serikali

  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega: Siku 100 za Rais Samia Serikali imekamilisha Miradi 40

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeweka historia mpya katika eneo la King'ori, jijini Arusha na maeneo mengine nchini kwa kuweka tumaini jipya kwa wananchi kupitia ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja ndani ya siku 100 za Rais Dkt. Samia...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kweli hatufanikiwi sababu ya serikali zetu au Kuna namna maisha ya kizungu yametuathiri?

    Maisha ya kwenye runinga ni gharama kubwa sana Kuna picha nzuri ya Teknolojia,majengo,Magari na hali safi ya mazingira Kuna picha ya uhuru wa vyama na Ibada. Unadhifu huu unalinganishwa maendeleo ya nchi zetu ambazo kiuhalisia ni changa,kiuhalisia zimejengwa katika mitazamo mingi,Imani na...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Madereva wa malori waipa Serikali siku 2 mwenzao apatikane, la sivyo watagoma

    Chama cha Madereva wa Malori Tanzania, (TATAMATA) kimetoa siku mbili kwa Serikali kushirikiana nao kumtafuta aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Godlove Materu , la sivyo madereva wote wa chama hicho hawatafanya kazi kuanzia Februari 10, 2026 mpaka apatikane. Kwa mujibu wa viongozi wa chama...
  4. JamiiForums Tanzania 90% ya waliohojiwa na Tume ya jaji Othman ni Makada wa CCM na viongozi wa Serikali

    Hii nchi jamani, yaani hii tume useless ata aibu haina, Kwa kilichotokea MO29 unaanzaje kupoteza muda kufanya investigation Kwa kuwahoji kina Majaliwa Nape Nauye Chalamila Dr.Mpango Makalla Wassira Jaji Mtungi Ma polisi Hivi hii nchi ina viongozi wenye akiri kweli? Yaani unafanya...
  5. JamiiForums Tanzania Utata waibuka alipo mfanyabiashara aliyemkosoa DC Arusha - wenzake wadai yupo polisi -wapanga kugoma

    Hata DC naye ukimkosoa, Anakutumia Watu wasojulikana, Wanakuteka, Wanakuua, unabaki Stori, Alafu DC kesho yake anatumbuliwa Tayari keshakuua Haya ni Matokeo ya kua na Rais Haramu, alojiweka hapo juu kwa Uharamu, Utekaji, mauaji na Kila aina ya baya. Sasa huyo ni DC, anamteka mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Uber wanacheza na maisha ya vijana wetu, wakirudi serikali tunaomba muwachunguze pls na mlinde maslahi ya vijana wetu

    Hii kampuni ilikuwa ya kwanza kuingia tanzania Baada ya muda wakaja bolt lakini kabla ya hapo ilisemekana wameweka maagizo akiruhusiwa mwingine wanaondoka Hata hivyo inaonekana mawazo yao yakikuwa ya kipuuzi na kijinga wakaruhusiwa bolt Baada ya kuruhusiwa bolt, uber wakaanza kulalamika bolt...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna watu haramu wapo kwenye majengo ya serikali kwasababu yapo wazi na wananchi bado hawajachagua watawala halali

    Kuna watu haramu wapo kwenye majengo ya serikali kwasababu yapo wazi na wananchi bado hawajachagua watawala halali. Wananchi sio dhaifu suala la watu haramu kuendelea kushikiria majengo yetu wakijifanya ni watawala haliwafanyi wawe halali kamwe.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa: Serikali kuanzisha Mwendokasi Maalum kwa ajili ya wanafunzi

    Serikali kupitia Wizara ya Uchukuzi imetangaza hatua mbalimbali za kuboresha usafiri wa wanafunzi katika maeneo ya mijini, kufuatia malalamiko ya wanafunzi kuhusu kunyanyaswa na baadhi ya wahudumu wa mabasi ya daladala. Akizungumza na vyombo vya habari, Jijini Dodoma Tarehe 04 Februari, Waziri...
  9. JamiiForums Tanzania Wananchi wanajitutumua kujijengea nyumba bora, kuvuta umeme na maji kwa gharama zao halafu Serikali inashindwa hata kuwajengea barabara tu

    Huwa nawaza sana hili jambo. Wananchi wanajitutumua kujijengea nyumba bora tena wengi wanafanya hivyo bila mikopo maana serikali haijatengeneza mifumo rasmi na rafiki ya kukopesha kwa ajili ya kujenga nyumba za makazi. Wananchi hao hao wanalazimika kulipia gharama za kuvuta huduma za umeme na...
  10. JamiiForums Tanzania Professor Anna Tibaijuka hana Moral Authority kuisema Serikali

