serikali

  1. Serikali hamishieni kesi ya Lissu hukohuko Gerezani Ukonga ijulikane moja

    Mimi si mpenzi wa mropokaji Lissu. Si mpenzi wa CHADEMA. Lakini haki ina misingi yake ya uwazi na ukweli. Sasa tunaambiwa: -mashahidi wa serikali ni siri ya Tsifa - utangazaji wa kesi sasa ni siri -ushuhudiaji wa kesi ni wa vikwazo vingi Kero ya vyombo vya ulinzi na usalama eneo lote la Upenga...
  2. A

    KERO Shule ya Msingi Ndoleleji ina miundombinu iliyochakaa na Walimu wasiowiana na idadi ya Wanafunzi

    Hii ni Shule ya Msingi NDOLELEJI iliyopo Wilaya ya ITILIMA, Mkoa wa SIMIYU, Shule ina Walimu 12 ikiwa na Wanafunzi takribani 1,500 ambapo madarasa mengi wanasomea nje. Upungufu wa Vyumba vya Madarasa ni mkubwa mno katika shule hii, kwani vyumba vilivyopo vyopo vyote vimechakaa. Naomba ujumbe...
  3. Ni kiongozi gani wa serikali ya GHANA alitakiwa mpaka muda huu awe jela?

    ina maana ile serikali ya GHANA wote waliomo mle ndani ni wote watakatifu?
  4. E

    Hakimu ana njama na Serikali kwenye kesi ya Lissu?

    Ni mjinga au anataka kutufanya wafuatiliaji wa Kesi kua Wajinga? Ndilo swali nimejiuliza kwa siku kama tano zilizopita. Inawezekanaje kila Tundu Lissu anapotoa hoja zenye mashiko hatoi maamuzi palepale mpaka akaelekezwe, kwanini hajiamini? Amepewa au kuahidiwa nini? Nasasa alitueleza kua...
  5. Hii video inazungumzia vizuri kuhusu Serikali hii

    Ni hayo tu!
  6. Nitaidharau sana Serikali yoyote ile duniani ambayo inapewa 'Ultimatum' na Raia tu wa kawaida au Kikaragosi yoyote mwenye Ushawishi katika Jamii

    Serikali lazima itishe na kamwe isikubali kupewa Masharti na Raia au Kikaragosi. Serikali ya aina hii GENTAMYCNE nitaipenda sana tu. Tangia lini hata katika Ngazi za Familia Mtoto au Mtu wa Nje ya Familia akampa Masharti Baba mwenye Nyumba? Kama kuna Serikali yoyote ile duniani imepewa Masharti...
  7. H

    Maombi ya Serikali Kuweka Mikakati Madhubuti dhidi ya Unyanyasaji wa Wafanyakazi – Sektar Binafsi*

    Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha malalamiko na ushauri kuhusu hali halisi ya wafanyakazi wengi hususan katika sekta binafsi hapa nchini. Wapo Watanzania wengi wanaofanya kazi mashuleni, viwandani, hotelini, mashirika ya kimataifa...
  8. Kwanini serikali ya awamu ya sita haisikilizi kabisa maoni ya wananchi?

    Sijajua kuhusu awamu ya kwanza lakini awamu ya pili ya rais Mwinyi, awamu ya tatu ya Mkapa na awamu ya nne ya Jakaya Kikwete ziliundwa tume za kutosha ili kujibu na kutolea ufafanuzi masuala mbalimbali ya kijamii na mengine kuyaondoa katika utekelezaji ikiwa jamii ilionekana kutoyaunga mkono...
  9. Serikali ya Samia kumbe iliwafunga Kimyakimya Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Gerezani Kwa sababu tu Walihamasisha Ndugu zao wasikubali kuhamishwa

    Wakuu huyu mama ni Katili sana haijapata Kutokea !!. Kumbe Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Eneo la Ngorongoro, walikamatwa Kwa Nyakati tofauti tofauti majira ya Usiku, na Kusafirishwa kimya kimya mpaka Gereza la Kisongo Arusha ambapo walikaa Jela hiyo Kwa miezi zaidi ya Sita. Yaani ni...
  10. Serikali mpeni ulinzi wa kutosha Nassoro Katuga, sahivi amekimbia hadi social media zake

    Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu. Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike, Hadi kwao kabisa...
  11. S

    Swalii gumu alilouliza Gwajima: Serikali ya Samia imefungia Imani au imefungia Kanisa la Ufufuo?

