serikali

  1. JamiiForums Tanzania Mgodi wa North Mara imeleta maafa Ziwa Victoria tena, Serikali inajiuma uma tu kwa kamati feki

    Hili siyo tatizo jipya! Linathibitisha uzembe wa serikali ya CCM. Wakati mh. Sitta akiwa Spika na mama Makinda naibu wake, uchunguzi wa aina hii ulifanyika, lakini ajabu kabisa hata Sitta alikuwa analazimiasha ionekane hakuna tatizo la mgodi. Ni wazi kwamba North Mara Gold mine ltd wanatumia...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Viongozi wa ACT-Wazalendo ndani ya SUK hutumia Ilani ya CCM kuendesha serikali.

    Waziri wa Afya Nassor Mazrui (ACT-Wazalendo) akimkabidhi ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Riziki Pembe Juma (CCM) wakati wa makabidhiano ya ofisi. Awali Mazrui alikuwa waziri wa Afya Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto. ================...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya Sita, inaunga mkono jitihada za kukiendeleza Kiswahili

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tannzania inathamini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili duniani na kuifanya lugha hiyo kuwa yenye hadhi. Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais wa Jumhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango wakati wa ufunguzi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Katavi: Serikali waombwa kuingilia kati mgogoro wa ardhi, wadai wawekezaji wamepewa kinyume na utaratibu wa sheria

    BAADH ya wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wameiomba Serikali ya Mkoa huo kuingilia kati mgogoro wa ardhi wa zaidi ya hekali 40 zilizopo katika Kitongoji cha Jelemanga "A" na "D"kijini cha Milala. Mgogoro huo uliodumu muda mrefu unatokana na baadhi ya wananchi kudai kuchukuliwa...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali imejipanga Vipi kuwahesabu Watoto wa Mitaani siku ya Sensa?

    Salaam Wakuu, Napenda kujua ni namna gani Serikali imejipanga kuwajumlisha Watoto wa Mtaani kwenye Sensa ya Taifa ili na wao wapate nafasi ya kuhudumiwa kama watu wengine. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepanga kufanya Sensa ya Watu na Makazi ifikapo mwezi Agosti 2022. Wizara ya...
  6. JamiiForums Tanzania Madai ya sumu Mto Mara kutoka migodini, wananchi wazuiwa kutumia maji, kula samaki, uvuvi, Serikali yatoa tamko

    Sakata la maji ya Mto Mara kubadilika rangi huku Samaki wakifa ikielezwa kuwa kuna kemikali za sumu limechukua sura mpya baada ya malaka husika kutoa kuhusu kinachoendelea. Maji hayo yamebadilika rangi na kuwa meusi huku wakazi wanaoishi katika vijiji vilivyopo kandokando ya Mto Mara wakiwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Polisi na TRA ni Taasisi mbili za Serikali ya Tanzania ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote

    Hapa nchini kwetu Tanzania, kuna taasisi mbili za serikali ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote. Yaani taasisi hizi zingekuwa ni wanadamu nikaona wanaelekea kutumbukia katika shimo hatari na nisipowatahadharisha watakufa, ningekaa kimya ili wapotelee mbali. 1. Jeshi la Polisi Tanzania 2...
  8. JamiiForums Tanzania Uingereza: Serikali kuwalipa watakaowapa makazi wananchi wa Ukraine

    Raia wa Uingereza watakaoruhusu Wananchi wanaokimbia mapigano Nchini Ukraine kukaa nyumbani kwao au kuwapa eneo kwa kipindi kisichopungua miezi sita watalipwa Paundi 350 kwa mwezi Hatua hiyo ya Serikali ni jaribio la kupunguza hasira zilizopo kuhusu namna inavyoshughulikia mzozo wa Wakimbizi...
  9. JamiiForums Tanzania Lissu: Rais Samia akiniteua katika Serikali yake atakuwa hanipendi

    Akihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi. Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Tatizo sio Polisi bali Serikali

    Wasalaam. Nimesikitishwa na maamuzi ya kamati kuu ya ccm kutaka jeshi la police lichunguzwe kwa sababu eti wananchi wamepoteza imani nalo. Najiuliza hivi kweli serikali ya ccm haijui matatizo ya jeshi lao sikivu na tiifu kwao? Hivi kweli serikali ya CCM haijui kwanini tumefika hapa? Jeshi la...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ikikupendeza tunaomba uwateue hawa wapinzani katika Serikali yako

    Mh Rais, ningependa kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ama baada ya salamu, Mh Rais ikikupendeza tunaomba umteue Mbowe kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, huku Zitto Kabwe ukimpa mkoa wa Kigoma. Najua rais hapangiwi ila huu ni ushauri wangu tu kwako mama yetu, kwa lengo la...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya 6 kuanza kuwapa wafungwa mitaji. Hii ndio "legacy" itakayoishi daima

