serikali

  1. Tetesi: Seth wa IPTL kuishtaki Serikali ya Tanzania akitaka arejeshewe umiliki wa IPTL

    Seth, aliyekuwa mmliki wa kampuni ya kufua umeme kwa jenereta almaarufu IPTL anatarajia kuishitaki Serikali ya Tanzania ili imrejeshee u miliki wa mitambo ile. Pia, imlipe fidia ya hasara aliyoipata kwa kipindi chote ambacho mitambo yake ilizimwa na kutaifishwa.
  2. M

    Ukatiri dhidi ya watoto unasababishwa na ugumu wa maisha. Wazazi wengi hawana uhakika wa mlo wameathirika kisaikolojia. Serikali iingilie kati

    Watoto wanapigwa kwa kudokoa mboga. Watoto wanachomwa moto kwa kuiba dagaa Watoto wanafinywa kwa visu. Watoto wanashindia uji. Lakini mabwanyenye wa CCM wapo busy kula maisha.
  3. S

    Maji ni huduma ambayo Serikali inafeli vibaya mno, uhaba na mgao karibu kila mkoa japo mabilioni yanatumika. Rais Samia anashindwa wapi?

    Nilitegemea kwamba serikali inayosema inapigana na kupambana sana kuhudumia watu wake ingefanikiwa sana katika suala la kutoa maji kwa watu wake. Lakini inasikitisha sana kwamba hadi leo Tanzania inafeli sana katika kutoa huduma hii kwa wananchi. Na kinachosikitisha hata zaidi ni kwamba hii ni...
  4. Kwanini ndoa nyingi za Bomani (Serikalini) zina Afya 'Kimahusiano' kuliko zile za Makanisani mwetu?

    Ngoja nimtafute mrembo hapa hapa JamiiForums ili nikafunge naye ndoa ya Bomani ili niishi kwa afya, amani na furaha. Hiyo ya Kanisani nawaachia tu wengine.
  5. Australia: Serikali yabadili Sheria ya Taarifa Binafsi baada watu Milioni 9.8 kudukuliwa

    Kwa sasa kampuni za Mawasiliano ya Simu ikiwemo Optus zitatakiwa kushirikiana na Taasisi za Fedha na Serikali ili kuchunguza na kupunguza hatari ya matukio ya Usalama wa Mtandao, Udanganyifu, Ulaghai na Matishio mengine ya Kimtandao. Uamuzi huo wa Serikali unalenga kuwalinda Wateja waliokutwa...
  6. RIPOTI: UN yasema 44% ya ukiukaji wa haki za binadamu ulifanywa na Serikali ya Congo DR

    Ripoti hiyo inasema idadi kubwa ya matukio ya ukatili na mateso imetokea katika maeneo yaliyoathiriwa zaidi na migogoro ya kivita ambapo 44% ya mateso yalifanywa na maafisa wa Serikali wakiwemo Jeshi la Polisi na Jeshi la Ulinzi. Ofisi ya Haki za Binadamu pia imesema kwa kipindi cha Juni 1...
  7. Serikali ya Rais Samia Suluhu yaahidi kuimarisha uhusiano wake na Asasi za Kiraia (AZAKI)

    Ni siku 565 tangu Rais Samia Suluhu aingie madaraki, na Serikali yake imekuwa mstari wa mbele katika kuimarisha uhusiano wake na asasi za kiraia nchini katika kutambua mchango wa asasi hizo katika ujenzi wa Taifa. Kupitia Mwenyekiti wa Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali, Mwantumu Mahiza...
  8. Serikali ijiridhishe kwanza kabla ya kusukuma jambo kwa wananchi

    Serikali sio kitu cha mchezomchezo kinachopaswa kutiliwa mashaka na wananchi. Watu wote wanaojiita "sisi Serikali" lazima mfanye utafiti wa kina kabla ya kutamka, kuagiza na kuutekeleza jambo kwa wananchi ili kuepuka wananchi kuitilia mashaka Serikali Yao. Sio jambo Jena kwa Serikali kuomba...
  9. Serikali Ina Jukumu la Kuwekeza kwa Kiwango Stahiki Katika Elimu na Vipaji vya Wananchi Wake

    Miongoni mwa mambo yanayopaswa kupewa kipaumbele zaidi na serikali ni uwekezaji katika elimu na vipaji vya wananchi wake. Hii ina maana kwamba afya, elimu na lishe ni muhimu katika kukuza uchumi wenye nguvu, ushindani na unaostawi. Hivyo basi, serikali inapaswa kuwekeza katika miundombinu ya...
  10. Iran: Wanafunzi Vyuo Vikuu na Sekondari wachachamaa kupinga udhalimu wa kidini, huku serikali ikilaumu Marekani na Israel

