serikali

  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Yanga ni team ya Taifa

    Wallah wabillah hii ni kufru.. amekufuru huyu. Huu ni wivu tu. GSM inachukiwa jinsi inavyopiga pesa kwa sasa. Inachukiwa sana. Iacheni ndo wakati wake huu. Yanga ni team ya Taifa. Nyie mikia mnaona wivu sana. Yanga ina back up kubwa sana ya kutoka kwa viongozi wakubwa. Hamuiwezi na mtashindwa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kutumia ‘drone’ kwenye uchimbaji wa madini Kijiji cha Lemishuku

    WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amefanya ziara kukagua shughuli za uchimbaji madini na kusikiliza changamoto za wachimbaji wadogo katika eneo la Lemishuku,Wilayani Simanjiro eneo ambalo ni maarufu kwa uchimbaji wa madini vito ya Green Garnet Waziri Mavunde amepata nafasi ya kukagua uwekezaji...
  3. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri wa madini: Serikali ya Tanzania imepewa share 0% umiliki wa leseni ambazo serikali ilishitakiwa na kulipa mabilioni huko Shanta mining.

    Taarifa hii inaonyesha kuwa kuna utata katika uhamisho wa leseni za madini kutoka kampuni ya Bafex Mining kwenda Shanta Mining. Hapa kuna mambo machache ambayo yanaweza kutokea: Uhamisho wa leseni haukuendana na sheria: Huenda sheria za Tanzania zinahitaji serikali kuwa na hisa fulani katika...
  4. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbona CHADEMA hawajipangi ngazi za chini (grass root) kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

    Waziri mwenye dhamana ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ametangaza kuwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika Novemba, 2024. Jinsi muda unavyoyoyoma kuelekea uchaguzi huo ninaona kabisa CHADEMA hawajijipanga kabisa kwa Uchaguzi huu. Wenzenu CCM wanapita nyumba kwa nyumba wakiomba kura...
  5. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Naanza kuhisi serikali inachukua Kodi kwa siri makanisani

    Injili ya sasa ni tofauti kabisa na zamani makuhani walitufundisha neno la Mungu lenye kutujenga kiroho zaidi na kutukumbusha tuache dhambi tuishi maisha ya kumpendeza Mungu Injili hii kwa sasa imekuwa ni nadra sana kuipata Kuna kitu sikielewi kwa sasa hii ni jumapili 6 tangu nimerudi tena...
  6. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Raia milioni moja wa Iran wabadili dini na kuwa wakristo

    Wakuu Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam. Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu. Kifupi wairan ni...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Adui wa Mtanzania ni Mtanzania mwenzake wala si serikali

    Nitasema tena na tena kuwa serikali yetu haijawahi kuwa adui kwa raia wake. Haijawahi kuwa na nia ovu kwa raia wake hata siku moja. Watanzania wenzenu ndio wanageuka kuwa adui wa maisha yenu kisha nyie mnaisingizia serikali. Serikali inatenga mabilioni kununua dawa kwenye Vituo vya afya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya michezo ya kubaatisha inalijuwa majukumu yake? Usimamizi wa Serikali kwenye hii bodi ukoje?. Ama ndio mwenye kupata apate mwenye kukosa hakose

    Tume ya Kamari ni chombo cha udhibiti kinachowajibika kwa kusimamia shughuli za kamari na kuhakikisha kuwa zinafanywa kwa haki na salama. Kuhusu wachezaji, majukumu yake muhimu ni pamoja na: Kuhakikisha Haki na Uaminifu: Tume inahakikisha kwamba waendeshaji wa kamari wanakidhi viwango...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Swali: Serikali kushindwa kuwadhibiti wakopeshaji wa online ni ishara kuwa hii nchi wenye pesa wana nguvu kuliko serikali?

    Hello! Suala la kero za wakopeshaji wa mitandaoni limekuwa kero kubwa. Kila ukiperuzi mtandao wowote Tanzania usipotumia VPN matangazo ya mikopo yatajazana mbele yako mpaka kero. Kwa wakopaji kero wanazokutana nazo ni pamoja na kudaiwa pesa kabla ya siku ya makubaliano, kudhalilishwa, watu...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali, ni sawa wamachinga kufanya biashara chini ya nyaya za umeme Karume?

