The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,140
- 116,065
Serikali kupitia taasisi zake walisimamia zoezi la Simba kupata mwekezaji ambae inasemekana alitoa bilioni 20 kununua asilimia 49 ya hisa za Simba...
Sasa Simba inaporudi kuchangisha wanachama wakati kila kitu cha Simba kinamilikiwa kwa asilimia 49 na huyo mwekezaji...je wanachama wanamchangia mwekezaji??
Hisa zake zikiongezeka thamani anaefaidika ni nani??He kesho akiuza hizo hisa kww mtu mwingine kwa bei mara 2 au 3 ?Simba inafaidika vipi?
Hii michango inaongeza vipi thamani ya hisa za Simba?Msimamiz ambae ni serikali Yuko wapi?..kama Mwekezaji anatoa bilioni 2 Tu na Wana Simba wanachanga kufikisha hizo bilioni 28 za Uwanja..
He bado mwekezaji atakuwa na asilimia 49?.
Kuna umuhimu kwa wasimamizi kutoa ufafanuzi..