serikali

  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uhai wa asasi zisizo za kiraia: Wito kwa serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo

    Licha ya umuhimu wa kazi wanayofanya, watendaji wengi wa utawala wa kidemokrasia wanaofanya kazi na asasi za kiraia wanakabiliwa na udhaifu mkubwa wa uwezo wa ndani wa kuendesha ofisi kuwa endelevu katika kutatua matatizo yanayokabili maendeleo. Udhaifu huu unazidishwa na ukosefu wa njia za...
  2. JamiiForums Tanzania Mhandisi Innocent Luoga: Serikali inajiandaa kuzindua Mkakati na Mpango Kazi wa Kitaifa wa Nishati Jadidifu

    Wizara ya Nishati imeshiriki Kongamano la Kitaifa la Nishati Jadidifu kwa mafanikio ambapo imetumia kongamano hilo kueleza juhudi zinazofanywa na Serikali katika uendelezaji wa Nishati Jadidifu nchini na hii ikijumuisha utekelezaji wa Mkakati wa Kitaifa wa Nishati Safi ya Kupikia. Akifungua...
  3. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ifanye yafuatayo kupunguza kodi umiza kwa wananchi

    VYANZO VIPYA VYA MAPATO Kumekuwa na kodi na tozo mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwagusa wananchi na zingine zimekuwa zikiwaumiza kutokana na kushuka thamani ya fedha ya Tanznia dhidi ya dola na hii inakuja kwasababu serikali haina vyanzo vipya vingi vya mapato vipo vile vile ambavyo kiuhalisia...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali, kutoa taarifa kutetea wanyonge ni kosa Kisheria? Malisa kafanya kosa gani kupaza sauti ili walimu walipwe stahiki zao?

    Wakuu kwema? Serikali sasa huku mnapotupeleka kubaya, na ni uonevu wa wazi wazi kabisa. Yaani mtu anapaza sauti walimu wanadai stahiki zao badala mshughulikie malalamiko hayo mnaedna kumkamata aliyepaza sauti eti katoa taarifa bila kibali kwenye ukurasa wake wa Instagram! Mtu anahitaji kibali...
  5. JamiiForums Tanzania Ajira lukuki, heko ccm na serikali yake!

    Kampuni HOPE HOLDINGS ambayo inaendesha biashara mbalimbali katika Jiji la Dar es salaam kama vile Mgahawa wa Papparoti, Super Market maarufu ya kuuza mazulia iitwayo Amal Carperts Mlimani City na Maduka ya FLO, Bottega Verde, Flormar, Skechers, Defacto na LC Waikiki, imetangaza nafasi za ajira...
  6. JamiiForums Tanzania Kama serikali inakanusha kuhusu huu mkopo na dhamana ya madini mbona korea walikuwa na ajenda kuhusu afrika

    Serikali mpaka sasa inakanusha kuhusu mkopo na dhamana ya madini ila korea walishafanya kikao kuhusu madini wanayotaka afrika. Naomba tuunganishe dot hii https://www.youtube.com/watch?v=1_46tHD6Y6s
  7. JamiiForums Tanzania Naomba serikali itazame kwa jicho la tatu elimu kuhusu utengenezaji wa Simu

    Kuna vijana wengi wamejiajiri kwenye kazi ya ufundi simu Ila Kati ya 20 waweza pata mmoja tu ndo anaelewa kidogo kuhusu simu walio Baki ni kuchoma maiki tu na kubadili vioo kwani hata kubadili port ya kuchajishia wengi hawajui vizuri jinsi ya kuifanya iwe strong, sio mteja anatumia mwezi tu Ina...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi DUCE walilia boom, walalamika viongozi wa serikali kuwatembelea uchaguzi ukikaribia

    Wanafunzi Chuo cha Elimu sehemu cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania (DUCE), wailaumu serikali https://m.youtube.com/watch?v=0eDvfPF6Ys0 Mwanachuo bi. Nduguru aliyetokea Songea kusoma campus ya DUCE jijini Dar es Salaam akiongea huku akushangiliwa na wanafunzi hao wa kitivo cha...
  9. S

    JamiiForums Tanzania tiGO wana shida za mara kwa mara, tatizo ni nini? Toka saa moja jioni tiGO Pesa haipatikani

    Kwa kifupi nakareka sana na huduma za huu mtandao. Mtandao haumalizagi mwezi lazima hitilafu itokee tukose baadhi ya huduma. Mfano nipo hapa tangu saa moja jioni, TIGO PESA haifanyi kazi. Unakuta mtu ulikuwa na mambo yako ya msingi ya kufanya lakini unapata hasara kwa sababu ya huu kila mwezi...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Rose Tweve Asema Hajaridhishwa na Majibu ya Serikali

