serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ipambane na suala la afya ya akili kwa Watanzania kabla ya kufanya mambo mengine makubwa.

    Hamjambo humu ndani? Tatizo la upungufu wa akili miongoni mwa wanajamii ya Kitanzania limekuwa kubwa sana. Vijana kwa wazee. Serikali iboreshe lishe kwa jamii hali ngumu. Nguvu kazi hasa vijana wana ukosefu wa akili na wengine wana upungufu wa akili kichwani. Vijana wa nchi hii wasomi kwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tozo zinalemaza serikali kubuni miradi mipya

    Habari za muda huu Wana Jamvi, Kutokana na Hali hii inayo endelea ambapo Kila kunapo kuchwa serikali yetu inakuja na TOZO mpya za Kila kitu hii inapelekea serikali kuji sahau na kumuumiza mwananchi. Kwa Sasa siyo Tena makato ya simu Hadi tulipo kimbilia benk Hali ni hiyo hiyo Serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali inathamini wananchi wake, mfano ni Wanamsomera

    Miaka ya 1970 wananchi walihama kutoka sehemu moja hadi nyingine ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii. Sasa wananchi wanatoka Ngorongoro kwenda Msomera kwenye huduma bora za kijamii zilizowekwa na Serikali ya Awamu ya 6. Wanapohamia Msomera wanaenda kuwa maisha bora na kupata...
  4. JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Karibuni tupunguze ukubwa wa Serikali

    Habari wandugu. Kwa sasa na maisha na uchumi wa dunia ni mgumu sana. Kila mtu anatakiwa kujibana. Hivyo na Serikali nayo inatakiwa kujibana. Ili kupunguza matumizi, inahitajika ukubwa wa serikali nao upungue. Leta maoni juu ya namna ya kupunguza ukubwa wa serikali. Mimi maoni yangu. 1. Cheo...
  5. JamiiForums Tanzania Kilosa: Serikali yakabidhi mashamba 11 yaliyoshindwa kuendelezwa kwa Wananchi

    RIDHIWANI AKABIDHI MASHAMBA 11 YALIYOSHINDWA ENDELEZWA KWA WANANCHI KILOSA KWA NIABA YA RAIS SAMIA ,ASISITIZA YATUMIKE KWA AJILI YA KILIMO. Na Mwandishi wetu... Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Ridhiwani Kikwete amewahimiza viongozi wa Wilaya ya Kilosa kusimamia...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali inapunguza tozo za miamala wakati tumeshazizoea?☹️☹️

    Nasikitika sana kuona punguzo la tozo kwenye miamala ya simu. Hii tozo tuna mwaka mmoja naa... Tumekomaa nazo na maisha yanasonga. Burundi hatujaenda na kwa sasa tunazimudu kwanini serikali inazipunguza? Wote tumeona faida ya tozo,au miradiya tozo imekamilika? Kwa sasa eti ukitoa 100k unakatwa...
  7. JamiiForums Tanzania Shaka: Ni marufuku kwa hospitali za Serikali kumtoza Mama mjamzito kiasi chochote cha fedha wakati, kabla na baada ya kujifungua

    SHAKA "TUSIWATOZE FEDHA WAJAWAZITO" Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewataka watoa huduma kote nchini kuacha kuwatoza fedha wanawake wajawazito wakati wa kliniki na wanapofika kujifungua. Shaka ametoa maelekezo hayo akiwa Jimbo la Bukene...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Biashara nje ya uwanja wa Mwamposa ina baraka ya serikali?

    Wakuu mpo njema? Swali langu ni kuhusu wafanyabiashara ambao wameweka kambi kwenye kituo cha daladala pale Kawe karibu na anapofanyia mikutano Mwamposa. Sasa hivi sehemu ile imejaa wafanya biashara wadogo (machinga) na mama ntilie wa kutosha. Mazingira ya hapo kweli hayaridhishi, ukiangalia...
  9. JamiiForums Tanzania Tunaomba taasisi za Serikali waweke namba zinazopatikana kwenye mtandao

    Tunaomba taasisi za Serikali waweke namba zinazopatikana kwenye mtandao. Kimsingi ni vigumu kupata mawasiliano kwa kutumia namba za simu zilizoko kwenye mtandao kwani nyingi ya namba hizo hazipatikani kwa sababu tofauti tofauti (ni mbovu, hazijalipiwa au hazitumiki tena) nk. Baadhi ya watu...
  10. JamiiForums Tanzania Kilio Miamala ya Benki chatikisa nchi

    Tozo zilizoanza kukatwa kwenye miamala ya kifedha kupitia benki zimetajwa kuongeza makali ya ugumu wa maisha kwa watumiaji wa huduma husika. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba kupitia gazeti la Serikali No.478 lililochapishwa Julai Mosi mwaka huu, alitangaza kuanza utekelezaji wa kodi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Tozo za miamala zimekuwa kero kwa wananchi, serikali imeshupaza shingo

