serikali

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema baada ya miezi miwili itatangaza fursa ya uwekezaji Soko la Kijichi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa Soko la Kijichi lililojengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa Miundombinu ya Dar (DMDP) kwa mkopo wa Benki ya Dunia (WB), linaonekana kama limetelekezwa, DC na Mkurugenzi wa Temeke wametoa Ufafanuzi Mbunge wa Jimbo la Mtoni, Abdulhafar Idrissa Juma...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Tulia wewe ni Spika wa Bunge au ni Spika wa Serikali?

    Leo ni mara ya pili unazuia wabunge kujadili hali hii mbaya ya utekaji na mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani na wananchi wa kawaida wakiwemo watoto! Mbaya zaidi unaisemea serikali kuliko Waziri Mkuu na mawaziri wengine. Hivi unajua wajibu wako unapokuwa hapo kwenye kiti cha Spika? Wadhifa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali inahusika na taharuki, ili watu wasijadili mambo muhimu?

    Majasusi wa kiserikali duniani huzua taharuki mashimo yenye miili ya binadamu, watu kunyofoa viungo vya binadamu, pipi kutumika kuteka watoto. Pia kesi ya Deus Soka inatumika kuogopesha raia . Nitafafanua mbeleni Je, kwa hapa kwetu matukio haya nayo yana nasaba hizo hapo juu? Mashirika ya...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Judith Kapinga: Serikali inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa (International Energy Companies - IEC’s) kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi asilia kuwa Kimiminika – LNG na yakikamilika Serikali itaupeleka kwenye...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali isiishie kwa Kiboko ya Wachawi, kuna matapeli wengi sana kwenye uwanja wa dini Tanzania

    Zipo ishara nyingi za kumjua mtumishi tapeli. Leo nitaitoa ishara moja tu. 1.Kupenda pesa kuliko Mungu anayemhubiri. Mtumishi tapeli ni mtu anayepanda sana pesa kuliko kitu chochote. Utajuaje kuwa mtumishi huyu anapenda sana pesa? Jibu: Accounts zote za benki zinasoma jina lake, accounts za...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Igombe – Kahama (Mwanza) inatupa mateso makubwa Wananchi, Serikali ije kuokoa jahazi

    Ni Mwendo wa takribani kilomita 16 nilipoianza safari mimi na abiria wenzangu kutoka mjini Mwanza kwenda Igombe, Kata ya Bugogwa, iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza. Tunasafiri kwa dakika kadhaa na kufika stendi ya Igombe, nashuka na kusogea katika maegesho ya pikipiki...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wale wanaoilaumu Israel kuwa ni serikali ya kibaguzi, picture hii ya waislam wakiwa huru na imani yao ndani ya Israel inawafundisha nini?

    https://x.com/JewishWarrior13/status/1828752674373935573
  8. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Serikali Ione haja ya kufanya promotion kwa wafanyakazi wa Umma haswa wanaoonesha utofauti katika kazi zao kama ilivyo kwa wanajeshi na Polise

    Ni muda Sasa nimekuwa nikiona baadhi ya Askari wakipata promotion ya vyeo pale wanapoonesha utendakazi wa tofauti wenye tija maeneo ya kazi zao na kwa jamii. Kwanini tusifanye hivyo pia kwa watumishi wengine kama vile Madaktari, Manesi, watendaji wa kata na vijiji, maafisa wengine na walimu...
  9. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Kwa hilo la UMEME Nchi nzima hongera Serikali.

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa KUTIMIZA WAJIBU wake kwa kuhakikisha Tanzania nzima inao mtandao wa mwanga wa nishati ya umeme karibu Miji na Vijiji vyote. Tunaweza kuona ni jambo dogo lakini kwa wenzetu hiyo ni habari kubwa na maendeleo ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa Serikali ameapa kiapo cha uaminifu Bungeni

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, ameapa kiapo cha uaminifu bungeni leo Agosti 27, 2024. Ameapa mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, katika kikao cha kwanza cha Mkutano wa 16 wa Bunge. Hamza aliteuliwa na Rais, Samia Suluhu Hassan kushika...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Arusha hatuhitaji elimu yeyote kutoka viongozi wa serikali ya CCM

    Mwenyekiti wa CHADEMA aelezea vituko vya chama dola kongwe CCM MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA ARUSHA ATOA MAZITO MKUTANO WA HADHARA https://m.youtube.com/watch?v=e2Ikimr7f60 Hatuwezi kuwaelewa Prof. Palamagamba Kabudi wala William Lukuvi waliotumwa na serikali ya CCM maana serikali ya CCM...
  12. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Serikali ianze kutoza Kodi mapato ya makanisa maana imekuwa biashara sasa.

