serikali

  1. JamiiForums Tanzania Siku ile Serikali inatangaza kuongeza mshahara walisema wanaongeza 23.3% kwa kima cha chini

    Uhuru wa kuongea ukizidi sana unachafua hali ya hewa. Serikali ilisema itaongeza mshahara kwa 23.3% kwa kima cha chini na hao watumishi wa kima cha chini wote wamepata hiyo 23.3% sasa shida ipo wapi? Yani serikali inashindwa kusimamia msimamo wake inabaki ujiumauma tu Mara vikao sijui Mara...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nani Muongo kati ya Msemaji wa Serikali na Rais wa TUCTA?

    Nani anaundanganya Umma wa Tanzania au Watumishi wa umma wa nchi hii? Msemaji wa serikali anasema wamewapa viongozi wa TUCTA muda wakajadiliane. Wakati huo huo Rais wa TUCTA anasema wameipa serikali muda ije na majibu kwanini nyongeza ya mshahara imekuwa tofauti. Kwa vyovyote vile kati ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali iache kutumia walimu kwenye zoezi la Uchaguzi Mkuu

    Ni wakati muafaka Sasa walimu waachwe wapumzike na mazoezi haya kama ilivyo kwenye sensa, post code na mazoezi mengine ya kitaifa serikali itumie Hawa vijana wasio na ajira ili kuinua vipato vyao. Tuache kuwatumia walimu kwenye uchaguzi Tutumie Hawa vijana wasio na ajira. Mwisho.
  4. JamiiForums Tanzania Sakata la nyongeza ya 23.3% ya mishahara ya watumishi wa umma: TUCTA na serikali wanajadiliana nini katika hatua hii?

    Msemaji wa serikali ndg Gerson Msigwa akitoa mrejesho wa kinachoitwa kikao cha serikali na TUCTA leo tarehe 26/7/2022 Lugha gongana. Msemaji wa serikali anasema hivi, TUCTA wanasema vile. Ni kama kuna kurushiana mpira. Gerson Msigwa anaongea kana kwamba TUCTA ndiyo mwajiri na mlipa mshahara...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema imewapa muda TUCTA wakajadiliane kuhusu mishahara mipya, na TUCTA wasema wameipa muda serikali

    Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema wameipa TUCTA muda wakajadiliane kuhusu mishahara mipya kisha walete mapendekezo yao serikalini. Naye Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya amesema TUCTA wameipa muda Serikali ikaje na ufafanuzi juu mishahara kuwa pungufu ya Kima kilichoahidiwa. Rais...
  6. JamiiForums Tanzania Kero: RITA mna matatizo gani?

    Habari wana JF, Naandika uzi huu ili kuelezea kero zangu na wengine wengi kuhusu RITA kama kuna wahusika humu walifanyie kazi. Natoa kero hizi leo Tarehe 26-Julai-2022 1. Kero ya Kwanza: Namba ya Huduma kwa wateja ni BUTU. Namba ya Huduma kwa wateja ya RITA haifanyi kazi, yaani ukipiga...
  7. JamiiForums Tanzania Taasisi za Serikali zisizopokea simu za Huduma kwa Wateja…

    Kuna 1. COSOTA 2. TRA 3........
  8. JamiiForums Tanzania Haji Manara popote ulipo au ukisaidiwa na Yanga SC Wenzako mkinijibu haya Maswali yangu Muhimu nitashukuru

    " Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports Headquarters mwaka 2021. Baada ya Nukuu ( Kumbukizi ) hii sasa Maswali Kuntu ya GENTAMYCINE...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Leo ndiyo ufafanuzi wa Serikali kuhusu nyongeza ya 23% ya mwezi Julai, 2022

    Leo ndiyo ufafanuzi wa serikali kuhusu 23% ya mwezi July nangoja nione watasema nini maana nilikuwa na tumaini na mama anatulea kumbe mama naye katuchoka mapema. Mungu tusimamie watumishi kikombe kigumu kwetu[emoji120]
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mliokaririshwa uongo kuwa mishahara ya walimu ni midogo kuliko watumishi wengine wa serikali, nawaanikia hapa

    Jamii ya watanzania wanavyoelewa ni kwamba kazi ya ualimu ndiyo yenye mshahara mdogo kuliko kazi zingine zote. Hivyo hii imepelekea hadhi ya mwalimu kwenye jamii kushuka sana na mwalimu kuhesabika kuwa ni duni katika jamii. Lakini hii si kweli hata kidogo. Msichana akitaka kuchumbiwa na mwalimu...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza kufumuliwa kwa safu ya utendaji ya MSD kufikia Septemba 30

    Waziri wa Afya nchini, Ummy Mwalimu ameipa bodi mpya ya wadhamini ya Bohari ya Dawa (MSD)hadi ifikapo September 30 bohari hiyo iwe imebadilishwa kiutendaji na kurudishwa kwa mifumo ya tehama iliyosaidia kudhibiti mianya ya ubadhirifu ndani ya taasisi hiyo. “Tumeondoa wale wakuu wa Idara lakini...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini leo mabenki yote ya biashara Tanzania hayataki kuikopesha Serikali kama ilivyokuwa wakati Hayati Rais Magufuli?