    Ni kilio cha kusaga meno kila kona ya nchi tozo imekuwa mwiba mkubwa kwa wananchi kila kona wanalia hata hivyo baadhi ya wafanyakazi wa umma hasa manesi na walimu wanalalamika sana kuona wanalipa kodi huku tena kuendelea kukatwa fedha zao zaidi ya maratatu kupitia tozo ambazo imeweka serikali...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye asema bei ya internet imeshuka wakati wa Rais Samia ukilinganisha na Machi 2021

    Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana...
  13. N

    JamiiForums Tanzania UZI MAALUMU: Vyanzo zaidi vya mapato na tozo kwa Serikali vipo vingi sana

    Tuache utani hii serikali inachapa kazi jamani, raia wako very happy wanasema mama anaupiga mwingi hadi unamwagika, Mungu awape nini watanzania kupata Rais ambaye anachapa kazi masaa 24 kwa ajili yao halali kabisa. Tuache kulalamika kuhusu TOZO , vitu vidogo sana ni lazima serikali itoze tozo...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Liberia awasimamisha Kazi maafisa 3 wa Serikali baada ya Kuwekewa Vikwazo na Marekani kwa ufisadi

    Rais George Weah amewasimamisha kazi maafisa watatu baada ya serikali ya Marekani kutangaza kuwawekea vikwazo kwa madai ya Rushwa na Ufisadi wa mali za Umma Maafisa hao ni pamoja na Nathaniel McGill, Waziri wa nchi na Mkuu wa wafanyakazi wa Rais, anashutumiwa kwa kutishia wapinzani wa kisiasa...
  15. JamiiForums Tanzania Pendekeza tozo nyingine Serikali ya Samia iichukue

    Humu ndani tunaye Ndugu Waziri Mwigulu Nchemba, tutumie fursa ya uwepo wake kumkumbusha tozo zingine ambazo amezisahau. Ni kama akiziota usiku tu kesho anakuja nazo. Mimi naanza na tozo ya ugali, ugali utoe kodi. Mwaka huu kutokana na kupanda kwa bei za nafaka watu wengi sana watakula ugali...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ambayo haikuchaguliwa na Wananchi haiwezi kujali Wananchi

    Kwa sasa huwezi kuwasikia walamba asali wakisema chochote kwa sababu wako kwenye mizinga ya nyuki wakilamba asali. Serikali hii ya kikatiba ambayo haikuchaguliwa na wananchi haina uchungu na matatizo ya wananchi. Maisha magumu kila kitu kimepanda bei, tozo kila kukicha, tozo kila kona. Maisha...
  17. JamiiForums Tanzania Maadili, Taratibu na Mamlaka Zinazosimamia Maadili ya Mawakili Binafsi, Mawakili wa Serikali, Mahakimu na Majaji

    Wanasheria au Mawakili, Mahakimu na Majaji hawako juu ya Sheria bali pia wanaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na hata kushtakiwa kama mtu mwingine yeyote. Makala hii inahusu jinsi ya kuwawajibisha waliotajwa hapo juu kwa makosa ya kimaadili tu. 1: TUANZE NA MAWAKILI BINAFSI Sheria...
  18. JamiiForums Tanzania Ethiopia: Serikali na Waasi walaumiana juu ya kukwama kwa mazungumzo ya amani

    Msemaji wa Waasi wa Tigray, Getachew Reda ameishutumu Serikali kwa kudhoofisha juhudi za kutafuta suluhu ya amani kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo, baada ya Jeshi la kudaiwa kushambulia vikosi hivyo Wakati huo huo Msemaji wa Waziri Mkuu Nchini humo, Billene Seyoum, amekanusha...
  19. JamiiForums Tanzania Ethiopia: Serikali na Waasi walaumiana juu ya kukwama kwa mazungumzo ya amani

    Msemaji wa Waasi wa Tigray, Getachew Reda ameishutumu Serikali kwa kudhoofisha juhudi za kutafuta suluhu ya amani kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo, baada ya Jeshi la kudaiwa kushambulia vikosi hivyo Wakati huo huo Msemaji wa Waziri Mkuu Nchini humo, Billene Seyoum, amekanusha...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Je, kampuni za bima za vyombo vya moto zinasaidia vipi kufanya wamiliki kuwa makini barabarani?

    Bima za vyombo vya moto zimekuwa msaada mkubwa kwa watu wanaotumia vyombo hivi hasa ikitokea chombo chako kimehusika kwenye ajali. Lakini je, kampuni za hizi za vyombo vya moto hapa nchini zinachangia vipi kufanya wanaomiliki vyombo vya usafiri siyo tu kuendelea kutumia huduma zao bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…