    Naheshimu na Uwezo na Carrier ya Professor Anna Tibaijuka ni Msomi mzuri aliyekulia ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM upande wake mwingine anafahamika kuhusika na kashfa ya Escrow Account Bibi huyu kwa sasa mfumo umemkataa ndiyo maana anabwabwaja kila siku kuinanga Serikali ya awamu ya 6 lakin...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri wa fedha, Mhandisi Mshambu: Taasisi za fedha kuweka kiwango maalum ya riba kwa wafanyakazi itakinzana na sera za soko

    Naibu waziri wa wizara ya fedha, Mhandisi Mshambu Munde amejibu swali la Mbunge wa Kigamboni Haran Nyakisa Sanga kuhusu Je, lini wafanyakazi wa Tanzania watapunguziwa riba za mkopo kufikia aslimia 7 au 8?
  12. JamiiForums Tanzania Suala la kuudha dhahabu harikubaliki Samia na serikali yake ni haramu na hawana mamlaka hayo watalipa

    Suala la kuudha dhahabu harikubaliki samia na serikali yake ni haramu na hawana mamlaka hayo watalipa. Najuq hana uchungu wowote na anaweza kuuza hata mbuga za wanyama hana mamlaka hayo ametwaa madaraka kinyume cha sheria kwa kuuwa watanzania. Tutakuja na mpango wa kurudisha rasilimali zetu...
  13. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ameharibu akili za vijana wa Tanzania, Sasa kila linalosemwa na kiongozi wa serikali wanalipokea negative

    Fursa lukuki ambazo zipo ndani ya awamu hii ya Samia gen Z wala hawazihangahikii badala yake vijana wachache mostly ni UVCCM ndio huzipata yet gen Z wanaendelea kusema wanapeana. Hawa vijana walioharibiwa akili na MANGE Kimambi kazi yao kubwa ni kusubiri post yoyote mitandaoni iliyotolewa na...
  14. JamiiForums Tanzania Mkataba wa madini kati ya mfalme Lobengula na Serikali ya Uingereza ulivyoleta hekaheka nchini ufalme wa Matebele nchini Zimbabwe

    Wakuu, Mkataba wa Rudd ulikuwa makubaliano muhimu ya haki za madini yaliyosainiwa mnamo Oktoba 30, 1888, kati ya Mfalme Lobengula wa Matabeleland na mawakala waliomwakilisha mfalme wa kikoloni wa Uingereza, Cecil Rhodes. Hati hii ilikua msingi wa kisheria wa ukoloni wa Uingereza katika eneo...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Serikali kuuza dhahabu ni jambo la hatari kuliko tunavyofikiria

    1. Kuuza dhahabu yote is a bad move, kwa sababu mataifa yoye makubwa sasa hivi yananunua dhahabu kwa kasi kubwa kwa sababu ya kupotea thamani kwa fiat currency (pesa za karatasi). US ambae ni kiranja mkuu kila siku tunamuona Trump anahangaika kuiokoa dollar kwa sababu maji yamefika shingoni...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Ukutubi, Uhifadhi wa Nyaraka (SLADS) ni cha Serikali lakini baadhi ya Wahitimu tukiomba ajira tunaambiwa hatuna vigezo

    Wanafunzi wa Chuo cha Ukutubi, Uhifadhi wa Nyaraka na Tafiti (SLADS) kilichopo Bagamoyo chini ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) tunapitia changamoto kadhaa:- Nawasilisha kero hii kwa niaba ya wengine tumehitimu masomo ya Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (Library Records and Documentation...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Hii video ya jamaa anatishia polisi,ni mkakati mpya wa destabilization ya serikali ya awamu hii!!?

    Vuta picha maiti za polisi wameuawa barabarani au kambini mwao ziki trend Kwa mitandao zikifuatiwa na matamko kama hayo ya black mask huko mtandaoni! Hali itakuaje Kwa viongozi wetu ambao wamekua wakiwatumia polisi kama shielding ya matamko na power walizobeba kimamlaka dhidi ya wananchi...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Tunapozungumzia utendaji Serikalini, msisitizo ni uadilifu na uwajibikaji wa Serikali kwa wananchi waliotuchagua ili - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Tunapozungumzia utendaji Serikalini, msisitizo ni uadilifu na uwajibikaji wa Serikali kwa wananchi waliotuchagua ili kuhakikisha wananchi wananufaika na rasilimali za nchi pamoja na kupata huduma wanazostahili - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 27, 2026...
  19. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Serikali haitavumilia watendaji wasio wajibika wanaofanya kazi kwa mazoea au ujanjaujanja

  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mlioko ndani mtusaidie. Kwanini viongozi wakubwa wanajificha ficha?

    Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…