serikali

  1. JanguKamaJangu

    Mwakilishi wa wenye Ualbino asema "Je, Serikali inathamini Wananyama kuliko sisi wenye Ualbino?"

    Watu wenye ulemavu wa ngozi (Maalbino) wameitaka serikali kuweka sheria ya dharula itakayowalinda maalbino tofauti na kuendelea kutoa matamko ambayo hutolewa tu pale mauaji yanapotokea. Wakizungumza na waandishi leo juni kwa nyakati tofauti Juni 24, 2025 wamesema tangu Mwaka 2016 maalbino...
  2. M

    Mtaji nitafute mimi, biashara nianzishe mimi, wewe uamke uje kunitishia , eti ni serikali, dunia ni kubwa sio lazima kukaa kariakoo

    Maneno ya rafiki yangu mkinga . Kama mnavofahamu , mchakato wa kusimama kibiashara ni mgumu sana , serikali wao wanawaza kukusanya tu Kwa sera zao mbovu. Hakuna mfanyabiashara anaweza kukataa kulipa kodi hayupo , lakini kodi iwe stahimilivu inayoweza kulinda biashara yangu na sio tozo na kodi za...
  3. Mzalendo Uchwara

    Ushauri kwa serikali wa namna ya kudhibiti ukwepaji kodi bila kutumia mabavu.

    Mheshimiwa rais, natumaini unaendelea vema na majukumu yako ya kuongoza serikali. Niende moja kwa moja kwenye ushauri wangu. Tengeneza sera ya kubadili mfumo wa manunuzi nchini kuondoka kutoka kwenye matumizi ya cash na kuwa wa kieletroniki. Na jambo hili lisifanyike kwa kutunga sheria ya...
  4. mirindimo

    Serikali imechelewesha mishahara au haina pesa?

    Mishahara imechelewa kutoka, June 2024,watumishi wa Umma wana maisha magumu sana Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka. Hili ni tatizo na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni. PIA SOMA - Kuanzia...
  5. JanguKamaJangu

    Chalamila: Kama Serikali inatuma vikosi kupigana Congo, inashindwa kuja kupigana Kariakoo?

    DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila amesema ikihitajika kuweka Vyombo vya Dola maeneo ya Kariakoo kwaajili ya kulinda biashara wakati mazungumzo ya Wafanyabiashara na Serikali yakiendelea atafanya hivyo Amesema “Nataka niwaambie ukweli, Serikali haishindwi jambo, kama Serikali inatuma...
  6. JanguKamaJangu

    Chalamila: Hakuna kitu ninachoogopa, Serikali haifanyi kazi kwa shinikizo

  7. J

    SoC04 Tutengeneze sheria ambazo zitaifanya mihimili mingine iwe na nguvu sawa na mhimili wa serikali

    Kama nchi tumekuwa na taratibu nyingi sana ambazo zinafanyika nje na taratibu hasa na mhimili mkuu wa serikali lakini mihimili mingine(bunge na mahakama) havina meno ya kuikosoa na kuielekeza serikali njia sahihi ya kufanya vitu kulingana na makubaliano na muktadha wa sheria. Mfano tuwe na...
  8. S

    Serikali hujifanya kiziwi haki ya wananchi ikidaiwa kwa taarifa za media au maandamano, sasa migomo ndio iwe lugha mpya kwa Serikali hadi kieleweke!

    Naunga mkono asilimia 100% mgomo wa wafanyabiashara. Tena ningependa kuona ukienea nchi nzima! Sababu ni kwamba uongozi wa Tanzania huwa unajifanya kiziwi pale Watanzania wanapoonyesha kutopendezwa na jambo fulani, na kutoa madai yao kwa njia ya vyombo vya habari au maandamano. Serikali...
  9. D

    Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024

    Hadi Sasa ni saa 2:24 asubuhi maduka mengi hayajafunguliwa. Licha ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila, kuwasisitiza Wafanyabiashara wa Kariakoo kuendelea na shughuli zao kama kawaida, hadi Saa 9 Asubuhi Wafanyabiashara wengi wamefunga Biashara zao katika Mitaa ya Kariakoo, leo Juni 24, 2024...
  10. Librarian 105

    SoC04 Serikali iasisi chombo cha kudhibiti na kudurusu bei za mazao ya kilimo na pia ikiwezekana bidhaa za uvuvi

    Mfumo wa soko la ndani wa mazao na bidhaa za kilimo (na uvuvi) kwa kiasi kikubwa unaendeleza dhulma na unyonyaji kwa wazalishaji mali hizo. Ijapokuwa zipo jitihada za serikali zenye kukusudia kuleta ustawi wa sekta ya kilimo na uvuvi nchini, pia hapana budi hatua za haraka kuchukuliwa za...
  11. M

    Elimu ya form six bado inapewa kipaumbele na Serikali

    Kwa kuthibitisha kuwa elimu ya kidato cha sita bado inapewa kipaumbele Serikali imetoa tangazo la ajira za mawakili na makatibu wa sheria ila kwa wale walio na vyeti vya form six. Soma tangazo kwenye attachment yangu.
  12. Paul Alex

    Ni Nani anayumbisha Serikali, Nani alitoa go ya kumtukana mama, Nani anayetaka Bashe aanguke, Nani anataka biashara K koo isimame?Nani?

