serikali

  1. Tulimumu

    Angalia reaction ya serikali kwenye matukio haya kisha za kuambiwa ongeza na za kwako

    1. Kushambuliwa kwa Lissu: Kimya mpaka sasa mwanzo Lissu akiwa Ubelgiji walisema hatoi ushirikiano. Sasa Lissu yupo na amewataja kwa majina wabaya wake lakini serikali kimya hakuna hata panya aliyekamatwa. 2. Kutekwa na jaribio la kumuua Sativa: Waziri mwenye mashavu makubwa kasema eti Sativa...
  2. G

    Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

    Natumaini mu wazima humu, ni siku nyingine tukiwa bado tunasubiri muafaka wa mchezaji Kagoma kama atabaki Simba au atarudi Yanga, Mzee wetu magoma na yeye ni mpaka kieleweke !!, Anyway tukirudi kwenye kichwa cha habari, Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya...
  3. Komeo Lachuma

    Serikali imwangalie Prof. Assad isimwache ateseke hivi. Huyu jamaa hayupo sawa

    Anahitaji ushauri wa kisaikolojia. Mpaka leo bado analia akikumbuka alivyoondolewa ofisini. Akiulizwa tu hilo jambo analia sana. Ananung'unika, anasononeka, anahuzunika, anaghadhibika, anatatajika. Prof mpaka kufika hapo ni wazi ana akili za darasani. Ila emotional intelligence ndo shida. Prof...
  4. D

    Ukweli usemwe: CHADEMA imeipiku CCM na Serikali yake kwa Propaganda.

    Kuna kila haja na lazima kwa CCM kujipanga upya katika idara yake ya Propaganda. Ni ama idara hiyo imefeli ama haipo kabisa kuweza ku-attack mabomu ya Chadema. Kama ni vita basi tunaweza kuifananisha Chadema na Israel na CCM kuwa Hamas. CCM imezidiwa mno. Yumkini bomu la tarehe 23/9/2024...
  5. U

    Waziri Mkuu: Serikali imesajili miradi ya Dola Bilioni 8.65 ndani ya mwaka mmoja

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema ndani ya mwaka mmoja, Serikali imefanikiwa kusajili miradi 9,678 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 8,658 hali ambayo inaonesha matokeo chanya ya uwekezaji nchini. “Miradi 9,678 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 8,658 ilisajiliwa mwaka 2023...
  6. JanguKamaJangu

    Joseph Butiku: Vyombo vya Ulinzi na Usalama visijifanye havijui mambo yanayoendelea nchini

    TAARIFA YA TAASISI YA MWALIMU NYERERE KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TABIA MBAYA ZINAZOHATARISHA USALAMA WA MAISHA YA WATANZANIA NA MALI ZAO Ndugu wanahabari nimewaiteni hapa, kuwaombeni kwanza; muisaidie Taasisi ya Mwalimu Nyerere kuwataarifu Watanzania wote na kuwaomba sisi sote tushirikiane...
  7. Chief Ortambo Ikumenye

    Falsafa ya ‘Law of Pressure’ inavyoiwezesha CHADEMA kuidhoofisha CCM na kuzidi kuipa wakati mgumu Serikali na Vyombo vya Ulinzi

    Watu watajiuliza hii ninayoiita ‘Law of Pressure’ ni kitu gani? Kisayansi, unapokutana na maada (Matter) mfano wa lijiwe likubwa na ukatakiwa uweze kulitawanyisha vipande vipande, huwa ni kazi ngumu sana ikiwa ulichonacho mkononi ni nyundo ndogo tu. Kwa tafsiri ya picha, CCM inawakilisha...
  8. yello masai

    Shule nzuri za Serikali kwa mchepuo wa PCB

    Salaam wana jukwaa. Naomba kujua shule za A-Level (form 5 & 6) za serikali ambazo zinafanya vizuri katika combination ya PCB (Physics, Chemistry na Biology). Binafsi tayari nazijua Tabora Boys, Ilboru, Mzumbe na Kibaha. Naomba kutajiwa nyingine zaidi.
  9. M

    Tito Magoti: Tunahukumiwa kifo kwa kuikosoa serikali ya Tanzania

    Hofu ya kutekwa na kupotezwa imeendelea kwa miongoni mwa baadhi ya wanaharakati na waandishi wa habari wa Tanzania wakiripoti kupokea kupokea jumbe za vitisho na tahadhari nchini kwao. Mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu Tito magoti na Mtangazaji ROlandMabala wote walidai kupokea...
  10. Black Butterfly

    Rais wa Senegal avunja Bunge kwa madai ya Kuvutana na Mhimili wa Serikali

    Rais Bassirou Diomaye Faye amevunja Bunge linaloongozwa na Upinzani kwa kile kilichoelezwa ni kuondoa mvutano uliopo kati ya Wabunge na Mhimili wa Serikali. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 6 tu tangu Serikali mpya ilipoingia Madarakani huku akieleza Bunge hilo linaloongozwa na upinzani...
  11. Mkoba wa Mama

