Habari wakuu,
Naandika kidogo hapa maana mambo ni mengi,jana wakati naangalia taarifa ya habari nikaona habari kuwa kuna watu wametapeli wananchi zaidi ya milioni 900 kwa kuwauzia ardhi ambayo ni pori la serikali huko maeneo ya Bagamoyo, hadi muda huu wananchi hao wamekwishajenga na ndipo...