serikali

  1. Serikali wafuatilie huduma za mitandao nyingi ni utapeli

    Kipindi cha nyuma kidogo nilijiunga huduma yao ya halo quiz mtandao wa halotel bila kuijui vizuri baada ya muda mrefu jan nikaweka salio ili nijiunge kifurushi natumiwa sms salio limekatwa basi nikaona hii huduma ngoj nijitoe Sasa kilichonileta hapa mpaka naandika uzi huu jana niliingia menu ya...
  2. SoC01 Muhimu Serikali kuunda Tume za kuzuia maafa ili ziwe mbadala wa tume za kuchunguza vyanzo vya maafa ambazo huundwa baada ya maafa kutokea

    Utangulizi Kumekuwepo na utokeaji wa maafa mbalimbali kama vile moto, ajali n.k ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa yakisababisha athari ambazo zinaathiri ustawi wa mtu mmoja mmoja na ustawi wa jamii kwa ujumla. Baadhi ya athari ambazo zimekuwa zikijitokeza ni pamoja na upotevu mkubwa wa nguvu...
  3. SoC01 Migogoro ya Wafugaji na Wakulima, kweli ni Donda ndugu lisilopona mbele ya Serikali na wasomi?

    Athari za Migogoro ya Wafugaji na Wakulima. Migogro hii imekuwa ikisababisha upotevu wa rasilimali kwa raia, jamii na serikali kwa ujumla, uharibifu wa mali, uhai wa raia na mifugo kwa ujumla. Kwa miaka mingi katika nchi yetu tumekuwa tukiishi na jamii za kifugaji (pastoralists) kama wamasai na...
  4. Mbunge Asia Halamga: Chanjo ya UVIKO-19 ni hiari, Serikali haiwezi kuumiza wananchi wake

    Leo Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mhe. Asia Halamga akiwa Mgeni Rasmi amefanya Uzinduzi wa Vijana Jogging Club Mkoa wa Kilimanjaro ambao una Kauli Mbiu "Amani Yetu, Maisha Yetu, Chukua Tahadhari Dhidi ya UVIKO-19" Akizungumza na Vijana mbalimbali waliojitokeza kwa wingi kushiriki uzinduzi huo...
  5. Wanasheria wetu waungane waipeleke Serikali Mahakani kwa kukiuka Nuremberg Code

    The Nuremberg Code ina vipengele vifuatavyo:-1 The voluntary consent of the human subject is absolutely essential. This means that the person involved should have legal capacity to give consent; should be so situated as to be able to exercise free power of choice, without the intervention of...
  6. Ombi: Serikali iangalie vizuri bei za mbolea zilizoongezeka hivi karibuni

    Husika na kichwa cha mada hapo juu Serikali yangu pendwa ya Tanzania na wahusika wa hili mimi kama mwananchi na mkulima wa nchi hii Tunaomba muangalie vizuri kwenye suala hili la mbolea kiukweli mbolea ipo juu sana na sio rafiki kwa mkulima huyu wa chini Na ukizingatia mazao yenyewe soko lake...
  7. K

    Hongera Serikali kurudisha Ikulu Dar Es Salaam, Sasa tunakula bata jijini

    Nachukua nafasi hii kuipongeza serikali kwa kuirudisha Ikulu Dar es Salaam kwa kipindi cha mwezi mzima sasa, ambapo shughuli zote kubwa za kiserikali tunazifanyia Dar es Salaam. Hili ni jambo zuri la kupongezwa kwani hata sisi wasaidizi tunakula posho nzitonzito kwa kukaa Dar. Asante sana...
  8. D

    Serikali iboreshe sheria ya Ndoa za Kikristu ili ziruhusu talaka kuepusha mauaji na fumanizi

    Serikali ilitazame hili kwa jicho la dharula! ndoa nyingi sana zimekuwa chanzo kikuu cha mauaji! Ukipitia mafaili na report za kipolisi asilimia kubwa ya mauaji ya kimapenzi ni ndoa za kikristo! Swali: Kwanini za Kikristo ndiyo zinaongoza! Jibu: Ni kwasababu serikali haikutoa utaratibu...
  9. K

    Naishukuru Serikali kwa chanjo ya Corona

    Hii ndiyo kazi kweli ya Serikali na nitoe pongezi sana kwa Rais Samia kwa kujali Watanzania kwanza. Wazee wangu na ndugu zangu wamepata chanjo ya covid 19. Nashukuru imetutoa wasiwasi hasa kwa wazazi wetu ambao wapo 70’s. Najua kuna mengi tunalaumu Serikali lakini tunashukuru sasa sana kwa...
  10. Serikali ya Tanzania na viongozi wote mnashusha elimu ya Tanzania

    Chuo cha UDSM ambacho ndio cha kwanza hapa Tanzania kwa ubora wa elimu kimeshika nafasi ya 42 kati ya vyuo vyote vya Afrika. Kama UDSM kimeshika nafasi ya 42 kiafrika na ndio cha kwanza kwenye ubora Tanzania. Vyuo vinavyobakia hata kwenye list havimo. Havimo kabisa. Hivyo ni dhahiri elimu...
  11. Asante Rais Samia: Serikali imeanza kuukumbuka Mkoa wa Mbeya

    Mkoa wa Mbeya wakati huo ukijulikana kama one of The Big Four kw kilimo cha achakula kwa nchi nzima, ulikuwa umetekelezwa katika msimu mzima wa Awamu ya Tano. Kulikuwa hakuza siara za Mawaziri au matukio ya Kiserikali, na hakuna wateuliwa kwa viwango vya Kanda ya Ziwa, tofauti na ilivyokuwa kwa...
  12. Kwenye hili la Mbowe, vyombo vya Dola mmeitwisha zigo Serikali. Hivi hamjui nini?

