serikali

  1. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali iwekeze katika vipaji vya Watanzania ili kukuza uchumi wa taifa

    UTANGULIZI Ni ukweli usiopingika kwamba, Watanzania wengi wamebarikiwa kuwa na vipaji mbalimbali. Mfano, Utengenezaji wa bidhaa, ubunifu wa vyombo vya kielektroniki, uchoraji, uchongaji, matumizi ya compyuta, uimbaji nk. Licha ya Tanzania kuwa na vijana wengi wenye vipaji, bado kumekuwa na...
  2. JamiiForums Tanzania SoC01 Kodi ya Uzalendo: Ushauri wangu kwa Serikali jinsi ya kuthibiti na kujenga imani kwa walipaji

    Kutokana na makusanyo mapya ya kodi ya uzalendo kupitia miamala ya simu,serikali iandae system ya wazi kutrack hizi tozo na kuonyesha kila mchangiaji. Itapendeza sana kama watanzania tutaona wenyewe kupitia system itakayoandaliwa iwe ni website au app. Kama walivyofanya CDM mwaka fulani kuona...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa Ufafanuzi kuhusu Fimu ya Ridhas ya Chanjo ya Covid 19

    Mkurugenzi wa Huduma za afya Dr Subi ametoa ufafanuzi kuhusu fomu ya ridhaa ya chanjo ya civid 19 Dr Subi amesema wanaotaka kuchanjwa watajaza fomu maalumu ya hiyari ya kutaka kuchanjwa na huo ni utaratibu wa kawaida kabisa duniani kote Source: TBC Aridhio
  4. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la kutoridhika na utendaji wa serikali

    Kumekucha! Vilio vya kutoridhika na utendaji wa serikali ambavyo vimekuwapo kwa miaka mingi, hatimaye sasa vinasikika kila kona: 1. Zinazoitwa tozo za uzalendo, 2. Kodi zaidi zikiwamo kwenye mafuta ya vyombo vya moto, 3. Ongezea la nauli za mabasi na usafiri kwa ujumla kutokana #2, 4...
  5. JamiiForums Tanzania Hii tozo ya kuhamisha fedha ambayo sio ya Serikali ni justofiable?

    Naona makampuni ya simu yanaandika makato ya kampuni na kuyatenganisha na tozo ya Setikali lengo ikiwa ni kuonesha makato yameongezwa na tozo ya serikali. Sasa tujiulize je haya makato ya sh lets 350 unapotuma elfu 10 yanayoenda kampuni ya simu ni justifiable??? kwa nini 350 na sio 100...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Omary al Bashir wa Sudan alipinduliwa kwa ongezeko la bei ya mkate, Watanzania tunachekelea Serikali kuongeza kodi lukuki

    Watanzania ni watu wa ajabu sana sijui ni sababu ya upole na unyenyekevu au uoga! La sivyo wako katika lindi la ujinga! Mwaka 2019 wananchi wa Sudan waliiondoa serikali ya Rais Omary al Bashir kwa kuongeza bei ya mkate kwa kufanya maandamano nchi nzima. Walifanikiwa na sasa Bashir anatumikia...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa kipekee kabisa naipongeza Serikali kwa kuanzisha kodi ya kizalendo kwenye miamala ya simu. Naomba Watanzania tuiunge mkono

    Hulka yetu watanzania tuliowengi hatupendi kulipa kodi kwa hiari ila ni wa kwanza kuilamu serikali pale inaposhindwa kuleta huduma za maendeleo. Yaani tunafikiri pengine maendeleo yanakuja tu kama mvua ishukavyo kutoka mawinguni au labda kwamba nchi inaweza kujiendesha yenyewe pasipo watu...
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Lugha ya Kingereza itumike kama lugha ya kujifunzia kwa shule zote za serikali na binafsi kuanzi elimu ya awali

    Nimefanya kazi katika taasisi za elimu kwa miaka mingi sasa. Tatizo kubwa ambalo nimekuja kukutana nalo hasa kwa graduates wa nchi hii ni uwezo mdogo wa kupambania soko la ajira linapokuja suala la kushindana na nchi nyingine. Tatizo kubwa hapa ni Lugha ya kufundishia. Kwa sasa shule za msingi...
  9. JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Kodi (Rent)

    Kodi(rent) (ushuru) malipo ya pesa, malipo yanayo kusanywa na serikali kwa mujibu wa sheria(KATIBA). Kushindwa kulipa, kodi(rent), ni kosa la jinai serikali itakushtaki uadhibiwe kwa kufuata sheria. Kodi iliwekwa kwaajiri ya makusanyo (mapato) kwa wafanya biashara na makampuni nk, lengo...
  10. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Serikali kwa aina hii ya ukusanyaji kodi isiyokwepeka

