serikali

  1. Shaka: Ni marufuku kwa hospitali za Serikali kumtoza Mama mjamzito kiasi chochote cha fedha wakati, kabla na baada ya kujifungua

    SHAKA "TUSIWATOZE FEDHA WAJAWAZITO" Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewataka watoa huduma kote nchini kuacha kuwatoza fedha wanawake wajawazito wakati wa kliniki na wanapofika kujifungua. Shaka ametoa maelekezo hayo akiwa Jimbo la Bukene...
  2. R

    Biashara nje ya uwanja wa Mwamposa ina baraka ya serikali?

    Wakuu mpo njema? Swali langu ni kuhusu wafanyabiashara ambao wameweka kambi kwenye kituo cha daladala pale Kawe karibu na anapofanyia mikutano Mwamposa. Sasa hivi sehemu ile imejaa wafanya biashara wadogo (machinga) na mama ntilie wa kutosha. Mazingira ya hapo kweli hayaridhishi, ukiangalia...
  3. Tunaomba taasisi za Serikali waweke namba zinazopatikana kwenye mtandao

    Tunaomba taasisi za Serikali waweke namba zinazopatikana kwenye mtandao. Kimsingi ni vigumu kupata mawasiliano kwa kutumia namba za simu zilizoko kwenye mtandao kwani nyingi ya namba hizo hazipatikani kwa sababu tofauti tofauti (ni mbovu, hazijalipiwa au hazitumiki tena) nk. Baadhi ya watu...
  4. Kilio Miamala ya Benki chatikisa nchi

    Tozo zilizoanza kukatwa kwenye miamala ya kifedha kupitia benki zimetajwa kuongeza makali ya ugumu wa maisha kwa watumiaji wa huduma husika. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba kupitia gazeti la Serikali No.478 lililochapishwa Julai Mosi mwaka huu, alitangaza kuanza utekelezaji wa kodi ya...
  5. Tozo za miamala zimekuwa kero kwa wananchi, serikali imeshupaza shingo

    Ni kilio cha kusaga meno kila kona ya nchi tozo imekuwa mwiba mkubwa kwa wananchi kila kona wanalia hata hivyo baadhi ya wafanyakazi wa umma hasa manesi na walimu wanalalamika sana kuona wanalipa kodi huku tena kuendelea kukatwa fedha zao zaidi ya maratatu kupitia tozo ambazo imeweka serikali...
  6. Waziri Nape Nnauye asema bei ya internet imeshuka wakati wa Rais Samia ukilinganisha na Machi 2021

    Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana...
  7. N

    UZI MAALUMU: Vyanzo zaidi vya mapato na tozo kwa Serikali vipo vingi sana

    Tuache utani hii serikali inachapa kazi jamani, raia wako very happy wanasema mama anaupiga mwingi hadi unamwagika, Mungu awape nini watanzania kupata Rais ambaye anachapa kazi masaa 24 kwa ajili yao halali kabisa. Tuache kulalamika kuhusu TOZO , vitu vidogo sana ni lazima serikali itoze tozo...
  8. Rais wa Liberia awasimamisha Kazi maafisa 3 wa Serikali baada ya Kuwekewa Vikwazo na Marekani kwa ufisadi

    Rais George Weah amewasimamisha kazi maafisa watatu baada ya serikali ya Marekani kutangaza kuwawekea vikwazo kwa madai ya Rushwa na Ufisadi wa mali za Umma Maafisa hao ni pamoja na Nathaniel McGill, Waziri wa nchi na Mkuu wa wafanyakazi wa Rais, anashutumiwa kwa kutishia wapinzani wa kisiasa...
  9. Pendekeza tozo nyingine Serikali ya Samia iichukue

    Humu ndani tunaye Ndugu Waziri Mwigulu Nchemba, tutumie fursa ya uwepo wake kumkumbusha tozo zingine ambazo amezisahau. Ni kama akiziota usiku tu kesho anakuja nazo. Mimi naanza na tozo ya ugali, ugali utoe kodi. Mwaka huu kutokana na kupanda kwa bei za nafaka watu wengi sana watakula ugali...
  10. T

    Serikali ambayo haikuchaguliwa na Wananchi haiwezi kujali Wananchi

    Kwa sasa huwezi kuwasikia walamba asali wakisema chochote kwa sababu wako kwenye mizinga ya nyuki wakilamba asali. Serikali hii ya kikatiba ambayo haikuchaguliwa na wananchi haina uchungu na matatizo ya wananchi. Maisha magumu kila kitu kimepanda bei, tozo kila kukicha, tozo kila kona. Maisha...
  11. Maadili, Taratibu na Mamlaka Zinazosimamia Maadili ya Mawakili Binafsi, Mawakili wa Serikali, Mahakimu na Majaji