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Kuelekea kuadhimisha mwaka mmoja wa Rais Samia S. Hassan, nimekutana na hii habari iliyonikosha sana. Kwamba Serikali ya mama itaanza kutoa motisha na mitaji ya fedha na vifaa kwa wafungwa wanaomaliza vifungo vyao. Kwa kuanzia wataanza na gereza kuu la mkoa wa...
  13. JamiiForums Tanzania Tarehe 17.3.2025 inakaribia, watanzanisa tunasubiri kauli ya serikali kuhusu mpendwa wetu,

    Watanzania tulio wengi mamia kwa maelefu tunasubiri kauli ya serikali kuhusu nini kifanyike tar 17.3.2022 atakuwa katimiza mwaka mmoja tangu tuondokewe na mpendwa wetu Magufuli Ikiwezekana tuazimishe siku hiyo kwa mapumziko na tuazimishe kwa kuwa kuwatembelea wamachinga na kuwajengea uwezo...
  14. JamiiForums Tanzania Mchungaji aliyedai kuvunjiwa Kanisa Zanzibar afunguka. Serikali yatangaza kumsaka, yasema ni nyumba siyo Kanisa

    Siku chache tangu kuripotiwa kwa taarifa za kuvunjwa kwa Kanisa la T.A.G lililopo Sebleni, Unguja ripoti kamili ya kilichotokea imetolewa kutoka upande wa kanisa pamoja na upande wa Serikali ya Zanzibar. Mchungaji wa kanisa hilo linaloelezwa kuwa limevunjwa, David Victor Suna amefunguka...
  15. JamiiForums Tanzania Mifumo mibovu ya Kodi ndio inafanya Serikali kukosa mapato na watu kukwepa Kodi

    Siku zote serikali inabidi kukaa na wananchi wake kupata mawazo mazuri ambayo kila mtu yata mgusa. Mifumo ya kodi kwa nchi yetu ni mingi na ina msululu usio kuwa na sababu ukimuumiza mtu wa mwisho. Huu ni moja wa mfano tosha: - Unapopanga fremu ya kufanya biashara TRA wanataka kujua mkataba...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania sio masikini

    Magari aina ya V8 yapo kila taasisi ya serikali 1. Wakuu wa taasisi zote na wasaidizi wao V8 2. Wakuu wa vyuo hadi wakuu wa idara ndani ya vyuo V8 3. Wakurugenzi wa halmashauri V8 4. Hospital za mkoa na wilaya V8 5. Wakuu wa wilaya V8 6. Wakuu wa mikoa V8 Hadi taasisi ya nyuki na bodi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali, lini kituo cha Daladala Kawe kitafanyiwa ukarabati?

    Kawe ni sehemu yenye wakazi wengi na pia eneo hilo hutumiwa na watu wanaosafiri kutoka sehemu mbalimbali kwa katika kusaka riziki zao. Cha kusikitisha, Kawe haina kituo cha daladala cha kueleweka. Kwa sasa magari husimama pembezoni mwa uwanja wa Tanganyika Packers, sijui kama ndio eneo sahihi...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali isaidie kurudisha mali zilizoporwa na viongozi walipokuwa madarakani

    Hakuna ubishi kila mtu anajua kilichotokea kipindi cha awamu ya tano kwa vijana wafuatao. 1. Bashite 2. Sabaya 3. Gambo 4. Mnyeti 5. Chalamila na wengine kama kina Ally Hapi though huyo sina uhakika sana. Wengi waliishi kwa kupora mali za watu. Serikali ikisema itangaze wajitokeze watajaa...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Serikali kila siku inapewa pesa kuboresha elimu. Kwanini haiajiri walimu?

    Leo hii Serikali imepewa euro mil 25 lakini walimu bado wako vilevile as if hakuna uhitaji. Ubelgiji imetoa euro mil 25 purposely kwa ajiri ya elimu. Ningetarajia Serikali iajiri walimu wawe wengi hata ikiajiri walimu laki moja kwa mkupuo hakuna shida.
  20. JamiiForums Tanzania Mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich awekewa vikwazo na Uingereza

    Tajiri wa Urusi, Mmiliki wa Club ya Chelsea awekewa vikwazo, vikwazo hivyo vinahusu mali zote zilizo UK na Club ya Chelsea yahusika Uuzwaji wa Chelsea umesitishwa kwa muda. Chelsea haitaruhusiwa kuuza, kununua wachezaji. Chelsea haitaruhusiwa kuongeza mikataba ya wachezaji waliopo. Chelsea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…