serikali

  1. JamiiForums Tanzania Shule nzuri za Serikali kwa mchepuo wa PCB

    Salaam wana jukwaa. Naomba kujua shule za A-Level (form 5 & 6) za serikali ambazo zinafanya vizuri katika combination ya PCB (Physics, Chemistry na Biology). Binafsi tayari nazijua Tabora Boys, Ilboru, Mzumbe na Kibaha. Naomba kutajiwa nyingine zaidi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tito Magoti: Tunahukumiwa kifo kwa kuikosoa serikali ya Tanzania

    Hofu ya kutekwa na kupotezwa imeendelea kwa miongoni mwa baadhi ya wanaharakati na waandishi wa habari wa Tanzania wakiripoti kupokea kupokea jumbe za vitisho na tahadhari nchini kwao. Mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu Tito magoti na Mtangazaji ROlandMabala wote walidai kupokea...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal avunja Bunge kwa madai ya Kuvutana na Mhimili wa Serikali

    Rais Bassirou Diomaye Faye amevunja Bunge linaloongozwa na Upinzani kwa kile kilichoelezwa ni kuondoa mvutano uliopo kati ya Wabunge na Mhimili wa Serikali. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 6 tu tangu Serikali mpya ilipoingia Madarakani huku akieleza Bunge hilo linaloongozwa na upinzani...
  4. JamiiForums Tanzania Nchi zinazoendelea hasa Afrika kwa wakati huu tuliopo hakuna ukosefu wa nafasi za kazi (ajira) tatizo lililopo ni serikali hazina pesa ya kuajiri

    Kwa hali ilivyo hasa katika sekta ya elimu, afya, ulinzi na TEHAMA kuna uhaba mkubwa sana wa mtumishi. Kwa nchi za Afrika hauwezi kusema kuna ukosefu wa ajira, hapana, changamoto iliyopo ni serikali hazina pesa ya kutosha kuajiri, baadhi ya sekta hasa nilizoorodhesa hapo juu kuna uhitaji mkubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali Yavuna Trilioni 1.8 Kupitia Sekta ya Uziduaji Nchini

    SERIKALI YAVUNA TRILIONI 1.8 KUPITIA SEKTA YA UZIDUAJI NCHINI - Ni kwenye madini, mafuta na gesi - Waziri Mavunde aelekeza uchunguzi wa tofauti ya Milioni 402 - ⁠ Kamati ya Bunge yapongeza uwazi wa serikali kutoa taarifa SERIKALI imepata jumla ya shilingi Trilion 1.877 kutoka kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali imepata Tsh. Trilion 1.877 kutoka kwenye kampuni 44 za Sekta ya Madini, Mafuta na Gesi

    Serikali imepata jumla ya shilingi Trilion 1.877 kutoka kwenye kampuni 44 zilizolinganishwa katika sekta ya madini, mafuta na gesi ikiwa na tofauti ya kati ya malipo na mapato ya shilingi milioni 402.41 kwa mwaka kwa mwaka wa fedha 2021/22. Hayo yamebainishwa na Waziri wa wa Madini Anthony...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo

    Na MWANDISHI WETU, IGUNGA WAZIRI wa Kilimo Mhe. Husein Bashe (Mb) amemtumia salamu Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuwa awe na shukrani kwa serikali achezee sekta nyingine sio kilimo ambayo ni tegemeo kwa Taifa. Amesema chokochoko za uongo za mbunge huyo zinapogusa sekta ya kilimo hawezi...
  8. JamiiForums Tanzania Azim Dewji. Navyomuona ana kitu atafika mbali. Rais Samia mtizame huyu Mzee

    Huyu mzee anajitahidi sana kutetea Serikali. Isimwache hivi hivi imwangalie kwa jicho la tatu anaweza kuwa msaada hapo mbeleni. Anajitahidi sana kuitetea Serikali. Ni kumpa tu Elimu angalau sasa awe na maneno ya akili au ajue kujenga logic katika anachoongea. Nimemkubali ana mapenzi sana na...
  9. JamiiForums Tanzania Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM huwa inapokea ushauri wa Mbowe? Sasa kwanini huwa anashauri? Kwani ule ushauri wake wa "never and never again" ulipokelewa?

