serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza utalii kupitia mbio za Kilimanjaro

    NW UTALII, MARRY MASANJA - SERIKALI KUTANGAZA UTALII KUPITIA MBIO ZA KILIMANJARO Serikali imesema itaendelea kutangaza vivutio vya utalii katika nchi wanazotoka washiriki wa mbio za Kilimanjaro International Marathon ili kuongeza idadi ya washiriki wa mbio hizo na hatimaye kuongeza idadi ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka kupeleka hoja ya kuwa na serikali ya Tanganyika

    Kutokana na hali na upepo wa kisiasa, natumaini kwa wabunge wa Tanganyika huu ni Muda muafaka wa kupeleka hoja ya kubadili katiba na kuanzisha serikali ya Tanganyika na kuanzisha vifungu vya kulinda maliasili za watanganyika . That said, Rais JM Kikwete apewe muda wa kuongoza serikali ya...
  3. JamiiForums Tanzania Tusikimbilie tu maslahi, Walimu tushirikiane kuisaidia Serikali kuhahakikisha mtoto wa kike anapata elimu itakayomsaidia katika maisha yake

    Habari, Nimesoma bandiko la Thadei Ole Mushi kuhusu "Mshahara wa Mwalimu unavyotafunwa CWT" la Dec 2022. Lakini pia nimepitia uzi wa Mpwayungu Village kuhusu Tuungane kwa pamoja kuwasemea walimu, hakika nimetafakari kwa kina jambo fulani. Sekta hii ya ualimu ni sekta nyeti sana nchini...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Serikali zote duniani hazitaki watu wajue ukweli

    Duniani kote serikali zote hazitaki watu wajue ukweli! Kwasababu "Ukweli huwaweka watu huru" Duniani kote viongozi huapa kuficha siri, Hushika misaafu na biblia kutangaza kuwa wataficha siri badala ya kuapa kusema ukweli na haki! Yote hayo ili serikali itawale kwa amani inabidi watu wasiwe...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yakiri uzembe kwenye utoaji Chanjo za Magonjwa mengine baada ya kutokea UVIKO-19

    Wizara ya Afya imebaini kuwepo uzembe katika utoaji wa Chanjo za Magonjwa kutokana na Serikali kuwekeza nguvu kubwa katika Chanjo ya #UVIKO19 na kusahau Chanjo za magonjwa mengine. Waziri wa Afya #UmmyMwalimu, Amesema hali hiyo imeleta madhara makubwa kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa #Surua na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya watoto wa shule kufariki wakivuka ndio Serikali ya CCM inafikiria kujenga daraja

    Mabilioni ya pesa za umma mnatafuna. Mnajenga madarasa hewa kwa tril 1.3 Watoto wanafariki wakivuka mto kwa mtumbwi kwenda shule. Mnakula pesa. Hamjali maisha ya wananchi mpaka wafe. ======== Serikali kujenga daraja mto uliouwa wanafunzi Kigoma Kigoma. Wakati miili ya wanafunzi wawili kati...
  7. JamiiForums Tanzania Bakwata ni taasisi ya serikali yeye viongozi wa kiislamu

    Uisalam utabaki kuwa uisalam. Uisalam hauna mambo mengi kama watu wanavyodhani na kuongopeana ingekuwa inafuatwa Quaran . Kila kitu kingekuwa sawa. 📌 waislamu wengi hawapendi kusoma wako bize ila ndo kama yanayotokea .. unaweza ukajua kusoma na kuandika ila kupata maarifa nikitu kingine. ...
  8. JamiiForums Tanzania Naiomba serikali ipokee ushauri wetu kuhusu kuboresha huduma ya mabasi ya mwendokasi

    Lengo la serikali kuwekeza katika mkundombinu iliyotuletea huduma ya mabasi ya mwendokasi ni kupunguza usumbufu utokanao.na foleni kubwa za magari wakati wa kuingia na kutoka mijini. Hasa nyakati za ahsubuhi na jioni. Mimi na baadhi ya wadau tunaamini kuwa huduma hii inapaswa kurahisisha...
  9. JamiiForums Tanzania Mikutano ya hadhara imeruhusiwa na Serikali ya Awamu ya Sita ili kudhihaki Magufuli?

    Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini. Ninaomba michango yenu.
  10. JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko au waraka kupunguza adhabu ya fimbo mashuleni;watoto watavunjwa nyonga

    Bila jitihada za serikali kuweka msisitizo wa kuzuia au kupunguza adhabu ya viboko mashuleni; kuna uwezekano mkubwa wa kuzalisha taifa lenye walemavu wengi! Binafsi niliwahi kuchapwa enzi hizo nikiwa sekondari kwa kosa la jumla (darasa zima) na walimu karibu 10 kwa wakati mmoja. Nilipata...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imetoa ruhusa ya wapenzi wa jinsia moja kujumuika

    BBC Swahili wanalipoti kuwa mahakama ya juu nchini Kenya imeanza vyema kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuwa na haki ya kujumuika, hii ni ishara sasa kenya inaelekea kule walipo waliokaaga mwanzo kisha wakakubaliana na hali. Hili ni tukio baya sana kwa ukanda wetu ambapo ile nguvu moja ya...
  12. JamiiForums Tanzania Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu

    Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia ilivyoirejesha Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya (EIB) nchini

    Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya (EIB) imeeleza sababu za kurejea Tanzania na kufanya uwekezaji mkubwa wenye thamani ya Euro milioni 540 baada ya kutokuwapo kwa miaka saba nchini. Moja ya sababu hizo ni maboresho makubwa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali anayoiongoza...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Wizara ya Ardhi yatoa Orodha ya Viwanja Vilivyobatilishwa na Rais

    Kamishna Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi anawatangazia wanachi kuwa wamiliki wa viwanja na mashamba kwenye orodha hii milki zao zimebatilishwa kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi No. 4 Sura ya 113 kwa amri ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kuanzia tarehe 3 na 8 Agost 2022...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Waganga wa kienyeji kutapeli na kuua watu mara kwa mara, kwanini serikali haiwachukulii hatua?

    Habari wadau. Binafsi najiuliza, kwanini waganga wa kienyeji wanaruhusiwa kutoa huduma zao huku ni matapeli? Mwalimu kauliwa Musoma na kuibiwa milion 9 na waganga wa kienyeji. Mwaka jana Moshi binti akishirikiana na waganga wa kienyeji walimuua mama nesi mstaafu baada ya kumtapeli mafao zaidi...
  16. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Silinde awataka Makatibu Tawala, Wakuu wa Idara na Mamlaka Serikali za Mtaa kudhibiti uvujishaji wa Nyaraka za Serikali

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia elimu, David Silinde amewataka Makatibu Tawala, Wakuu wa Idara katika Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kudhibiti uvujishaji wa siri na nyaraka za Serikali kwakuwa suala hilo bado ni changamoto. Mhe. Silinde...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ma waajiri wengine wangetoa mshahara hata mara mbili kwa mwezi ili shughuli za kiuchumi zisiwe zinadorora

    Mada hii imawahi zungumzwa humu. Naomba kukazia zaidi. Kama wewe ni mfanyabiashara utaona kuwa biashara inachanganya mwisho wa mwezi. Baada ya wiki hivi inakata kabisa. Unakuwa unadunduliza tu. Ili walau biashara na mzunguko wa pesa uwe mzuri mwezi wote serikali na waajiri wengine wangefanya...
  18. JamiiForums Tanzania TAESA imekuwa ni janga kubwa la kukata ndoto za vijana. KwaniniSerikali (PSRS) isianze na vijana wa TAESA kwanza kwa uzoefu walio nao?

    Habari wana JF, Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k per month (Ambayo ni kipengele kwa kweli kuipata) na then mkataba ukiisha wanakuacha. Hii kitu...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali, taasisi futurisheni kipindi cha mfungo wa Kwaresma

    Imekuwa kawaida kipindi cha Mfungo wa ramadhani viongozi wa serikali, taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kufuturisha. Sasa basi ili kuondoa dhana ya upendeleo au double standard ni vyema basi katika kipindi hiki cha Mfungo wa Kwaresma basi futari ikaandaliwa pia na taasisi hizo. Ni...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Serikali inafungua soko la kimataifa, Fursa soko la Mbaazi nchini China

    Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imetengaza fursa kwa wakulima na wauzaji wa mbaazi nchini, matokeo ya kupatikana kwa soko hili ni kuimarika kwa diplomasia ya uchumi kati ya Tanzania na India. Ikumbukwe mbaazi hizo zitaingia nchini India bila ushuru.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…