    Nchi zinazoendelea hasa Afrika kwa wakati huu tuliopo hakuna ukosefu wa nafasi za kazi (ajira) tatizo lililopo ni serikali hazina pesa ya kuajiri

    Kwa hali ilivyo hasa katika sekta ya elimu, afya, ulinzi na TEHAMA kuna uhaba mkubwa sana wa mtumishi. Kwa nchi za Afrika hauwezi kusema kuna ukosefu wa ajira, hapana, changamoto iliyopo ni serikali hazina pesa ya kutosha kuajiri, baadhi ya sekta hasa nilizoorodhesa hapo juu kuna uhitaji mkubwa...
  12. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yavuna Trilioni 1.8 Kupitia Sekta ya Uziduaji Nchini

    SERIKALI YAVUNA TRILIONI 1.8 KUPITIA SEKTA YA UZIDUAJI NCHINI - Ni kwenye madini, mafuta na gesi - Waziri Mavunde aelekeza uchunguzi wa tofauti ya Milioni 402 - ⁠ Kamati ya Bunge yapongeza uwazi wa serikali kutoa taarifa SERIKALI imepata jumla ya shilingi Trilion 1.877 kutoka kwenye...
  13. Roving Journalist

    Serikali imepata Tsh. Trilion 1.877 kutoka kwenye kampuni 44 za Sekta ya Madini, Mafuta na Gesi

    Serikali imepata jumla ya shilingi Trilion 1.877 kutoka kwenye kampuni 44 zilizolinganishwa katika sekta ya madini, mafuta na gesi ikiwa na tofauti ya kati ya malipo na mapato ya shilingi milioni 402.41 kwa mwaka kwa mwaka wa fedha 2021/22. Hayo yamebainishwa na Waziri wa wa Madini Anthony...
  14. Pfizer

    PreGE2025 Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo

    Na MWANDISHI WETU, IGUNGA WAZIRI wa Kilimo Mhe. Husein Bashe (Mb) amemtumia salamu Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuwa awe na shukrani kwa serikali achezee sekta nyingine sio kilimo ambayo ni tegemeo kwa Taifa. Amesema chokochoko za uongo za mbunge huyo zinapogusa sekta ya kilimo hawezi...
  15. Komeo Lachuma

    Azim Dewji. Navyomuona ana kitu atafika mbali. Rais Samia mtizame huyu Mzee

    Huyu mzee anajitahidi sana kutetea Serikali. Isimwache hivi hivi imwangalie kwa jicho la tatu anaweza kuwa msaada hapo mbeleni. Anajitahidi sana kuitetea Serikali. Ni kumpa tu Elimu angalau sasa awe na maneno ya akili au ajue kujenga logic katika anachoongea. Nimemkubali ana mapenzi sana na...
  16. chiembe

    Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  17. G

    Serikali ya CCM huwa inapokea ushauri wa Mbowe? Sasa kwanini huwa anashauri? Kwani ule ushauri wake wa "never and never again" ulipokelewa?

    Rais Kikwete ndiye rais aliyekuwa akisikiliza kelele za wapinzani. Walikuwa wakisema anawaita ikulu kwa ajili ya mashauriano na kutafuta suluhu. Rais Magufuli alipoingia madarakani, alitangaza hadharani kabisa akasema "mimi huwa sishauriki na huwa sipangiwi. Tena ukinishauri ndiyo unaharibu...
  18. Abdul Said Naumanga

    TLS yathibitisha kutishiwa maisha kwa wakili Tito Magoti, Peter Madeleka pamoja na Ole Nguruma. Yaitaka Serikali Kuchukua Hatua Kali!

    https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini Tanzania, Tito Magoti, Peter Madeleka, na Onesmo Ole Ngurumwa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na...
  19. KING MIDAS

    Kwanini serikali ya CCM haitaki uchaguzi wa serikali ya mtaa usimamiwe na TUME HURU YA UCHAGUZI?

    kipara kipya, Lucas Mwashambwa, the big boss, CHAWA, ChawaWaMama na wengine. Naomba majibu. Kwanini hamjiamini? Je ni kweli bila figisu CCM haishindi?
  20. Roving Journalist

    Kamati ya Kudumu ya Bunge yazipiga pini Halmashauri kujipangia Ada ya Shule za English Medium zinazomilikiwa na Serikali

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imezitaka Halmashauri zote nchini kutotumia Shule za "English Medium" za Serikali kama vyanzo vya mapato. Mwenyekiti wa kamati hiyo ya kudumu ya bunge inayoshughulikia Elimu, Utamaduni na Michezo Bi. Husna Sekiboko ametoa kauli hiyo leo...
Back
Top Bottom