    Waumini wa Kanisa la Ufufuo na uzima wamefanya jitihada mbalimbali za kutafuta majengo na mabanda mbadala ili waweze kuendelea kuabudu, lkn kote huko wamefurushwa. Wamefurushwa ktk maeneo 7 tofauti.. Ndipo sasa Gwajima anaulliza serikalini ya Samia imefungia imanii ya waumini hao ama imefungia...
  12. TBC Taifa (Radio na Televisheni) na magazeti ya serikali kuonesha kwa usawa habari za vyama vyote vya siasa

    Kila baada ya miaka 5 Katiba ya JMT inaeleza kufanyika kwa uchaguzi mkuu hapa nchini ambapo wananchi huchagua Rais, wabunge na Madiwani. Katiba hiyohiyo pia imeelekeza uchaguzi mdogo kufanyika ndani ya kipindi kitachotangazwa na tume ya uchaguzi mara baada ya nafasi ya ugombea kuwa wazi...
  13. M

    Serikali ya CCM na Uhamiaji miaka 60 ya Uhuru wanashindwa kutengeneza passport , bila shaka hatuwezi kupata maendeleo CCM ikiendelea kuwa madarakani

    Wadau, Ni msiba mzito kwa Tanzania kuwa CCM priority yake ni kupambana kuendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ikiwemo kupokea pesa chafu kutoka kwa watu ambao wakati mwingine inawaita mafisadi, kuua, kuteka na kulawiti wale wanaopingana nayo kwa hoja , yote hayo inaweza kuyafanya...
  14. Serikali ikanushe taarifa za taharuki kuhusu mkurugenzi wetu wa idara ya Usalama wa Taifa

    Huko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu. By Ponjoro wa Kinondoni Kwasasa safarini kizimkazi.
  15. GE2025 Askofu Gwajima sisi Wakatoliki wala hatujakutuma Utuongelee na Utujumuishe katika Matatizo yako ya Serikali, Rais Samia na CCM

    Kwa kifupi tu ni kwamba ulichokifanya Jana ni Akili ya Kitoto na Kipuuzi ya kutaka sasa Kuliingiza Kanisa Katoliki katika Sakata lako na Utawala wa sasa nchini. Baada ya kuona huungwi mkono na Makanisa kwa kujifanya una Akili (wakati huna) ukatafuta Kanisa lililo na Ushawishi na Kubwa la...
  16. Usumbufu wa paka mpaka kwenye kitimoto, serikali shughulikieni

    Serikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar ili kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
  17. Wasilisho kutoka kwa wataalam wa haki za binadamu - Umoja wa Kimataifa kwa Serikali ya Tanzania

    Hili ni wasilisho lenye maswali magumu yanayohitaji maelezo ya kiina kuhusu kukamatwa, kutekwa na kuteswa kwa @bonifacemwangi na Agather Atuhaire @un_sp_experts kupitia @unhrcommittee wanahitaji majibu kuhusu yafuatayo:(nimetafsriri) 👇🏾👇🏾 1. Tafadhali toa maelezo yoyote ya ziada na/au maoni)...
  18. Luhaga Mpina: Kuna mikataba 43 ya Ubia Serikali imesaini bila kuipitisha Bungeni

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina anasema ‘’sasa hivi tuna mikatakata 43 iliyoingiwa na serikali bila kuambiwa Bunge na kama halijaambiwa Bunge, hawajaambiwa wananchi’’
  19. Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku "Shule nyumba"

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku shule ambazo zilo ndani ya nyumba (skuli nyumba) na kuwataka wamiliki kujenga majengo yanayokidhi utoaji wa huduma kwa wanafunzi wao Akizungumza na Walimu katika Mkutano Mkuu wa tisa wa Chama cha Walimu Zanzibar (ZATU) katika Ukumbi wa Taasisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…