    Sikiliza hii kwa makini mpaka mwisho Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali kwake wanyonge imeendelea na jitihada zake za kuwapunguzia riba wakopaji wadogo wakati na wakubwa (MSEs, SMEs & Cooperate) Akihojiwa na kituo cha Utangazaji cha E-FM redio, Mkuu wa Mkoa Simiyu Mhe David...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kawaida Serikali kuwasaidia wananchi wake hali ya maisha inapokuwa ngumu

    Katika hii picha ni mabox ya Gumment Cheese yaliyogaiwa na serikali za Magharibi kwa wananfunzi ili wapeleke nyumbani kwao. Hii ilitokea baada ya WWII, hali ya uchumi ilikua ngumu sana. Pamoja na cheese pia wananchi wapigaiwa peanut butter, na nyama za makopo. Misaada hii ililegwa kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU WAHESHIMIWE: Kila anayeilaumu serikali kuhusu nyongeza ya mshahara anabambikizwa kuwa mwalimu, tabia hii ikome!

    Walimu wanabezwa sana, hii siyo sawa! Kila anayelalamika anabambikizwa kuwa mwalimu kana kwamba ualimu ni kazi ya kudharauliwa! Sisemi kuwa walimu hawajalalamikia hii nyongeza ya ajabu ajabu ya mshahara, ila siyo kweli kuwa watumishi wengine hawalalamiki. Tunajenga taswira kuwa ualimu ni kazi...
  15. JamiiForums Tanzania Mbowe anajadiliana na serikali namna anaweza kufidiwa hasara zake na serikali alizozosababishiwa na Anko. Ya kitaifa yanaitaji kusukumwa mwingine tu.

    Baada ya hasara ya kuporwa jengo kibabe ukumbi wa mziki, kuharibiwa mashamba, kufungiwa account zake. Kufunguliwa mashitaka na kubaki hoi. Mambo ya haki za watu kama maswala ya Arthi, Migogoro ya wafugaji, ukosefu wa Ajira, Wabunge vitimaalumu, haki za watumishi, Sera za kiuchumi, mfumuko wa...
  16. JamiiForums Tanzania Sintofahamu Nyongeza ya Mishahara: Serikali Kukutana na TUCTA 26/07/2022

    Serikali kupitia ukurasa wa Twitter wa Msemaji Mkuu wa Serikali imesema itakutana na viongozi wa TUCTA kuhusu suala la nyongeza ya mishahara. Taarifa hiyo imesema hivi: Ndugu wafanyakazi, Jumanne tarehe 26 Julai, 2022 Serikali itakutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA)...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara Midogo Serikalini: Serikali iingie makubaliano na taasisi za fedha watumishi wakope kupitia posho na pia sheria ya moja ya tatu itazamwe upy

    Ukweli ni kwamba, kwa miaka mingi mishahara serikalini imekuwa duni na bahati mbaya zaidi, uwezo wa serikali kuongeza mishahara sasa unaonekana kushuka na bila shaka sababu kubwa ni serikali kuwa na miradi mikubwa na ya gharama pasipo kuwa na vyanzo vya uhakika (hawakujipanga). Hivyo, kutokana...
  18. JamiiForums Tanzania Kauli ya serikali kuhusiana na Ongezeko la mshahara

  19. JamiiForums Tanzania Tucta na Serikali lao Moja, wafanyakazi msitegemee jipya

    Hatimaye baada ya lile jambo kugeuka 'kijambo' Raisi wa TUCTA , Ndg Tumaini, alijirekodi kwenye video fupi akisema hata yeye amepigwa na butwaa na hajui kitu Gani kimetokea! Kumbuka baada ya Mei Mosi huyu Rais wa TUCTA akihojiwa na Gazeti la mwananchi alisema 'wao' wanajua kiasi kilichoongezeka...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Tunamuomba Serikali yetu isiyumbishwe na kelele za watumishi

    Tunamuomba Mhe. Rais asiyumbishwe na kelele za baadhi ya wanao jiita watumishi wa umma juu ya nyongeza ya mshahara wanayo sema ni ndogo. 1. Uchunguzi unabaini kuwa baadhi ya watumishi wanatumiwa na baadhi ya wanasiasa kudhihaki na kukejeli nyongeza iliyo tolewa. 2. Wanasiasa wenye uchu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…