serikali

  1. JamiiForums Tanzania Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) walaani baadhi ya Viongozi, Taasisi za Umma.. kudhoofisha uhuru wa Wanahabari na Vyombo vya Habari

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mwenendo wa Uhuru wa Vyombo vya Habari Tanzania unatisha Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) unalaani mwenendo unaoendelea wa baadhi ya viongozi wa serikali, taasisi za umma na vyombo vya usalama kudhoofisha uhuru wa wanahabari na vyombo vya habari nchini...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kutokana na vifo zaidi ya 500, baadhi ya viongozi wa juu wa serikali na vyombo vya ulinzi walipaswa kujiuzulu.

    Haijalishi nani mhusika au nani mwenye makosa; kitendo cha viongozi wa juu wa serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kushindwa kujiuzulu kufuatia vifo vya Watanzania zaidi ya 500 kinaweka mfano hatari sana kwa siku zijazo linapokuja suala la uwajibikaji katika kulinda uhai wa raia.
  3. JamiiForums Tanzania Ukiwa kiongozi wa kiserikali ni kosa la kiufundi kujibishana na Wananchi. Unajiingiza na kuingiza serikali kwenye mitego ya kuchukiwa

    Hamjambo! 1. Kama Mtibeli jukumu langu ni kuwafundisha.. 2. Kwenye Saikolojia kuna kanuni za kumaintain power na kubaki na heshima. Bila kutumia nguvu na mabavu. 3. Hapa nazungumzia Stoicism (Ustahimilivu wa kihisia), ambapo mtu anachukua msimamo wa kutokujibu uhasama au changamoto za nje...
  4. JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu Wa Serikali Gerson Msigwa awaita walipa kodi 'Nguchiro'. Ni kiburi cha aina gani hiki?

    Alichoandika Gerson Msigwa leo kwenye ukursa wake wa X Kuna shida gani namba ya Mtumishi wa Umma kuwekwa hadharani? Mbona kwenye website ya Bunge kwenye kila profile ya Mbunge wameweka namba zao? Kwenye websites za Halmashuri na taasisi nyingine za Serikali namba za viongozi zote ziko...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tujitafakari, Serikali inashambuliwa mitandaoni vitengo vya Habari na maafisa wapo kimya

    Watu wamwambia watateteaje uongo. Hawajui kilichomo kwenye ripoti watatetea vipi. Waziri wa Habari Makonda ajitafakari pamoja na kupewa B2 za content creators hajaisaidia serikali.
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ina mpango gani na watanzania wanaoishi Afrika Kusini

    Serikali tunaomba ndugu zetu waliopo South Africa warudishwe nyumbani. Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mtz akipigwa sana kama mbwa huko South africa Hizi ngozi nyeusi zimelaaniwa haya mambo huwezi yakuta ulaya
  7. JamiiForums Tanzania Tume ya Samia ya Jaji Chande imefeli sasa Serikali iruhusu Tume Huru za Kimataifa

    Kama alivyojidai mwenyewe kuwa Tume ya Jaji Chande ni yake yeye Rais Samia na kwamba watu hawana haki ya kuihoji,sasa ni wakati muafaka wa kuruhusu kualika Tume Huru za Kimataifa kuja kufanya uchunguzi wa nini kilisababisha mauaji ya kimbari yaliyofanywa na polisi wakishirikiana na vyombo...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali itufikirie Wahandisi wa Halmashauri tunalipwa mishahara midogo tofauti na kada nyingine

    Mimi kufikisha kero zetu za Watumishi wa Halmashauri kuwa na mishahara midogo sana ambayo haiendani na watumishi wenzetu waliopo kwenye taasisi za kiserikali. Mfano Engineer wa Halmashauri ajira mpya anaanza na mshahara wa Shilingi 1,110,000 kabla ya Makato, halafu Engineer Ajira mpya wa TARURA...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali Yatangaza Hatua Kufuatia Ripoti ya Tume

    kupitia ripoti ya tume hii Serikali itachukua hatua za haraka kama ifuatavyo 1. Itaunda tume ya marudhiano ikijumuisha wadau wote muhimu itakayosimamia na kuongoza majadiliano ili kuziba mianya na migawanyiko iliyopo na kurejesha umoja na mshikamano wa kitaifa 2. Tutatekeleza mapendekezo ya...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yasisitiza ulipaji Kodi ya Ardhi kwa Wakati kuepusha usumbufu

    Serikali imewataka wamiliki wote wa ardhi nchini wakiwemo watu binafsi na taasisi zinazomiliki ardhi kuhakikisha zinalipa kodi ya pango la ardhi kwa wakati, ili kuepusha usumbufu utakaotokana na hatua zitakazochukuliwa kwa wale watakaoshindwa kutekeleza wajibu huo. Akizungumza jijini Dodoma...
  11. JamiiForums Tanzania Jaji Chande ameshatuangusha, kwamba hakuna utekaji unaohusisha wa kisiasa na serikali?