    Kila nikipita hapa soko la Karume huwa nashangaa sana jinsi kundi kubwa la wamachinga wanavyofanya biashara zao chini ya nyaya kubwa za umeme bila hofu yoyote, sehemu nyingi ambapo naona kuna nyaya za umeme mkubwa raia huwa wanasogezwa mbali kabisa, kwa nini hapa Karume hali ni tofauti...
  11. Usher-smith MD

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ya Mkoa wa Dar Es Salaam inampango gani na foleni ya Mbagala

    Foleni ya Mbagala Rangi 3 ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara ya Kilwa Road. Sababu za kuleta foleni zinajulikana kuwa ni daladala. Tafadhali uongozi wa Mkoa tafuteni suluhisho la tatizo hili. Napendekeza itafutwe njia mbadala kama ilivyofanya zamani kwa daladala zinazotumia barabara...
  12. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Kama mchengerwa ndo msimamizi mkuu uchaguzi serikali za mtaa basi wapinzani mmekwisha.

    Wasalaam Zote tunajua kwamba bwana mchengerwa ni mkwe wa mama Samia kwa maana kamuoa mtoto wa rais. Na nakumbuka mwaka jana bwana mchengerwa alikula kiapo mbele ya rais Samia na kujiapiza kwamba uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka 2024 hakuna mtaa hata mmoja utaenda upinzani. Hakika siku...
  13. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Serikali haitirii Mkazo Michezo ya Olimpiki ila Yanga na Simba Ili kupumbaza wananchi

    Serikali inatumia mpira wa migumu na sekta ya burudani kupitia bongo fleva,kulaza fikra za watu,chunguza ushiriki wetu Olimpiki,uhamasishaji Ili kupata washiriki wenye viwango, unapeleka washiriki Saba kwenye nchi yenye takribani watu 60m? Angalia kiongozi wa nchi anavyohangaika na Yanga na...
  14. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kuanzishwa Samia Scholarship ni ishara kwamba serikali inayosimamiwa na Samia kufeli katika Elimu hususan kusimamia HESLB

    Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
  15. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Mohamed Mchengerwa anatangaza uchaguzi wa serikali za mitaa kama nani?

    Kuna mambo yanastaajabisha sana. Huyu ni waziri anayepaswa kusimamia majukumu ya OR-TAMISEMI ambapo Majukumu ya OR-TAMISEMI yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Kwa kuzingatia Hati ya Rais ya Mgawanyo wa Majukumu (Presidential Instrument) iliyotolewa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI leo tarehe 15 Agosti, 2024 ametangaza tarehe ya kufanyika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2024 nchi nzima. Ambapo Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika 27 November, 2024 nchi nzima. Naupigaji wa kura utaanza saa mbili...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ya kata ya Kalobe jijini Mbeya imeshindwa kuwajali wananchi wake wanaotumia uwanja wa Kalobe shule ya msingi kufanya mazoezi

    Mnamo tarehe 14/2/2024 wananchi wa mtaa wa Kalobe wanaotumia uwanja wa Kalobe walipeleka malalamiko kuhusiana na uwanja wao kuaribiwa na watu wanaotumia barabara ya Kalobe kuenda itende kupita uwanjani kwao. Na kuaribu mazingira ya uwanja huo mmoja unaotumiwa na mtaa mzima vijana waliongea na...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni kwa kiasi gani Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kutokomeza umasikini na kuinua hali bora za maisha ya Watanzani?

    kwa kiasi kibuwa Tanzania imepiga hatu za kimaendeleo chini ya serikika sikivu ya CCM ya awamu ya sita kwa kuinua vipato na hali bora sana za maisha ya waTanzania, kwa kuzingatia uhakika wa hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi, watu na makazi yao, kazi na na biashara zao, Lakini pia...
  19. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mwenge unafaida gani wakati kuna mkaguzi mkuu wa serikali

    Mwenge ulitakiwa kuisha tokea kipindi cha nyerere. Ila naona mwenge ni kumaliza pesa za walala hoi tu. Majukumu ya mwenge ni yamebeba majukumu ya mkaguzi mkuu ambayo ni wajibu wake. Mwenge unafata nini tena unachukuwa machokoraa wa ccm
  20. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Abdul ni nani ndani ya serikali ya mama yake

    Kuna mambo naona hata wenye mama tunaona kama ukiwa mtoto wa kiume basi mama hukupa majukumu akifikiri unamuongoza. Tumeona Bangladesh huko waziri wa huko kumbe ni mambo ya mtoto wake mpaka kupinduliwa. Sasa hapa unawezaje kumwambie afande awadhi wewe utakuwa IGP kisa mama yako ni raisi...
Back
Top Bottom