jikuTech
JF-Expert Member
- Apr 9, 2023
- 228
- 291
Serikali inaendana na wakati huu wa kisasa wakati wa dijitali haileti picha nzuri kama mwananchi una amua kubaki nyuma kushikilia habari za ukitaka kufahamu kitu basi uchome nauli kwenda kuuliza ilipo huduma flani au bidhaa flani ili kujilizisha
Mimi nnacho fahamu kidogo ni kwamba mungu alimuumba mtu na mtu anautashi wa kutambua jambo linalo eleweka na lisilo eleweka
Uwazi uliopo saiz kwa msaada wa dijitali katika teknolijia ni ushamba na uzembe mkubwa kutapeliwa kwenye baadhi ya mambo kwani sehemu za kupata habari ni nyingi sana.
Unaweza ukaingia kwa mwijaku au millard ayo ukakuta habari hii ili kuthibitisha usahihi ukaingia kwa manara au wasafi page kuthibitisha kwa kutumia kichwa chako.
Serikali kupitia RITA sasa mtu unaweza kuomba cheti cha kuzaliwa ukiwa na smartphone au computer mwenyewe cha msingi ufahamu matumizi ya mtandao
Na kama huna ujuzi wà mtandao unakazi ya kutafuta elimu hii popote ilipo duniani
Tazama video hii mpaka mwisho kufahamu namna ya kuomba cheti cha kuzaliwa kwenye mfumo wa RITA ama kwa kutumia simu au Computer
View: https://youtu.be/MrDcy1Dbwx8?si=rHHLE8rH5QDyDo2k