    Wakuu, Imeisha hiyooooo! Kwamba utekaji wa kina polepole, soka na wenzake, mdude na wenzake ilikuwa ni mambo ya kijamii na masuala ya madeni au wamejipoteza. Ndo maana anaishiwa na pumzi akiwasilisha hiyo ripoti, si hata Mungu aingilie kati hapa hapa🙄🙄.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Michango Ofisi za Mtaa Taliani: Ni Sahihi?

    Mimi ni mdau kutoka chanika Buyuni-Dar es salaam. Sasa kuna utaratibu wa viongozi wanaohudumu ktk ofisi za serikali ya mtaa wa Taliani kata ya Buyuni kuwaomba michango(fedha) wananchi wanapoenda kutafuta huduma kwenye ofisi hizo kwamba wachangie ofisi. Je ni utaratibu ambao ni sahihi..?
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mpango wa Serikali kuendeleza upya maeneo ya Sinza unahitaji uwazi na uwajibikaji

    Natoa wito kwa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuuangalia kwa karibu mpango wa uendelezaji upya wa eneo la Sinza, Dar es Salaam, unaoratibiwa na Manispaa ya Ubungo, kutokana na kuwepo kwa viashiria vya shinikizo na ukosefu wa uwazi. Kwa muda sasa, wananchi wa Sinza tumekuwa...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Miaka yote Imeenda Bure?” Students wa KIM walia baada ya Serikali Kufunga Chuo na Kufuta Vyeti vyao

    Wadau, mambo ni mazito kwa maelfu ya students wa Kenya Institute of Management baada ya Technical and Vocational Education and Training Authority (TVETA) kuifungia kabisa na kufuta vyeti vyote vilivyotolewa kuanzia 2018 Hii si mchezo imagine umesoma miaka kadhaa, umelipa fees, umegraduate…...
  15. JamiiForums Tanzania Morogoro: Nyoka aliyekuwa anafugwa auawa baada ya kuleta taharuki Mavimba

    wa Kata ya Milola, Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Aloyce Andrew, kwa kushirikiana na wananchi wa kata hiyo, wamefanikiwa kumuua nyoka aliyekuwa akifugwa ambaye alisababisha taharuki kwa wakazi wa eneo la Mavimba, njia panda ya mnadani na wananchi wengine...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Madereva wa serikali naombeni ushauri hapa.

    Mwenzenu Mimi ndo natarajia kuanza veta lengo likiwa kupata cheti Cha mafunzo ya udereva hatimae nikamalizie na NIT.Lengo ni kuingia serikalini kupitia driving kwahivyo wale madereva wazoefu mlioko huko,wale mnaohusika na kada ya usafirishaji serikalini naombeni ushauri katika Hilo aidha...
  17. JamiiForums Tanzania Kuelekea AFCON 2027, Ulega asema Serikali imejipanga kuhakikisha inakamilika kwa wakati

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameweka bayana dhamira ya Serikali ya kuhakikisha miradi ya barabara inayohudumia Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 inakamilika kwa wakati, akisisitiza kuwa maandalizi ya miundombinu ni kipaumbele cha juu katika kuhakikisha Tanzania inakuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Serikali itaimarisha miundombinu ya Mara, Barabara na Uwanja wa Ndege

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa Serikali itaendelea kujenga na kukamilisha barabara zilizopo Mkoa wa Mara kwa kiwango cha lami, ili kufungua fursa za kiuchumi na kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji ndani ya mkoa huo na mikoa jirani. Pia soma ~ Barabara ya Tarime Mjini...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum Tanga, Husna Sekiboko: Serikali ishughulike na wanaojiteka

    Mbunge wa Viti Maalum Tanga Husna Sekiboko - jana April 17 akichangia hotuba ya Wizara ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali isafishe eneo la Kata ya Nala - Dodoma litafaa kwa kuegesha magari

    Serikali isafishe eneo la Kata ya Nala iruhusu watu wafuate utaratibu mzuri na mpango mzuri zaidi wa watu 2000 wanaweza kupata kujiajiri, itapata mapato kwa maegesho kwa kila gari linaloingia, itapata kodi ya kila gari linalo lala ikijenga na vyoo na mabafu pia itapata hela. Dodoma Nala hamna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…