    Bado tunalia sana na weledi wa vyombo vyetu vya Dola hasa jeshi la polisi na TIS. Tunajua kua lengo kuu la kumsumbua Freeman Mbowe si kesi ya Ugaidi wala uhujumu uchumi, lengo kuu ni kuzima Mjadala wa katiba Mpya. Kwenye hili weledi umekosekana na mmeitwisha serikali mzigo utakaoisumbua sana na...
  13. I

    Serikali ikubali uraia pacha na kutoa likizo ya kodi kwa wawekezaji wazawa ili kuchochea ajira

    Nchi yetu imebarikiwa maji, ardhi yenye rutuba, watu wenye afya, Rasilimali lukuki lakini 60% ya raia wanaishi katika umasikini wa kutupwa. Kitu kinachowashinda wengi ni mitaji ya kuanzisha biashara. Hili si tatizo kubwa kama tukiwashirikisha diaspora. Diaspora anaweza kupata mtaji wa...
  14. L

    Serikali tupieni macho hospitali ya Machame inatoza shilingi 6000 wanaochangia damu

    Habari ndugu zangu. Kuna hii hospitali inayoitwa Machame hospitali, nimewahi kuwa na mgonjwa wangu pale siku chache zilizopita. Ilifikia wakati akahitajika kuongezewa damu. Tulijitokeza ndugu kadhaa kutaka kuchangia damu lakini tuliambiwa pamoja na kutaka kuchangia damu inatubidi tulipie...
  15. Ili kuelewesha lengo la tozo za miamala kwa wananchi, Serikali iandae miradi ya mfano kisha itangazwe

    Watanzania, au watu wengine huelewa kwa kuona kuliko kuambiwa. Mtu akiona kitu,kinalainisha moyo wake na anabadilika kimsimamo na kuelewa,kisha kutetea kwa nguvu alichokielewa. Ili wananchi waelewe serikali ina maanisha kuhusu tozo za miamala,nashauri jambo moja. Serikali iandae miradi ya...
  16. UK: Serikali kutumia kumbi za starehe kuhamasisha vijana kujitokeza kupata chanjo

    Kama jitihada mojawapo ya Serikali kuongeza kasi ya utoaji Chanjo, Vijana wameambiwa wasikubali kupitwa na wakati mzuri ikiwemo uhuru wa kwenda klabu na kusafiri kwa kujitokeza na kupata dozi zote za Chanjo dhidi ya COVID-19. Hatua hiyo inakuja wakati ambapo kuna harakati za klabu kuhamasisha...
  17. Vijana wasomi toka familia maskini hupata sana kesi za ubadhirifu na kuishia pabaya. Wazazi, serikali na jamii ni ya kulaumiwa

    VIJANA WASOMI TOKA FAMILIA MASKINI HUPATA SANA KESI ZA UBADHIRIFU NA KUISHIA PABAYA... WAZAZI, SERIKALI NA JAMII NI YA KULAUMIWA. Nawasalimu nyote kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.... leo nimeamua kuandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa mno nafsini mwangu. Ni suala linalotuhusu vijana wa...
  18. Nani anapanga tozo za tunazolipa Serikali za mitaa?

    Wakuu naomba kuelimishwa hapa. Anayepanga hizi tozo tunazolipa Serikali ya mitaa ni nani? hasa Kinondoni. tozo kama Garbage fee collection, Ulinzi shirikishi. Nani anapanga kiwango na je hwa jamaa wapo chini ya nani? who regulate them.
  19. J

    Serikali yashangaa gesi ya kupikia kupanda bei, yataka viwanda vieleze sababu ya ongezeko hilo

    Serikali imesema viwanda vya gesi ya kupikia havijafata utaratibu katika kupandisha bei hivyo bei mpya hazitambuliki. Afisa wa Ewura mr Kaguo amesema viwanda vya gesi vimetakiwa vipeleke vigezo vya kupandisha bei na serikali ama itavibariki na kukubali bei mpya ama itavikataa kama havijitoshelezi.
  20. Ni wakati sasa Serikali ianzishe sheria na elimu kuzuia kutupa taka hovyo

    Utupaji wa taka hovyo ni changamoto za utunzaji wa mazingira, Serikali na wadau mbali mbali wanaweza kutoa elimu juu ya utunzaji wa mazingira. Kuanzisha sheria itakayopinga utupaji wa taka hovyo, Kutengeneza dustbin kubwa na kuziweka kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu kisha zikijaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…