    Wakuu salaam! Naweza kupingana na mama sehemu nyingi ila kuna mambo ya kimaslahi kitaifa siwezi kupinga. Mama ana mapungufu yake ila??? Ila?? Nani anayetaka wafanyabiashara Kariakoo wagome na kwanini? Ni Nani huyo anayetaka kunyonga koo la uchumi wa nchi na kwanini? Wasukuma bwana! Hawajawahi...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Rose Cyprian Tweve Akichangia Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    MBUNGE ROSE CYPRIAN TWEVE Akichangia Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 "Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa kuendelea kuwa Imara na mwanamke ambaye hajatikisika kuhakikisha anaendelea kuliongoza Taifa hili. Nampongeza Mhe. Mwigulu na Mhe. Mkumbo kwa namna ambavyo...
  14. Roving Journalist

    Waziri wa Madini: Serikali itatunga Kanuni za kushughulikia migogoro Wamiliki wa Leseni na wenye maduara

    Hayo yamesemwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde mkoani Shinyanga katika Kijiji cha Mandu, machimbo ya Ntambalale Wilayani Kahama alipotembelea kwa lengo la kutatua changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo. Amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kuhakikisha kero zote zinazowakabili...
  15. Gemini AI

    Orodha ya Idara, Taasisi na Wizara za Serikali ya Tanzania

    Orodha ya Taasisi Wizara, Idara na Wakala [ 326 ] Taasisi [ 36 ] Mifuko [ 14 ] Mfuko wa Pensheni [ 0 ] Wizara [ 26 ] Idara Zinazojitegemea [ 42 ] Mfuko wa Barabara [ 0 ] Mamlaka [ 56 ] Wakala [ 35 ] Bodi [ 40 ] Mabaraza [ 23 ] Tume [ 24 ] Kampuni [ 9 ] Mashirika ya Umma [ 21 ] Namba...
  16. U

    Idara maalumu za Serikali zishirikishwe kuboresha mfumo utoaji maoni yanayowasilishwa na wasomaji hapa JF

    Wadau hamjamboni nyote? Haya ni maoni yangu binafsi kabisa lengo ni kuweka utaratibu ulio bora zaidi wa utoaji maoni kulingana na mada mbalimbali zinazowasilishwa jukwaani Idara maalumu za Serikali yetu zina uzoefu na weledi mkubwa hivyo naomba zitumiwe kikamilifu kutathimi kwa njia ya...
  17. L

    Kwanini watumishi wa serikali wanatumia njia za mkato kufanikisha uhamisho? Hili ni jibu langu binafsi

    Nawasalimu wote. Naibu karibu mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia elimu amekemea vikali tabia ya baadhi ya watumishi kuhama kwa kutumia njia zisizo rasimi huku akihusisha jambo hilo na pesa. Ameenda mbali zaidi kwa kueleza kuwa Kuna maafisa Wana barua za uteuzi ambazo hazitoki kwa katibu mkuu...
  18. Tulimumu

    Ajali ilyoua RAS wa Kilimanjaro na Dereva wake: Kwanini serikali inamlilia RAS tu je Dereva hakuwa mtumishi wake?

    Toka ajali iliyosababisha vifo vya Katibu Tawala - RAS wa mkoa wa Kilimanjaro na Dereva wake tumeshuhudia ubaguzi mkubwa unaoganywa na serikali kwenye misiba hii. Tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia serikali nzima ikiomboleza na kutumia nguvu kubwa kushughulika na Kifo cha RAS ikimpamba kwa...
  19. D

    Kila nikifungua mitandao ya kijamii ni habari mbaya tu za Serikali

    Nina miaka 4 sijawahi kuona habari njema ya maendeleo kwa wananchi, kila siku habari mbaya tu. Nipeni link ya habari nzuri ya maendeleo miaka 4 hii hata nifarijike. Na huzuni tu, nipeni 1 good news for the past 4 years nisome nifurahi kuwa nipo na Serikali yangu. Kura yangu inaniuma...
  20. V

    Ukiona hadi mafisadi wanaikosoa serikali lazima uogope

    Nimesikia baadhi ya wanasiasa kwa wakati tofauti wakikosoa upigaji serkalini. Jana nilimskia mwanasiasa mmoja ambaye ana mabasi na malori yanayozidi mia tano akishutumu upigaji .serkalini. Kikawaida sio kuona mtu km huyu akiongea kwasababu ya kuwa salama kulinda mali zake. Ukiona watu km hawa...
Back
Top Bottom