    📌 AHOJI UTEKELEZWAJI WA AAGIZO LA WAZIRI MKUU 📌 ATAKA KUJUA HALI YA KIUTENDAJI KWENYE HALMASHAURI ILIVYO MBUNGE wa Viti maalum Mkoani Iringa Mhe. Rose Tweve ametaka kujua kiundani juu ya utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa aliliolitowa mapema tarehe 22 Mei...
  11. JamiiForums Tanzania Land Cruiser Prado 2023 (J250): Madereva wa Serikali watavimba nayo Sana

    Hizi vyuma bado sijaziona kwenye STM na STN za serikali. Nina expect zikisambaa madereva wa Serikali watasumbua nazo sana mitaani. Kumbuka inashare platform na big boss J300, na sasa wameipeleka kwenye electric power steering. Engine options kuna 2.4L 2.7L 2.8L na Turbo charged, zote Petrol...
  12. JamiiForums Tanzania Ukisikia Serikali imetenga Bajeti kwaajili ya Matumizi ya Kawaida au Matumizi Mengineyo kama Mwananchi unaelewa nini?

    Kama mwananchi, kusikia kwamba serikali imetenga bajeti kwa ajili ya "matumizi ya kawaida" au "matumizi mengineyo" kunaweza kueleweka kwa njia zifuatazo: - Matumizi ya Kawaida Hii inahusu gharama za kila siku au za mara kwa mara zinazohitajika kwa ajili ya uendeshaji wa serikali. Matumizi haya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Serikali litazameni hili suala kwa umuhimu wake kutetea maslahi ya watu wa chini

    Kwa Wamiliki wa Mitandao ya Simu na Serikali, Katika dunia ya leo ambapo mawasiliano ya simu yamekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, ni muhimu kuhakikisha kuwa wateja wana taarifa sahihi na kwa wakati kuhusu mabadiliko yoyote yanayohusu bei na vifurushi vyao. Kupitia jamiiforum Mimi kama...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa na ANC wakubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa na Vyama Pinzani

    AFRIKA KUSINI: Chama Tawala cha African National Congress (ANC) kimekubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kupoteza idadi kubwa ya viti vya Ubunge. Akitoa taarifa hiyo baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama (NEC) Rais Cyrill Ramaphosa amesema “Tumeridhia kuvialika Vyama vya Siasa...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni: Tutaanza kuhoji wakimbizi kutoka Burundi kwanini wanasita kurejea nyumbani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Mwakilishi wa Serikali ya Burundi, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Maendeleo ya Jamii na Usalama wa Raia, Theofile Ndarufatiye (kulia), wakibadilishana Nyaraka ya Makubaliano ya Utaratibu wa Urejeaji wa Wakimbizi wa Burundi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Taasisi ya Serikali inatoa control number fake, niripoti wapi??

    Wakuu kuna taasisi moja ya umma nimeenda kupewa huduma nikapewa control namba nilipie ila nilichoambulia kila wakala anasema hii haiwezekani kulipa. Nikarudi kwa taasisi husika nikawapa cash wakanipa huduma. Ila ukihakiki ile control number inaonesha ipo invalid maana yake kuna wajanja wanakula...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Website za Serikali na mashirika ya umma hazifanyi kazi muda huu au ni kwangu tu? "This site can’t be reached"

    Habari wana jukwaa, Nimejaribu kuingia Website za serikali na za mashirika ya umma ila naona zote zinasema "This site can’t be reached". je kuna shida? na zote zinatumia server moja? Nimejaribu web zifuatazo; 1. IKULU 2. EGA 3. PSRS 4. NSSF 5. WIZARA KADHAA Jaribu na wewe mdau tujue.
  18. JamiiForums Tanzania Korea yaikopesha Tanzania Shilingi Bilioni 400 za kujenga Hospitali ya Rufaa Zanzibar

    Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar. --- Serikali ya Tanzania imepokea mkopo wa Dola za Marekani 163.6 milioni (Sh427.8 bilioni) kutoka Benki ya...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali huwa inakuwa wapi kutoa ufafanuzi mapema?

    Kwa mtazamo wangu haya mambo yakuleta ufafanuzi baada ya kuibuka mijadala ambayo serikali inaona ni upotoshaji, Huwa inaleta sana ukakasi na sitomfahamu nyingi kwa wananchi kwanini wasiwe na utaratibu wakutupa taarifa yakila mikataba/mikopo mapema na kwa uwazi zaidi. Isiwe inakaa kimya mpaka...
  20. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu tawi la UDSM kujengwa Chato

    Chato ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Rombo na Bomag'ombe. Kwa nini Makamanda wenzangu mnaichukia Chato? Hi ni moja ya great and tremendous development tuache chuki bana. CCM wanapiga kazi 👇 --- WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Chato mkoani Geita kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…