    Badala ya rais na mayatollah wasklize wananchi wao, wameamua kulaumu Marekani na Israel..... DUBAI, United Arab Emirates (AP) — Iranian President Ebrahim Raisi on Tuesday appealed for national unity and tried to allay anger against the country’s rulers, even as the anti-government protests that...
  11. Serikali haitafunga mpaka wake na Uganda kisa Ebola

    Serikali imesema itajikita katika kutoa elimu kwa umma kuhusu namna ya kujikinga na mlipuko wa Ebola badala ya kufunga mipaka mkoani Kagera. Hayo yalielezwa juzi na mkurugenzi msaidizi kitengo cha elimu ya afya kwa umma, Dk Ama Kasangala katika kikao na wadau wa afya mjini Bukoba, kilicholenga...
  12. Viongozi wa Serikali za Mtaa wanajichukulia poa hawafanyi majukumu yao stahiki

    Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Uchira, wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamekusanyika kulalamikia uongozi wa serikali ya Kijiji hicho, kudaiwa kuuza maeneo ya barabara pasipo kuwashirikisha, hali inayowafanya kukosa njia za kwenda kutafuta huduma za kijamii. Chanzo: ITV ***** Nimesoma hiyo...
  13. Tuunganishe nguvu tuwavutie wawekezaji kwenye haya maeneo ya mafuta na gesi tusiichie serikali pekee inatingwa

    Taifa letu lina maeneo mengi wazi ya kuwekeza katika sekta ya mafuta na gesi. Maeneo muhimu sana nayoyaona mimi ni yafuatayo: 1. Vituo vya kujaza mafuta mijini na vijijini (Fuel and service stations in cities and rural areas). # 2. Vituo vya kujaza gesi iliyoshindiliwa (CNG) mijini (CNG...
  14. Kwenye kauli hizi chache za Rais akiwaapisha Mawaziri watatu wateule, kosa la Balozi Mulamula ni insubordination?

    Mara baada ya mawaziri watatu (Bashungwa, Tax na Kairuki) kula kiapo ikulu jijini Dar es Salaam, Mh Rais amezungumza maneno machache sana. Amewaasa mawaziri wake wapya mambo yafuatayo: 1. Wazingatie kiapo chao cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  15. Rais Samia afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Angellah Kairuki aenda TAMISEMI, Balozi Mulamula atemwa, Bashungwa ahamishwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo: Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali Mhe. Dkt.Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la...
  16. Serikali yashauriwa kuchukua hatua kali kudhibiti matumizi ya pombe kupita kiasi

    Mtandao wa Wadau wanaopambana na unywaji wa pombe kupita kiasi nchini Tanzania {TAAnet} umeishauri serikali kuchukuwa hatua kali ili kudhibiti matumizi ya pombe kupita kiasi kwa kuridhia uwepo wa sera ya afya yenye kuweka katazo la matumizi mabaya ya pombe ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa muongozo...
  17. Serikali kuunda Tume za Uchunguzi na kutoweka wazi matokeo ya uchunguzi wake inamaanisha inawalinda wahusika?

    Katika nchi zenye idadi kubwa ya Tume za Uchunguzi huenda Tanzania ikaongoza, karibia kia tukio baya iwe Wizi, Mauaji, Uhaliifu wa Kawaida, Uhalifu Mbaya, Ajali za Moto, Magari, Majengo, Vifo vyenye Utata, kote huko tumeshawasikia mara kadhaa viongozi wa nchi hii hadi wale wa ngazi ya juu kabisa...
  18. M

    Tusilifananishe hili la mabadiliko ya Mawaziri na kisa cha aliyekuwa Waziri katika Serikali ya nchi jirani. Zipo sababu za msingi

    Miaka kadhaa iliyopita (1980s) Rais wa nchi moja jirani aliyekuwa madarakani alienda ziarani Marekani na Waziri wake wa mambo ya nje (Kwa sasa wote wapate ku RIP). Wakiwa huko walifanya mkutano na waandishi wa habari wa huko. Baadhi ya maswali yaliyoulizwa kwa Rais yalimpa shida sana kujibu na...
  19. Waziri Mwigulu tusamehe bure, kumbe tozo ni maamuzi ya serikali si yako wewe kama waziri

    Yale maombi mabaya mabaya wanayokuombea watu kwenye mitandao nina imani yatakupitia mbali, maana siyo kwa laana zile unazotupiwa. Naamini tozo zingekuwa ziko ndani ya uwezo wako ungekuwa umeshazifuta kwa hizi kelele, ila kumbe umefungwa na "Collective Responsibility".
  20. Rais Samia: Waziri hutakiwi kujitoa kwenye maamuzi ya Serikali

    Rais Samia akiwaapisha mawaziri leo, Oktoba 3 amesema waziri hatakiwi kusema hakubaliani na maamuzi ya Serikali au kusema kuwa nimeelekezwa hivi ila sikubaliani. Hatakiwi kujitoa bali kuwa sehemu ya maamuzi. Sijui ni waziri gani aliyesema haya ni maamuzi ya Serikali sio yangu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…