    Ukweli kwa sasa, dini hasa makanisa imekuwa kama chambo Cha kupiga fedha za watu, kibaya zaidi sasa hasa wanaojiita manabii wengine wanatoka hata nje kuja kupiga pesa kwa kulaghai raia na kujitwalia utajiri mkubwa na pesa nyingi ambazo hazilipiwi Kodi. Ni vyema tubadilike tuanze kufanya...
  13. proff g

    JamiiForums Tanzania Kodi hii imefikia wakati Serikali iitazame upya kwa watumishi, inaumiza

    Kwa mujibu wa utumishi wa umma, mtumishi anatakiwa kukatwa kodi kwa kile anachokipata kwenye mshahara wake. Kama tunavyofahamu kodi nimuhimu kwa taifa lolote, lakini changamoto ya kodi hii ni maumivu kwa watumishi ktukana hali ya kupanda kwa gharama za maisha hasa mfumuko wa bei, mishahara ya...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tufanye nini ili kuongeza ushiriki wa wanawake hasa vijana kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Wakuu salaam, Kama tunavyojua Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utafanyika Nov 27, na cheche tushaanza kuziona katika vyama vyote. Kama ilivyo miaka yote wanaume wamekuwa wakiongeza kujitokeza kugombea nafasi hizo huko wanawake wakiendelea kubaki nyuma, na kuwaona hasa wakati wa kupiga...
  15. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Hivi mnaonaje Serikali ikatumia Simba na Yanga kuwapa utajiri watanzania

    Yaani ipo hivi kwanini serikali isitumie ligi yetu ya mpira kutajirisha watanzania kwamba siku zicheze simba na yanga halafu zote zifungwe Kila mtu abeti mpunga wa kutosha hamuoni kama hapo tutakua tumepata utajiri watanzania yaani Kila mwaka mechi za mchongo ziwe 2 Kwa Kila timu unajua fikilia...
  16. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Serikali imesitisha nyongeza ya mishahara ya kila mwaka (annual incriment) na tucta ipo kimya tuu

    Mwaka jana mama alitangaza kurudisha ile nyongeza ya kawaida ya kila mwaka baada ya kusitishwa na Raisi Magufuli, Pamoja na kupandisha vyeo wafanyakazi ambapo walikuwa wamesitishiwa .. Tumeona wafanyakazi wakipanda vyeo kwa mujibu wa sheria japo kuna miaka iliyodhulumiwa vyeo Yaani mwaka...
  17. W

    JamiiForums Tanzania KERO Mnaotoa Vyeti vya Serikali mnakwaza kukosea Herufi za Majina ya Watumiaji wa Nyaraka hovyo

    Mwanangu yuko katika hatua za kuomba nafasi chuoni mwaka huu, lakini anapata usumbufu mkubwa kubadilisha majina kwenye cheti chake cha kuzaliwa ili yaendane na yale yaliyo kwenye vyeti vya shule. Hii ni hatua muhimu ili aweze kuendelea na mchakato wa kuomba chuo. Vivyo hivyo, hata wakati wa...
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Walimu wakenya wanaofundisha Tanzania wailaumu serikali ya Tanzania kwa kuwakosesha ajira

    Ni walimu wakenya wanao fundisha kwenye shule za English Medium za Tanzania. Wanasema ; 👇👇👇👇👇 " Zamani tulikuwa na soko kubwa Tz kwa sababu kwenye mfumo wa elimu wa Tz kulikuwa na mitihani ya darasa la 7. Lakini sasa hivi mitihani ya darasa la 7 imefutwa. Ipo mitihani ya kidato cha 2...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni wafanyakazi wote wa serikali wamelipwa mishahara mwezi huu wa August?

    Nauliza swali hili kwa lengo la kujiridhisha kuhusiana na taarifa fulani ila kwa sasa naona sio busara kuzitaja ila majibu yatanisaidfia kupata walau picha halisi. Naomba tujuzane kama kuna watumishi ambao bado hawapata mishahara mpaka leo hii.
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mafanikio makubwa yaliyochochewa na serikali ya awamu ya sita yawa kero kwa wapinzani wa maendeleo nchini

    Ni dhahiri sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa nchi nzima. kazi za mikono yake na mipango mikakati yake kupitia serikali sikivu ya CCM zawafurahisha sana na kuwanufaisha wananchi nchini kote Tanzania.. Wananchi hivi sasa maeneo mengi nchini wana pata huduma nyingi muhimu kwa uhakika na...
Back
Top Bottom