Responded Hospitali ya JKCI-Dar Group mnaihujumu Serikali kwa Kukiuka makubaliano ya Serikali na wafanyakazi mliowakuta

    Takriban mwaka miaka 3 tangu Serikali JMT kutangaza kuchukua umiliki wa hospitali ya Dar Group kupitia Waziri wa afya wa wakati huo Ummy Mwalimu siku ya makabidhiano na kuiweka chini ya umiliki wa Taasisi ya moyo JKCI , pia ilichukua rasilimali zote ikiwemo majengo, vifaa tiba , pesa na...
  18. R

    Kipimo cha umasikini wa wafanyakazi wa serikali ni hiki hapa

    1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue. 2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji PRELUDE...
  19. Nigrastratatract nerve

    Mtoto kurudishwa kwa sababu ya kukosa tsh 1500 na kujinyonga ni miongoni mwa matokeo ya uongozi legelege ndani ya CCM unaounda Serikali legelege

    Mwanafunzi wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya msingi Mnini iliyopo kata ya Uru Mashariki wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro anayefahamika kwa jina la Izack Mushi (12), amefariki dunia kwa madai kuwa amejinyonga kwa kamba muda mfupi baada ya mwalimu wake katika shule hiyo...
  20. Scared

    Kuna vitu serikali inafanya sijui kama wanatumia akili kama hili la maegesho ya Magali makubwa Kibaha Misugusugu

    Yaani wamehamisha watu Kwa kuwalipa mabilioni huku wakijua kabisa magari makubwa hayatokua mengi sababu Kuna bandari kavu ya Kwala iliyopo Vigwaza Sasa najiuliza wakijenga huu mradi wa hayo maegesho watapaki kina nani maana magari yote yatakuwa yanaondokea Kwala Hili bado sijajua vizuri...
Back
Top Bottom