    Nawasalimu ndugu watantania kwa jila la JMT Wiki kadhaa zilizopita walijitokeza watu wakimnanga mkuu wa nchi kwamba kwa anayoyafanya ya kulegeza kamba kwenye ukusanyaji kodi kwa kutotumia nguvu ni kujiingiza kwenye anguko la kitaifa kwani hakuna mtu anapenda kulipa kodi hivyo kama hakuna nguvu...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Watanzania huenda tunaiongoza dunia kwa utii kwa Serikali yetu

    Habari waumini wa JF, Uzi huu hauna maudhui ya uchechezi naomba nieleweke. Kila serikali inapopitisha sheria mpya ambazo zinagusa maisha ya Watanzania moja kwa moja wananchi wa Tanzania huiunga mkono Serikali yao. Iwe sheria mpya ya kodi ambayo inawaminya mbavu, wananchi wataiunga mkono, iwe...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane

    Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane baada ya ripoti za vifo na wagonjwa wa corona kuongezeka. Watu wametakiwa kutotoka nje ya nyumba zao kuanzia Jumamosi tarehe 17 mpaka tarehe 26 Julai, ili kuzuia maambukizi ya virusi...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kinachokwenda kufanyika kwenye miamala ya simu, ni Serikali kuuchukua tena uchumi sadifu wa kati kwa walala hoi kwamba hawastahili kuwa nao

    Sijui ni kivipi mtu anapofika kwenye level fulani ya maisha hutaka kuilazimisha akili yake kuwa na wengine wote wako kama yeye Badala ya kurudisha akili zake kule alikotoka ili ayapime maisha aliyopitia na hatimaye aone pia wale ambao bado wako huko wanapitia ugumu uleule aliowahi kuupitia yeye...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Shida ipo wapi mpaka mmeng'ang'ania na katiba ya Chama kimoja?

    CCM kama hamna nia ya leo kukubali mabadiliko ni bora mkajiuzulu ili wanaoweza kutekeleza azma ya kuipatia nchi hii KATIBA MPYA inayokubalika kwa Nchi zote mbili Tanganyika na Zanzibar ni watimize kuileta tunu hii. Shida ipo wapi? Mpaka mmeng'ang'ania na katiba ya Chama kimoja? Hii Katiba...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Serikali imeamua kugawana 50/50 tozo za simu na Wamiliki wa mitandao?

    Kutoa 100,000 ilikua 3600 sasa hivi 6,100 Kutoa 200,000 ilikua 5300 sasa hivi 8,240 Kutoa 300,000 ilikua 6500 sasa hivi 10,000 Kutoa 400000 ilikua 7000 sasa hivi 11,100 Kutoa 500,000 ilikua 7500 sasa hivi 12,700 Kutoa 600,000 ilikua 8000 sasa hivi 13,900 Kutoa 700,000 ilikua 8000 sasa...
  16. JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali inavyoweza kupambana na Ukosefu wa Ajira

    Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo kwa sasa imekumbwa na Wingi wa vijana ambao hawana Ajira hii inatokea kwa sababu ajira zilizopo ni chache na wasomi wanao tegemea ajira wao wakiwa wengi. Hivyo tatizo la ukosefu wa ajira ndipo linapo chipukizi. Sababu zinazo fanya kuwepo na vijana wengi...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya wanyonge: Bank charges vs kodi ya uzalendo ya Mama Samia

    Kweli serikali hii imekosa great thinkers wa kuisadia yaaani it does not make sense mfano natuma hela kwa mzee wangu Crdb million 4 nakatwa 11,800 arafu mjinga mmoja na akili za ajabu anakwambia kutuma million 4 kwa simu ni 15,000 or 21,500 Sasa hapo bado uliyemtumia hajaenda kutoa. Huu ni...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali imepandisha sana gharama za kutuma na kupokea hela kwa simu, ole wake mtu aniambie tuma na ya kutolea

    Pongezi kwa bunge la kijani la Mwendazake kwa kuyafanya maisha ya Mtanzania yawe magumu kila kukicha.
  19. JamiiForums Tanzania Serikali moja ya Dunia na chanjo ya COVID-19

    TAARIFA KWA UMMA wa na [emoji1621][emoji1241]Dr Lugendo Karibuni, SERIKALI MOJA YA DUNIA NA CHANJO YA COVID-19 Hii ni mada ndogo iliyo katika MADA kubwa isemayo “ KUNA NINI NYUMA YA CORONA ?” ndiyo tunayoendelea nayo. Hebu tutazame kidogo yanayoendelea ulimwenguni. Huko Marekani: “Juni 23...
  20. JamiiForums Tanzania Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

    KUMBUKA • Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa • Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako • Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…