    Rais Kikwete ndiye rais aliyekuwa akisikiliza kelele za wapinzani. Walikuwa wakisema anawaita ikulu kwa ajili ya mashauriano na kutafuta suluhu. Rais Magufuli alipoingia madarakani, alitangaza hadharani kabisa akasema "mimi huwa sishauriki na huwa sipangiwi. Tena ukinishauri ndiyo unaharibu...
  11. JamiiForums Tanzania TLS yathibitisha kutishiwa maisha kwa wakili Tito Magoti, Peter Madeleka pamoja na Ole Nguruma. Yaitaka Serikali Kuchukua Hatua Kali!

    https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini Tanzania, Tito Magoti, Peter Madeleka, na Onesmo Ole Ngurumwa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya CCM haitaki uchaguzi wa serikali ya mtaa usimamiwe na TUME HURU YA UCHAGUZI?

    kipara kipya, Lucas Mwashambwa, the big boss, CHAWA, ChawaWaMama na wengine. Naomba majibu. Kwanini hamjiamini? Je ni kweli bila figisu CCM haishindi?
  13. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge yazipiga pini Halmashauri kujipangia Ada ya Shule za English Medium zinazomilikiwa na Serikali

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imezitaka Halmashauri zote nchini kutotumia Shule za "English Medium" za Serikali kama vyanzo vya mapato. Mwenyekiti wa kamati hiyo ya kudumu ya bunge inayoshughulikia Elimu, Utamaduni na Michezo Bi. Husna Sekiboko ametoa kauli hiyo leo...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya Kenya wanakodisha uwanja wa ndege wa JKIA kwa Wahindi wa Adani?

    Huko Kenya kuna mabishano makali ya kisiasa baada ya serikali ya Ruto kuamua kuikodishia kampuni ya Wahindi ya Adani Group uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA) uliopo Nairobi. Mpaka sasa haijaeleweka hasa sababu za msingi za Serikali ya Kenya kuwakodishia Adani uwanja huo ukizingatia ni...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anaetaka kumpinga Rais Samia asigombee 2025 anaweza kuja na hoja gani? Anahujumiwa?

    Inafahamika kuwa 4Rs zilimnyanyua juu juu juu zaidi kimataifa Rais Samia kwenye nyanja ya demokrasia. Hii inaweza kuwa chanzo cha hasira kwa wale wote waliokuwa wakisema hataweza. Bwawa limekwisha, SGR anabeba watu, madaraja yanamalizika kujengwa, barabara za mabasi ya haraka vumbi linatimka...
  16. JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo: Serikali haitakuwa kikwazo kwa AZAKI

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji Profesa, Kitila Mkumbo amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na Asasi za Kiraia nchini nakwamba haitakuwa kikwazo kwao katika shughuli zake za kuleta maendeleo, sanjari na kutoa mawazo yatakayojenga zaidi ili kutafuta fursa zilizopo ndani na nje ya nchi...
  17. JamiiForums Tanzania Kesi ya Google: Hatimaye waanza kurecommend browser nyingine mbali na chrome, Je Kuna haja Serikali yetu ikaondoa monopoly inayofanywa na Bakhresa ?

    Wanajukwaa ikumbukwe Google walishtakiwa Kwa kufanya monopoly kwenye search engine ikiwa ni pamoja na kumiliki platform nyingi kama vile, Android, Chrome, YouTube, Gmaps, Gmail, Gmeet, n.k now wameshtuka wanarecommend pia na browser nyingine Lakini Kesi kubwa ilikuwa ni kudominate search...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yazomewa msibani baada ya kutaka waombelezaji waachie vyombo vya dola mauaji ya Ally Kibao

    Katika hali isiyo ya kawaida wawakilishi wa Serikali katika msiba wa Ally Mohammed Kibao uliofanyika jijini Tanga wamekumbana na zomea zomea wakati wakitoa hotuba zao. Zomea zomea hiyo ilianzia kwa mkuu wa mkoa wa Tanga, Batilda Buriani baada ya kusema kifo cha Ally kimewahuzunisha kama...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

    Anaandika Boniyai kutoka Account yake ya X ====== Ali Mohamed Kibao Ameuawa Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa Kinondoni,Mwananyamala katika chumba cha kuhifadhia maiti mwili wake ukiwa UMEHARIBIWA VIBAYA SANA. Mwili wa ALI...
  20. JamiiForums Tanzania Shekh Mwaipopo: Duniani kote serikali kuna watu wanafanya mauaji, watu wanapaswa kulifahamu hilo!

    Shekh Mwaipopo wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya utekaji. Amesema Dunia serikali zote zinawauwaji wake hakuna serikali isiyo fanya mauwaji. Naomba niseme leo watu waviheshimu vitu vitatu na waviogope. Jambo la kwanza muogope sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…