serikali

  1. JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka Watanzania kuipongeza serikali na wananchi wazalendo wa Msomera Tanga kwa kuinusuru hifadhi ya Ngorongoro kupotea

    Wananchi wazalendo wa msomera mkoani Tanga, ambao hapo kabla walikua wakiishi ndani ya hifadhi ya Taifa ngorongoro, ambapo baadae kwa kushauriana na mamlaka za serikali, na kwa hiyari na utashi wao, Lakini pia kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa, na urithi wa vizazi vijavyo, wananchi wale...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini Mwabukusi amemteua swahiba wa Lissu, na hasimu wa serikali, Dk. Nshala afuatilie suala la Ngorongoro?

    Najua serikali inajua kwamba TLS wanaenda kufanya kazi ya uchochezi Ngorongoro, hivyo haitawaruhusu. Nshala ni mwanachadema kindakindaki Dk. Nshala na Lissu walikuwa viongozi wa LEAT-Lawyers Environmental Action Team. Baadae walikula hela za taasisi kisha wakaiua. Taasisi hii ilitelekeza mali...
  3. JamiiForums Tanzania TCB kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali kuwawezesha wakulima wadogo na wa kati kupata mikopo

    TCB KUENDELEA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KUWAWEZESHA WAKULIMA WADOGO NA WA KATI KUPATA MIKOPO Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita chini ya Mh. Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuhakikisha inawawezesha wakulima wadogo na...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashtushwa na taarifa ya Madereva wa Serikali kulogana ili wapate kazi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshtushwa na madai ya madereva wa Serikali kulogana ili wapate magari ya kufanyia kazi. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Juma Mtanda kwenye kongamano la tatu la madereva wa Serikali la mwaka 2024 linaloendelea jijini Arusha kwa siku nne mfululizo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naishauri Serikali ifunge Uvuvi wa Samaki katika ziwa Victoria kwa muda wa miezi sita

    Samaki katika Ziwa Victoria kama vile wamekwisha kabisa. Wavuvi wanatumia gharama kubwa sana na mwisho wa siku hakuna faida wanayopata kutokana na ukosefu wa samaki. Pili Ziwa Victoria imechafuliwa na kila aina ya uchafu na hivyo kupelekea kutozaliana kwa samaki. Kutokana na sababu hizo...
  6. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula Aishangaa Serikali Kuyafuta Makazi ya Ngorongoro

    Ndugu Watanzania! Serikali ya Tanzania, kupitia Supplement Na. 30 imetoa Tangazo la Serikali Na. 673 la 2/9/2024 la kufuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha. Kuna taarifa kuwa nyaraka hii inayosambaa mitandaoni kuanzia leo...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi ambayo serikali inafurahi kutenda uovu dhidi ya raia wake

    Hii si nchi ya kusadikika uliyoisoma kwenye kitabu cha Hayati Shaban Robert, wala si nchi ya Wagagagigikoko na Mfalme wake Huihui dikiteta aliyepigwa na mgeni Bulicheka na akapoteza ufalme. Hii ni nchi inayopatikana Afrika mashariki, kusini mwa jangwa la Sahara. Ni Muungano wa Tanganyika Huru na...
  8. JamiiForums Tanzania Juhudi za Serikali Zawezesha Wachimbaji Wadogo wa Madini Kuaminika na Taasisi za Fedha

    JUHUDI ZA SERIKALI ZAWEZESHA WACHIMBAJI WADOGO KUAMINIKA NA TAASISI ZA FEDHA ● Kiasi cha Shilingi Bilioni 10 zakopeshwa kwa wachimbaji wadogo kutoka CRDB ● Ni mkopo wa Mtaji,manunuzi ya mitambo na utoaji huduma migodini - Waziri Mavunde aipongeza Benki ya CRDB kwa kuinua sekta ya madini -...
  9. JamiiForums Tanzania Msomera pamenoga, Wamasai waendelea kuishukuru Serikali

    MSOMERA PAMENOGA, WAMASAI WAENDELEA KUISHUKURU SERIKALI Jamii ya wamasai waliohama Ngorongoro wafurahia Maisha ya Msomera. Wakazi waliohama kwa hiari yao kutoka katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kuhamia kijiji cha Msomera, Handeni mkoani Tanga wanaendelea na shughuli zao za kawaida ikiwemo...
  10. JamiiForums Tanzania Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6 kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi mkoani Ruvuma

    SHILINGI BILIONI 4.6 KUPELEKA UMEME MAENEO YA MIGODI RUVUMA - KAPINGA 📌 Asema Serikali itaendelea kupeleka umeme maeneo ya uwekezaji 📌 Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga ni team ya Taifa

