Si kwa Tanzania tu bali ni dunia nzima, serikali imekuwa ikitumia mamlaka yao kufanya uovu kwa watu walio kinyume nao, wanasiasa, wanahabari, n.k.
Hakuna kampuni ya itaweza zuia agizo la serikali kwakuwa hatuna katiba imara ya kufanya hivyo, Tigo na Voda au hata wengine, wanaangushiwa tu jumba...
Kuna vyombo vya habari nchi hii vinashabikia uvunjifu wa amani, wanashabikia habari hasi dhidi ya serikali. Je ni kwamba wana ajenda ya siri, wanatumiwa na vibaraka kuchafua taswira ya nchi yetu? Je, nchi hii ikiparanganyika wao wana nchi nyingine ya kuishi? Imekuwa kawaida vyombo vya habari km...
Kitendo cha vyombo vya kimataifa kuripoti maandamano haya kwa sura kwamba raifa sasa limerudi nyuma kwenye kiasi cha kulinganishwa na nchi za kidikteta ni jambo ambalo kama watanzania limetupa hisia mbaya.
Maandamano ya chadema ambayo kwa nje yanao ekana kuto fanikiwa lakini impact yake...
Serikali iingilie kati yaani tunaomba TAKUKURU (PCCB) maafisa utumishi kwani wamekuwa wakiomba rushwa ili watekeleze majukumu yao.
Mfano nesi aliombwa atoe kitu kidogo ili alipwe mapunjo na madai yake mshara ambao hakulipwa kwa mda miezi minane ambao alikuwa kazini.
Ukifuatilia kwa umakini...
Hakuna ambaye hapendi kuona mtoto au kijana wake akipata maarifa bora na elimu ambayo mwisho wa siku itamsaidia katika maisha yake. Elimu ambayo inakwenda kumuinua zaidi mtoto na kumfanya awe msaada kwa familia, jamii na taifa kwa ujumla. Ni jambo zuri sana ukimuona mtoto wako akitumia maarifa...
SERIKALI KUANZA UJENZI WA SONGEA BYPASS, KUONDOA MSONGAMANO WA MALOLI SONGEA MJINI.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imedhamiria kuondoa msongamano wa magari makubwa katikati ya Mji wa Songea kwa kujenga barabara ya mchepuo (Songea Bypass) yenye urefu wa kilometa 16...
Kwa kweli, hiki ni kitu ambacho hakijawahi kutokea!
Mishahara ya watumishi imetoka, maajabu ni kuwa kuna waliopata annual increament mwezi uliopita(wa nane) na wengine hawakupata wakitarajia wangepata hilo ongezeko kama alivyoahidi Kiongozi wa nchi!
Cha ajabu ni kwamba, kwa mishahara ya mwezi wa...
Nikicheki kwa jicho la mwewe ni kuwa kitendo cha kutumia nguvu kubwa sana kudhibiti haya maandamano ya CHADEMA ni kuihujumu serikali ya Mama Samia na kuipaka uchafu. Wanaomshauri Rais wapigwe tu chini. Ingawa CHADEMA nao walizingua kuja na kauli ya "Samia must go" , serikali ingetumia busara...
Wakati vyama na wadau wakianza kujiweka mguu sawa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika baadaye mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kina uhakika wa kupata ushindi wa kishindo.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu (CCM-Bara), John Mongella baada ya kupokea taarifa ya...
CHADEMA wameshikilia hoja yao ya kufanya maandamano kesho. Serikali pia imeshikilia msimamo wake pia kuwa kesho hakuna maandamano. Serikali ina hoja ya kwa kutokea uvunjifu wa amani na CHADEMA pia wana hoja ya kutaka vijana wao waliotekwa waachiliwe huru au warudishwe wakiwa wamekufa. Mfano...
Anatakiwa kwenda moja kwa moja kwa muhusika. Sio kurusha barua au andiko jumlajumla tena hadi kwetu wananchi tusiohusika.
Nathan alimfuata Daudi moja kwa moja alipozini na kuua raia.
Yohana mbatizajialipotaka kumsaidia Herode alimfuata.
Paulo alipotaka kumsaidia Rais wa Cyplus Sergio Paulus...
Nimeona andiko la Sativa na mawakili wake akiwemo Jebra Kambole kuwa serikali kupitia jeshi la police imlipe B5 jambo ambalo binafsi haliwezekani na halitowezekana kamwe .
Mf kama Tundu Lissu ambaye alikuwa mbunge alinusurika kama Sativa akapambana kulipwa staiki zake je Sativa utalipwa?
Jana...
Kukosoa Taarifa za Mange Kimambi na Msimamo wa Serikali ya Tanzania
Katika miaka ya karibuni, Mange Kimambi ameibuka kuwa mmoja wa watu maarufu kwenye mitandao ya kijamii akijipambanua kama mwanaharakati wa kisiasa na kijamii, hasa akilenga kupinga sera na uongozi wa Serikali ya Tanzania. Hata...
Unaweza kusema labda kwa vile mtu umepambana umetajirika basi utakuwa mbali na kero za serikali kumbe tabu iko palepale
Unakimbia kero ya kupanda mwendokasi kwa kununua magari binafsi lakini unakutana na kero ya barabara mbovu, mashimo na foleni
Unakimbia kero ya kupanga unaamua kujenga nyumba...
Unaweza kuwazuia watu kutembea kama njia ya maandamano lakini wakawa wamekutana nakutoa ujumbe. Kikubwa sio kutembea ni ujumbe kufika
Na kuna wakati jitihada za kutumia jeshi au Polisi zikasaidia zaidi kwenye ujumbe . Ndiyo maana usifikirie kuzuia matembezi ni kuzuia maandamano. Kama wana...
Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa mwalimu anabadili fani kwenda fani nyingine ambayo kwake ataona inamfaa.
Sasa ubaya wa hili jambo ni pale...
Sasa hivi kuna mchezo unachezwa na wahusika na maafisa utumishi...wahusika wanawapitia gawio maafisa utumishi au mpaka wakuu wa vituo vyao vya kazi...na wao kupotelea kwenye inshu zingine za kibinafsi...Hivyo kupelekea kupokea mishahara wasiyo stahili.....fanyeni uchunguzi wa haraka kuanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.