Ukweli ni kwamba hali ya maisha ya Watanzania ni ngumu mno ! Wananchi wanalalamika lakini hakuna anayewasikiliza, bei ya vyakula inazidi kupaa.
Ni lazima sasa serikali ifanye jambo ili kunusuru wananchi wake, huo ndio uwajibikaji, haiwezekani Wapagani nao Wafunge Ramadhan au Kwaresma halafu...