    Wanasheria au Mawakili, Mahakimu na Majaji hawako juu ya Sheria bali pia wanaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na hata kushtakiwa kama mtu mwingine yeyote. Makala hii inahusu jinsi ya kuwawajibisha waliotajwa hapo juu kwa makosa ya kimaadili tu. 1: TUANZE NA MAWAKILI BINAFSI Sheria...
  12. Ethiopia: Serikali na Waasi walaumiana juu ya kukwama kwa mazungumzo ya amani

    Msemaji wa Waasi wa Tigray, Getachew Reda ameishutumu Serikali kwa kudhoofisha juhudi za kutafuta suluhu ya amani kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo, baada ya Jeshi la kudaiwa kushambulia vikosi hivyo Wakati huo huo Msemaji wa Waziri Mkuu Nchini humo, Billene Seyoum, amekanusha...
  13. Ethiopia: Serikali na Waasi walaumiana juu ya kukwama kwa mazungumzo ya amani

    Msemaji wa Waasi wa Tigray, Getachew Reda ameishutumu Serikali kwa kudhoofisha juhudi za kutafuta suluhu ya amani kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo, baada ya Jeshi la kudaiwa kushambulia vikosi hivyo Wakati huo huo Msemaji wa Waziri Mkuu Nchini humo, Billene Seyoum, amekanusha...
  14. R

    Je, kampuni za bima za vyombo vya moto zinasaidia vipi kufanya wamiliki kuwa makini barabarani?

    Bima za vyombo vya moto zimekuwa msaada mkubwa kwa watu wanaotumia vyombo hivi hasa ikitokea chombo chako kimehusika kwenye ajali. Lakini je, kampuni za hizi za vyombo vya moto hapa nchini zinachangia vipi kufanya wanaomiliki vyombo vya usafiri siyo tu kuendelea kutumia huduma zao bila...
  15. Serikali: Agosti 23, 2022 ni siku ya mapumziko

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia Agosti 23, 2022 kuwa siku ya mapumziko. Lengo ni kufanikisha zoezi la sensa linalotarajiwa kuanza siku hiyo kwa kuwapokea makarani wa sensa na kutoa maelezo sahihi. Hivi karibuni Kamisaa...
  16. Serikali ifuatilie semina wanazopewa Watumishi wa Umma wanaotaka kustaafu

    Habari zenu! Ofisini kwetu kuna utaratibu wa semina elekezi kwa watumishi wanaanza kazi na wanaotaka kustaafu. Kwa hii ya wanaoanza kazi iko vizuri maana hata Mimi nimeipata na kuona iko vizuri. Maana inabase kumjenga mtumishi mpya kiuzalendo zaidi na kuijua serikali yake. Imeanza wapi, iko...
  17. Rais Samia, tupia jicho RITA na huduma yao yae-huduma

    Ninaomba sana Mheshimiwa Rais na Serikali itupie jicho huduma zinazotolewa na RITA kwakweli wananchi tunazungushwa sana kupata huduma bila sababu za msingi. Kwa sasa wameanzisha huduma ya kusajili vizazi na vifo kutumia mtandao lakini ukisajili maombi kupitia mtandaona kwenda HQ kufuatilia...
  18. J

    RC Makalla ungeanza kuboresha stendi zenu (serikali) za daladala pale Kariakoo kisha ndio uhamie stendi binafsi

    Pale Kariakoo Stendi za Daladala ziendazo Tegeta, Makumbusho, Kawe na Mabibo ziko barabarani na zinaziba biashara za watu Ni vema RC Makalla ukarekebisha hizo kwanza kabla ya kuwahamisha akina Shabiby na ABC kule Manzese Ni ushauri tu
  19. Kumbe hizi ndizo nguvu za Serikali

    Nianze kwa kusema kwamba ndugu zangu Watanzania tunachanganya sana mambo. Frikra za Watanzania walio wengi juu ya serikali ni kwamba serikali ni lijitu lenye manguvu makubwa sana. Na ili kuonyesha manguvu yake basi litanyanganya watu ardhi pasipo fidia inayostahili, litapiga viongozi wa...
  20. Je, Unajua hapo kabla wananchi waliibia sana Serikali, kwa sasa Serikali inawaibia wananchi kwa kushirikiana na taasisi na mashirika ya fedha?

    Kwa miaka kadhaa iliyopita watumishi wengi wa serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali, waliibia sana serikali. Hii ilitokana na kukosa udhibiti wa miaya ya rushwa, kukosa uadilifu na kuruhusu matumizi yasiyo ya lazima. Kiongozi wa nchi aliyetangulia kabla ya huyu aliyepo sasa, alijitahidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…