    Wallah wabillah hii ni kufru.. amekufuru huyu. Huu ni wivu tu. GSM inachukiwa jinsi inavyopiga pesa kwa sasa. Inachukiwa sana. Iacheni ndo wakati wake huu. Yanga ni team ya Taifa. Nyie mikia mnaona wivu sana. Yanga ina back up kubwa sana ya kutoka kwa viongozi wakubwa. Hamuiwezi na mtashindwa...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kutumia ‘drone’ kwenye uchimbaji wa madini Kijiji cha Lemishuku

    WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amefanya ziara kukagua shughuli za uchimbaji madini na kusikiliza changamoto za wachimbaji wadogo katika eneo la Lemishuku,Wilayani Simanjiro eneo ambalo ni maarufu kwa uchimbaji wa madini vito ya Green Garnet Waziri Mavunde amepata nafasi ya kukagua uwekezaji...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri wa madini: Serikali ya Tanzania imepewa share 0% umiliki wa leseni ambazo serikali ilishitakiwa na kulipa mabilioni huko Shanta mining.

    Taarifa hii inaonyesha kuwa kuna utata katika uhamisho wa leseni za madini kutoka kampuni ya Bafex Mining kwenda Shanta Mining. Hapa kuna mambo machache ambayo yanaweza kutokea: Uhamisho wa leseni haukuendana na sheria: Huenda sheria za Tanzania zinahitaji serikali kuwa na hisa fulani katika...
  14. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbona CHADEMA hawajipangi ngazi za chini (grass root) kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

    Waziri mwenye dhamana ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ametangaza kuwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika Novemba, 2024. Jinsi muda unavyoyoyoma kuelekea uchaguzi huo ninaona kabisa CHADEMA hawajijipanga kabisa kwa Uchaguzi huu. Wenzenu CCM wanapita nyumba kwa nyumba wakiomba kura...
  15. JamiiForums Tanzania Naanza kuhisi serikali inachukua Kodi kwa siri makanisani

    Injili ya sasa ni tofauti kabisa na zamani makuhani walitufundisha neno la Mungu lenye kutujenga kiroho zaidi na kutukumbusha tuache dhambi tuishi maisha ya kumpendeza Mungu Injili hii kwa sasa imekuwa ni nadra sana kuipata Kuna kitu sikielewi kwa sasa hii ni jumapili 6 tangu nimerudi tena...
  16. JamiiForums Tanzania Raia milioni moja wa Iran wabadili dini na kuwa wakristo

    Wakuu Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam. Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu. Kifupi wairan ni...
  17. JamiiForums Tanzania Adui wa Mtanzania ni Mtanzania mwenzake wala si serikali

    Nitasema tena na tena kuwa serikali yetu haijawahi kuwa adui kwa raia wake. Haijawahi kuwa na nia ovu kwa raia wake hata siku moja. Watanzania wenzenu ndio wanageuka kuwa adui wa maisha yenu kisha nyie mnaisingizia serikali. Serikali inatenga mabilioni kununua dawa kwenye Vituo vya afya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya michezo ya kubaatisha inalijuwa majukumu yake? Usimamizi wa Serikali kwenye hii bodi ukoje?. Ama ndio mwenye kupata apate mwenye kukosa hakose

    Tume ya Kamari ni chombo cha udhibiti kinachowajibika kwa kusimamia shughuli za kamari na kuhakikisha kuwa zinafanywa kwa haki na salama. Kuhusu wachezaji, majukumu yake muhimu ni pamoja na: Kuhakikisha Haki na Uaminifu: Tume inahakikisha kwamba waendeshaji wa kamari wanakidhi viwango...
  19. JamiiForums Tanzania Swali: Serikali kushindwa kuwadhibiti wakopeshaji wa online ni ishara kuwa hii nchi wenye pesa wana nguvu kuliko serikali?

    Hello! Suala la kero za wakopeshaji wa mitandaoni limekuwa kero kubwa. Kila ukiperuzi mtandao wowote Tanzania usipotumia VPN matangazo ya mikopo yatajazana mbele yako mpaka kero. Kwa wakopaji kero wanazokutana nazo ni pamoja na kudaiwa pesa kabla ya siku ya makubaliano, kudhalilishwa, watu...
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali, ni sawa wamachinga kufanya biashara chini ya nyaya za umeme Karume?

    Kila nikipita hapa soko la Karume huwa nashangaa sana jinsi kundi kubwa la wamachinga wanavyofanya biashara zao chini ya nyaya kubwa za umeme bila hofu yoyote, sehemu nyingi ambapo naona kuna nyaya za umeme mkubwa raia huwa wanasogezwa mbali kabisa, kwa nini hapa Karume hali ni tofauti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…